DOKEZO Responded Ukweli Usiosemwa: 'Mboga zenye Viwatilifu vyenye viambata vya sumu' zinavyohatarisha afya za maelfu ya wananchi wa mijini

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

John Haramba

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2022
Posts
379
Reaction score
1,412
Katika hali ya kawaida, mbogamboga huonekana kuwa chakula salama na chenye faida nyingi kiafya. Hata hivyo, katika muktadha wa miji au Majiji makubwa kama makubwa kama Dar es Salaam, Dodoma, Arusha na Mwanza, mboga hizo zinaweza kugeuka kuwa chanzo cha hatari ya kiafya kwa wananchi wengi maelfu na maelfu.

Uchunguzi wenye udadisi wa kina pamoja na kuzingatia maandiko mbalimbali ya kitafiti inabainika wazi kuwa idadi kubwa ya mboga zinazouzwa sokoni hasa zinazotokea ndani ya miji husika hupandwa kwa kutumia viwatilifu vyenye viambata vya sumu visivyozingatia viwango vya usalama vilivyowekwa na mamlaka husika au vinavyoshauriwa kitaalumu.
photo_2025-06-12_11-05-04.jpg
Kutokana na udadisi, Wananchi wengi wa mijini, kwa sababu ya kutegemea bidhaa za sokoni, hukosa ufuatiliaji wa moja kwa moja wa mbinu za uzalishaji. Wengi wao hununua mboga kwa kuzingatia muonekano mzuri na kijani kibichi bila kujua kuwa mboga hizo huenda zilipevushwa au kudhibitiwa na dawa hatari kama organophosphates na carbamates, ambazo kwa wingi wazalishaji huzitumia weledi sahihi.

Hilo linatokana na uchunguzi ambao unabaini utamaduni wa Wakulima wengi kupuuzia muda salama wa kuvuna (pre-harvest interval), hali ambayo inaweka hatari kwa mabaki ya sumu kubaki kwenye mazao wakati wa kuuza.
photo_2025-06-12_11-07-52.jpg
Athari kwa wananchi ni kubwa
Baadhi tafiti mbalimbali za kiafya zimedokeza na kuhusisha matumizi ya mboga zenye mabaki ya viwatilifu na magonjwa kama saratani, matatizo ya figo, mfumo wa fahamu, na hata uzazi. Lakini zinaenda na kudokeza kuwa Watoto na wanawake wajawazito wako kwenye hatari zaidi kwa kuwa miili yao ni nyeti zaidi kwa kemikali ambazo zinaweza kuwa kwenye mboga.

Aidha, uchunguzi umeonyesha kuwa ukosefu wa elimu kwa walaji na wakulima ni sababu kuu ya tatizo hili ambalo linakua kwa kasi hasa baada ya wananchi wa mijini kuona fursa ya kilimo cha mbogamboga kinaweza kuwatoa kimaisha au kuwainua kiuchumi.

Wakulima wengi huchanganya dawa bila kuelewa madhara yake, huku wananchi wa mijini wakikosa elimu ya kutambua au kuosha kwa usahihi mboga wanazonunua hali ambayo inaweka hatari zaidi. Lakini zaidi ya hayo, ukosefu wa maabara za haraka kupima mabaki ya viwatilifu sokoni huchangia hali hii kudumu bila kudhibitiwa, imekuwa rahisi mkulima yoyote kuingiza mboga sokoni.
photo_2025-06-12_11-05-06.jpg
Sanjari na hilo, lakini kumekuwepo uuzaji holela wa viwatilifu usiosimamiwa na mamlaka husika, ambao unapelekea wakulima wengi kutumia kemikali zisizo salama au kwa kiwango kisichofaa. Hali hiyo inaweza kuchangia madhara kwa afya ya binadamu, uchafuzi wa mazingira, na kupunguza ubora wa mazao yanayozalishwa na kuuzwa sokoni.

Hatua za haraka zichukuliwe
Serikali na wadau wa afya ya jamii wana jukumu kubwa katika kuleta suluhu ya changamoto hiyo ambayo inaweza kuonekana ya kawaida licha ya kuwa na athari kubwa kwa maelfu.

