DOKEZO Responded Ukweli Usiosemwa: 'Mboga zenye Viwatilifu vyenye viambata vya sumu' zinavyohatarisha afya za maelfu ya wananchi wa mijini

DOKEZO Responded Ukweli Usiosemwa: 'Mboga zenye Viwatilifu vyenye viambata vya sumu' zinavyohatarisha afya za maelfu ya wananchi wa mijini

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Je wale wanaomwagia maji taka, sewage haina madhara?
Kuna wanaolima kando ya mto msimbazi ni hatari! pia samaki wa baharini tunaowapenda sana chakula Chao ni taka kutoka makazi ya watu,mahospitalini, na kwenye meli....so hatari ni kubwa mungu tu atusaidie
 
Back
Top Bottom