Ukweli wa Ajali ya bus la Mkombe luxury hiki ndicho kilichotokea, Ukweli utatuweka huru

Ukweli wa Ajali ya bus la Mkombe luxury hiki ndicho kilichotokea, Ukweli utatuweka huru

Daah! Halafu huyo ndevu katoka mzima kabisa.

Na anaonekaana amelewa hatari.
Screenshot_2023-12-31-07-17-24-28.jpg

Sijui anamnyooshea nini kidole dada wa watu.anaonekana ni mkorofi
 
Daah! Halafu huyo ndevu katoka mzima kabisa.

Na anaonekaana amelewa hatari.
Imagine haka Kato innocent alikuwa na mama yake Wakenya amefariki kwenye hiyo ajari mtoto kapona, unamtia uyatima mtoto kama huyu.
 

Attachments

  • IMG-20231231-WA0011.jpg
    IMG-20231231-WA0011.jpg
    25.2 KB · Views: 12
Nina orodha ya Abiria wote, Mkombe mwenyewe amethibitisha wanamfungulia mashtaka Tanzania.
Kwanini walishindwa kutoa taarifa?

Yaani. Mtu anasumbua zaidi ya mara moja na bado mmekaa mnmkumbatia na anavuta tumbaku?

Kwa kweli sijaelewa.
 
Kuna uwezekano mkubwa hata wewe mleta mada wakati unaandika hii thread ulikuwa na hangover za konyagi na tumbaku kichwani maana uandishi wako haueleweki
 
Kusumbuliwaje? Kwamba walikuwa wanamuongelesha? Wanamtia misingi? Ama ni vipi?

Abiria walikuwa hawaoni? Dereva alishindwa kupack na kumpa vitasa huyo Ndevu?

Wanajuana hao,, Kama hana huo ubavu wa kumtia vitasa?
 
JF be the first to know,

Hatimaye mafuta na maji vimeanza kujitenga na ukweli unawekwa wazi ingawa si rahisi Kwa media za Bongo kupata hizi taarifa, tunazipata wa ndani tuliopo kwenye Circe za Kibaharia.

Ukweli NI kwamba kuna Watanzania watu wakiongozwa na msela Mavi mmoja wa Mbagala anaitwa Ndevu hawa ndio chanzo cha Ajali ya bus hilo kutoka Johannesburg kwenda Dar es salaam.

Kuna ushahidi wote unaowahusisha hao Watanzania watu ambao njiani Safari nzima walikuwa wanapiga mitungi na kuvuta tumbaku ndani ya gari, na ushahidi unaonesha wazi dreva alisumbuliwa Kwa muda mrefu mpaka Ajali inatokea halikuwa kosa la roli bali ni bus la Mkombe baada ya dreva kubughuziwa na hawa wahuni wakiongozwa na huyu Ndevu, nitamuweka picha zake hapa hadharani maana nimejiridhisha katika hili, na kama hii haitoshi ilifikia hatua huyu Jamaa basi la Pili la Mkombe liliwafuata Zambia Selenje baada ya ajali kuwachukuwa kuwafikisha Dar baada ya kufika Shekilango Ndevu anataka kuiba begi la Abiria ambaye ni marehemu, confirmed death ni watu wanane wakiwemo madereva wote wawili wa Mkombe luxury.

Hapa chini hii ni text nimetumiwa, hukumu yake tutamsomea kwenye group la WhatsApp.

KIONGOZI HILI SWALA NI SWALA LA KISHWAINI SANA.......MKOMBE NDIO KATOA TAARIFA HIZI NA VOICE NOT ZA DEREVA KASEMA ANAZO MIMI KESHO NITAOMBA ANITUMIE VOICE NOT KISHA PIA NITAOMBA HUYU NDEVU TUMLETE HUMU NDANI......KWANZA TAYARI ANA CASE MOJA YA KUTAKA KUIBA BEG LA MAREHEMU YEYE NA MASELA MAVI WEZAKE. Mwisho wa kunukuu.

Picha 1 na 2 huyo ndio Ndevu kwao Mbagala na picha ya 3 ni dreva ambaye amepoteza maisha.

Cc: Pascal Mayalla
Ukweli uko wapi ktk andiko lako mkuu?
Maana nimeona unataja mara ndevu na masela mara dereva mara Lory hata sijakuelewa.
 
Robot mpaka liwe programmed na Binadamu, huwezi kuelewa kinachoongelewa hapa hii siyo thread ya kula tunda kimasihara.
We ni Dr MD au PhD?? Kwanini u complicate vitu?? Make them clear!! Idadi ya ambao hawajauelewa ni kubwa can't you see that?
How comes international drivers apate ajali kisa abiria mmoja au wawili??

Yaani dereva wa kuendesha Almost Km5,000 ndo awe disturbed na abiria mpaka apate ajari na afariki?? Alishindwa nini kuweka gari pembeni wakamshusha huyo mandevu??


Yeye na mwenzie kafa Mandevu yupo!! Does it make sense??

Watamshitaki Mandevu kwa kosa lipi?? Labda kama alimshikia bastola!!


Elezea tukuelewe, usitafute public sympathy

Nonsense Dr!
 
Kwani dereva hakuona police huko Zambia ulevi na sigara anaviruhusije kwenye basi.
Pana abiria alitaka kuvuta fegi kwenye basi nikaichomoa nikaizima nikaitupa nje
Ulifanya hivyo ukiwa kama abiria mwenza ama?
 
Back
Top Bottom