Jitihada ambazo zinaweza kufanyika ni pamoja na kuongeza kasi na kutanua wigo wa Wakulima au wazalishaji kupata elimu stahiki, kuweka mifumo ya udhibiti sokoni, kuthibiti uuzaji holela wa viwatilifu usio zingatia uweledi na misingi ya kisheria pamoja na kuhimiza matumizi ya mbinu mbadala.

Hatua madhubuti bila kuchukuliwa, majiji na miji vinaweza kuwa vitovu vya magonjwa yanayosababishwa na matumizi ya viwatilifu visivyozingatia afya za walaji.

Pia soma ~ TBS yatoa ufafanuzi kuhusu viuatilifu vinavyotumika katika kilimo cha mbogamboga
 
ACHA UONGO ulio kubuu, TBS wako kazini, otherwise leta tafiti ulizo zifanya , ila bila ivyo izi ni ngonjera tu,
No reform no election
 
Hili ni janga kubwa sana. Utafiti wa kina ufanyike ili kuona athari za hili jambo.
 
Umeona mboga zinazolimwa pmbeni ya mto msimbazi? Au sehemu zenye viwanda?,kwangu Mimi shida sio aina ya mbona bali vyakula vya hio mboga mpaka unakua,mimea inakuzwa na sumu Tupo usitegee mwanadamu akila atakua salama,mbaya zaidi mboga zinatakiwakutochemshwa kwa muda mrefu hivyo sumu haziwezi toka
 
Utafiti huu Ulifanyika Wapi?

=====
Afrika kuna matatizo mengi sana.

"99 problems, but "Asking questions, a'int one'
'"

Huu utafiti ulifanyika wapi?

Arusha? Taarifa zinapatikana wapi?

DSM, vilevile, Taarifa za tafiti hizo zinapatikana wapi?
 
Yaani ukishaona vyakula haviingii au kuliwa na wadudu ujue hapo hamna usalama. Zamani unga wa ngano au mchele ukikaa week tu utaona tayari washajaa wadudu. Siku hizi sasa, chele au liunga linakaa zaidi ya .mwezi na ukija kutumia upo vilevile
Halkadhalila na mboga, ni nadra sana siku hizi kuona mchicha una matundumatundu yale ya kuliwa na wadudu. Vitu vingi sana havipo salama
Binafsi nikila tungule (nyanya) huwa nahisi kama ina ladha ya dawa kama hizi chloroform
 
Amii, hadi urojo wanuka dawa?
 
ACHA UONGO ulio kubuu, TBS wako kazini, otherwise leta tafiti ulizo zifanya , ila bila ivyo izi ni ngonjera tu,

Ni kweli kuna tafiti zilikwishafanywa,
Baadhi ya mashamba yako karibu na viwanda, madampo ya taka, au maeneo ya majitaka (mfano: Bonde la Jangwani, Buguruni, Vingunguti).

Udongo na maji ya maeneo haya yanaweza kuwa na metali nzito kama lead (risasi), mercury, na cadmium, ambazo huingia kwenye mimea na hatimaye kwa mlaji.

Mamlaka kama TPRI (Tanzania Plant Health and Pesticides Authority), TBS na TFDA hazina mifumo madhubuti ya mara kwa mara ya kupima mabaki ya viuatilifu kwenye mazao ya sokoni.
 
Umeona mboga zinazolimwa pmbeni ya mto msimbazi? Au sehemu zenye viwanda?,kwangu Mimi shida sio aina ya mbona bali vyakula vya hio mboga mpaka unakua,mimea inakuzwa na sumu Tupo usitegee mwanadamu akila atakua salama,mbaya zaidi mboga zinatakiwakutochemshwa kwa muda mrefu hivyo sumu haziwezi toka
We ulitaka zikuzwe na nini? Lima nyumbani kwako organics,utumie pilipili na swaumu kuuwa wadudu
 
ACHA UONGO ulio kubuu, TBS wako kazini, otherwise leta tafiti ulizo zifanya , ila bila ivyo izi ni ngonjera tu,
No reform no election
Engineer unafanya kazi TBS nini!? 😳
Maana ulivyokurupuka na kupinga utafikiri hujui matatizo ya utendaji kazi wa ofisi nyingi hapa tz 😂🤣
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Katika hali ya kawaida, mbogamboga huonekana kuwa chakula salama na chenye faida nyingi kiafya. Hata hivyo, katika muktadha wa miji au Majiji makubwa kama makubwa kama Dar es Salaam, Dodoma, Arusha na Mwanza, mboga hizo zinaweza kugeuka kuwa chanzo cha hatari ya kiafya kwa wananchi wengi maelfu na maelfu.

