Ukweli utakuweka huru Rais Samia

Ukweli utakuweka huru Rais Samia

MANKA MUSA

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2014
Posts
924
Reaction score
1,096
Bible says “You will know the truth and truth will set you free” Rais Samia Suluhu Hassan ni mcha Mungu ameyasoma haya maneno na kuyashika ndiyo maana alikuwa Mkweli na muwazi kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta alituleza ukweli uliotuumiza, Rais Samia ameusimamia ukweli ambao tulitaka tuufiche kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta katika soko la Dunia kwa miezi mitano iliyopita kutokana na mzozo wa Urusi na Ukraine.

Rais Samia alisimama kama kiongozi namba moja kutueleza juu ya tahadhari hii ya kupanda kwa bei ya mafuta na athari zake na hatua ambayo serikali imezichukua. Serikali iliona tatizo na kulitafutia solution hii ndiyo sifa ya kiongozi wa nchi.

Moja sema ukweli na jambo la Pili tafuta njia ya kutatua tatizo.
Bei za mafuta katika soko la Dunia zimepungua Rais aliweka wazi Mafuta yakishuka na bei zitashuka. kulinganisha na Miezi iliyopita ni kweli yameshuka kule na hapa yameshuka.

Pamoja na kushuka huku kwa bei Serikali imeendelea kutoa ruzuku kwenye mafuta ya Diesel ambayo hutumika sana kwenye shughuli za kiuchumi kwa kutoa bilioni 65 kupunguza bei za mafuta mwezi September.

Wengine walidiriki kusema yakipanda yamepanda na hayashuki. mafuta huenda yakashuka zaidi ya hapa, Nawaona mlivyonuna nuna kama askari wa motoni kuwaona watoto wa Sinza wanaingia Peponi.

Tuliosoma bila ada tunasema “After Every storm ther is Golden sky, Tufani ya Mafuta inakwenda kuishi tunaingia kwenye upepo mwanana wa awamu ya sita, tunaingia tambarare kwenye Asali na maziwa.

Hapa kuna ruzuku ya mbolea, pale Royal tour inamiminisha watalii, huku hatusumbuliwi kwenye kodi sisi wafanyabiashara no malimbikizo, Wanufaika wa mikopo hatulipi retention fee ya asilimia sita.
Watumishi wamepandishwa madaraja na mishahara, hapa tuna Uhuru wa vyombo vya Habari na ule Uhuru wa kubwabwaja. Tukiingia sheli mafuta bei full tank.

Muhudumu makange ya kuku na mirinda nyeusi kwa Rais Samia bili ntalipa mimi mpinzani ambaye nipo huru kufanya siasa zangu. Muulize kama anapenda ya pilipili isiwe kali bali tekenya.

#KaziIendelee #MamaYukoKazini. #UkweliUtakuwekaHuru
 
Mzigo wa Tozo zisizo na msingi kaleta nani kama si Bitozo?

Kama anataka kumsaidia mwananchi wa Tanzania na sio usanii afute tozo kwenye mafuta na siyo ruzuku za geresha anazozitumia kupitia kwa mwananchi masikini wa kutupwa huko nanjilinji

Bila aibu kabisa tozo zetu hazijulikani zinamnufaisha nani, Tuliambiwa kutakuwa na sensa mbili, ya watu na makazi, na ya makazi itaanza baada ya watu kuisha na itakuwa siku tatu, jana tumetangaziwa sensa zote mbili zimekamilika kwa 99%, je ya makazi imefanyika dunia gani? Hela zake zimeenda wapi?
 
Pesa zetu kupitia tozo zinafanya kazi gani?

Hii nguvu ya kutumia watu maarufu na wasanii kuhalalisha tozo, mnatumia fungu lipi kuwalipa? na kwa idhini ya nani?

Kwann wananchi tukihoji tozo tunaambiwa tutawekwa ndani?

Habari ya wananchi kuihoji serikali na kujibiwa wahame nchi kwenye utawala huu ni sahihi?
 
