MANKA MUSA
JF-Expert Member
- Jul 9, 2014
- 924
- 1,096
Bible says “You will know the truth and truth will set you free” Rais Samia Suluhu Hassan ni mcha Mungu ameyasoma haya maneno na kuyashika ndiyo maana alikuwa Mkweli na muwazi kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta alituleza ukweli uliotuumiza, Rais Samia ameusimamia ukweli ambao tulitaka tuufiche kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta katika soko la Dunia kwa miezi mitano iliyopita kutokana na mzozo wa Urusi na Ukraine.
Rais Samia alisimama kama kiongozi namba moja kutueleza juu ya tahadhari hii ya kupanda kwa bei ya mafuta na athari zake na hatua ambayo serikali imezichukua. Serikali iliona tatizo na kulitafutia solution hii ndiyo sifa ya kiongozi wa nchi.
Moja sema ukweli na jambo la Pili tafuta njia ya kutatua tatizo.
Bei za mafuta katika soko la Dunia zimepungua Rais aliweka wazi Mafuta yakishuka na bei zitashuka. kulinganisha na Miezi iliyopita ni kweli yameshuka kule na hapa yameshuka.
Pamoja na kushuka huku kwa bei Serikali imeendelea kutoa ruzuku kwenye mafuta ya Diesel ambayo hutumika sana kwenye shughuli za kiuchumi kwa kutoa bilioni 65 kupunguza bei za mafuta mwezi September.
Wengine walidiriki kusema yakipanda yamepanda na hayashuki. mafuta huenda yakashuka zaidi ya hapa, Nawaona mlivyonuna nuna kama askari wa motoni kuwaona watoto wa Sinza wanaingia Peponi.
Tuliosoma bila ada tunasema “After Every storm ther is Golden sky, Tufani ya Mafuta inakwenda kuishi tunaingia kwenye upepo mwanana wa awamu ya sita, tunaingia tambarare kwenye Asali na maziwa.
Hapa kuna ruzuku ya mbolea, pale Royal tour inamiminisha watalii, huku hatusumbuliwi kwenye kodi sisi wafanyabiashara no malimbikizo, Wanufaika wa mikopo hatulipi retention fee ya asilimia sita.
Watumishi wamepandishwa madaraja na mishahara, hapa tuna Uhuru wa vyombo vya Habari na ule Uhuru wa kubwabwaja. Tukiingia sheli mafuta bei full tank.
Muhudumu makange ya kuku na mirinda nyeusi kwa Rais Samia bili ntalipa mimi mpinzani ambaye nipo huru kufanya siasa zangu. Muulize kama anapenda ya pilipili isiwe kali bali tekenya.
#KaziIendelee #MamaYukoKazini. #UkweliUtakuwekaHuru