Uchunguzi wenye udadisi wa kina pamoja na kuzingatia maandiko mbalimbali ya kitafiti inabainika wazi kuwa idadi kubwa ya mboga zinazouzwa sokoni hasa zinazotokea ndani ya miji husika hupandwa kwa kutumia viwatilifu vyenye viambata vya sumu visivyozingatia viwango vya usalama vilivyowekwa na mamlaka husika au vinavyoshauriwa kitaalumu.
Kutokana na udadisi, Wananchi wengi wa mijini, kwa sababu ya kutegemea bidhaa za sokoni, hukosa ufuatiliaji wa moja kwa moja wa mbinu za uzalishaji. Wengi wao hununua mboga kwa kuzingatia muonekano mzuri na kijani kibichi bila kujua kuwa mboga hizo huenda zilipevushwa au kudhibitiwa na dawa hatari kama organophosphates na carbamates, ambazo kwa wingi wazalishaji huzitumia weledi sahihi.

Hilo linatokana na uchunguzi ambao unabaini utamaduni wa Wakulima wengi kupuuzia muda salama wa kuvuna (pre-harvest interval), hali ambayo inaweka hatari kwa mabaki ya sumu kubaki kwenye mazao wakati wa kuuza.
Athari kwa wananchi ni kubwa
Baadhi tafiti mbalimbali za kiafya zimedokeza na kuhusisha matumizi ya mboga zenye mabaki ya viwatilifu na magonjwa kama saratani, matatizo ya figo, mfumo wa fahamu, na hata uzazi. Lakini zinaenda na kudokeza kuwa Watoto na wanawake wajawazito wako kwenye hatari zaidi kwa kuwa miili yao ni nyeti zaidi kwa kemikali ambazo zinaweza kuwa kwenye mboga.

Aidha, uchunguzi umeonyesha kuwa ukosefu wa elimu kwa walaji na wakulima ni sababu kuu ya tatizo hili ambalo linakua kwa kasi hasa baada ya wananchi wa mijini kuona fursa ya kilimo cha mbogamboga kinaweza kuwatoa kimaisha au kuwainua kiuchumi.

Wakulima wengi huchanganya dawa bila kuelewa madhara yake, huku wananchi wa mijini wakikosa elimu ya kutambua au kuosha kwa usahihi mboga wanazonunua hali ambayo inaweka hatari zaidi. Lakini zaidi ya hayo, ukosefu wa maabara za haraka kupima mabaki ya viwatilifu sokoni huchangia hali hii kudumu bila kudhibitiwa, imekuwa rahisi mkulima yoyote kuingiza mboga sokoni.
Sanjari na hilo, lakini kumekuwepo uuzaji holela wa viwatilifu usiosimamiwa na mamlaka husika, ambao unapelekea wakulima wengi kutumia kemikali zisizo salama au kwa kiwango kisichofaa. Hali hiyo inaweza kuchangia madhara kwa afya ya binadamu, uchafuzi wa mazingira, na kupunguza ubora wa mazao yanayozalishwa na kuuzwa sokoni.

Hatua za haraka zichukuliwe
Serikali na wadau wa afya ya jamii wana jukumu kubwa katika kuleta suluhu ya changamoto hiyo ambayo inaweza kuonekana ya kawaida licha ya kuwa na athari kubwa kwa maelfu.

Jitihada ambazo zinaweza kufanyika ni pamoja na kuongeza kasi na kutanua wigo wa Wakulima au wazalishaji kupata elimu stahiki, kuweka mifumo ya udhibiti sokoni, kuthibiti uuzaji holela wa viwatilifu usio zingatia uweledi na misingi ya kisheria pamoja na kuhimiza matumizi ya mbinu mbadala.

Hatua madhubuti bila kuchukuliwa, majiji na miji vinaweza kuwa vitovu vya magonjwa yanayosababishwa na matumizi ya viwatilifu visivyozingatia afya za walaji.
Ni

Ni hatari.Ubinadamu hakuna pesa mbele.
#OKTOBA TUNA ✔️
 
Back
Top Bottom