Bible says “You will know the truth and truth will set you free” Rais Samia Suluhu Hassan ni mcha Mungu ameyasoma haya maneno na kuyashika ndiyo maana alikuwa Mkweli na muwazi kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta alituleza ukweli uliotuumiza, Rais Samia ameusimamia ukweli ambao tulitaka tuufiche kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta katika soko la Dunia kwa miezi mitano iliyopita kutokana na mzozo wa Urusi na Ukraine.

Rais Samia alisimama kama kiongozi namba moja kutueleza juu ya tahadhari hii ya kupanda kwa bei ya mafuta na athari zake na hatua ambayo serikali imezichukua. Serikali iliona tatizo na kulitafutia solution hii ndiyo sifa ya kiongozi wa nchi.

Moja sema ukweli na jambo la Pili tafuta njia ya kutatua tatizo.
Bei za mafuta katika soko la Dunia zimepungua Rais aliweka wazi Mafuta yakishuka na bei zitashuka. kulinganisha na Miezi iliyopita ni kweli yameshuka kule na hapa yameshuka.

Pamoja na kushuka huku kwa bei Serikali imeendelea kutoa ruzuku kwenye mafuta ya Diesel ambayo hutumika sana kwenye shughuli za kiuchumi kwa kutoa bilioni 65 kupunguza bei za mafuta mwezi September.

Wengine walidiriki kusema yakipanda yamepanda na hayashuki. mafuta huenda yakashuka zaidi ya hapa, Nawaona mlivyonuna nuna kama askari wa motoni kuwaona watoto wa Sinza wanaingia Peponi.

Tuliosoma bila ada tunasema “After Every storm ther is Golden sky, Tufani ya Mafuta inakwenda kuishi tunaingia kwenye upepo mwanana wa awamu ya sita, tunaingia tambarare kwenye Asali na maziwa.

Hapa kuna ruzuku ya mbolea, pale Royal tour inamiminisha watalii, huku hatusumbuliwi kwenye kodi sisi wafanyabiashara no malimbikizo, Wanufaika wa mikopo hatulipi retention fee ya asilimia sita.
Watumishi wamepandishwa madaraja na mishahara, hapa tuna Uhuru wa vyombo vya Habari na ule Uhuru wa kubwabwaja. Tukiingia sheli mafuta bei full tank.

Muhudumu makange ya kuku na mirinda nyeusi kwa Rais Samia bili ntalipa mimi mpinzani ambaye nipo huru kufanya siasa zangu. Muulize kama anapenda ya pilipili isiwe kali bali tekenya.

#KaziIendelee #MamaYukoKazini. #UkweliUtakuwekaHuru
Rais Samia Suluhu anawajari sana wananchi wake maana baada ya wananchi kulalamika sana kuusu bei ya mafuta ameamua kutoa ruzuku ili kupunguza bei tutake nini tena watanzania
 
Pesa zetu kupitia tozo zinafanya kazi gani?

Hii nguvu ya kutumia watu maarufu na wasanii kuhalalisha tozo, mnatumia fungu lipi kuwalipa? na kwa idhini ya nani?

Kwann wananchi tukihoji tozo tunaambiwa tutawekwa ndani?

Habari ya wananchi kuihoji serikali na kujibiwa wahame nchi kwenye utawala huu ni sahihi?
Tozo ni kwa maendeleo yako mwenyewe acha kulalamika lipa tozo ili uone maendeleo mengi zaidi
 
Umeongea ujinga sna Seema hujui tu

Iko HV yaani ruzuku hyo Ni kiin macho tu huwezi kutoa pesa kwenye mafuta yaani mafuta yenye tozo nyingi alfu uchukue pesa hzo uakatoe ruzuku Tena kweny mafuta yanayo agizwa Ni ujinga na upumbafu wa kiwango Cha sgr haiwezekani. Ni mbumbu tu ndio atashangilia upuuzi huo

Alfu utatoa tena pesa kupandisha watu mishahara alfu hzo pesa Tena uanaenda kupiga tozo Hiyo Ni akili ya nnchi gani hata kikwete mwenyewe hajawai kufanywa mjinga kias hik

Kwa kifupi sasn mam enu anachezewa vibaya mno Tena wameshamuona Ni mwepesi hvyo kila mtu anajimwambafai kuanzia mwaziri wake

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom