Ukweli wa Ajali ya bus la Mkombe luxury hiki ndicho kilichotokea, Ukweli utatuweka huru

Kuna uwezekano mkubwa hata wewe mleta mada wakati unaandika hii thread ulikuwa na hangover za konyagi na tumbaku kichwani maana uandishi wako haueleweki
Afu tukimuuliza kaandika nini anafoka!! Eti Ndevu kawasababishia Ajari, after ajari likaja bus la kuwafaurisha wakampakia tena!! How?? Walitaka awasababishie nyingine tena au??
Pathetic
 
Nina orodha ya Abiria wote, Mkombe mwenyewe amethibitisha wanamfungulia mashtaka Tanzania.

Nje ya mada,

Hivi passport za AB.... bado zinatumika au hao raia wenye hizo passport hawakuwa wamerudi Tanzania muda mrefu?
 
We ni Dr MD au PhD?? Kwanini u complicate vitu?? Make them clear!! Idadi ya ambao hawajauelewa ni kubwa can't you see that?
How comes international drivers apate ajali kisa abiria mmoja au wawili??

Yaani dereva wa kuendesha Almost Km5,000 ndo awe disturbed na abiria mpaka apate ajari na afariki?? Alishindwa nini kuweka gari pembeni wakamshusha huyo mandevu??

Yeye na mwenzie kafa Mandevu yupo!! Does it make sense??

Watamshitaki Mandevu kwa kosa lipi?? Labda kama alimshikia bastola!!

Elezea tukuelewe, usitafute public sympathy

Nonsense Dr!
Huyu ni wenzake na akina Dr. Manyaunyau
 
Kama kila kitu kipo kama ulivyosimulia, huyo Ndevu alipaswa ameshushwa maporini huko na nauli yake ajue atafikaje anakoenda...
 
Huyu ni wenzake na akina Dr. Manyaunyau
Hakuna Dr hapa, huyu ni agent wa Mkombe hapo Magufuli BT kaja kutafuta public sympathy na tuendelee kutumia mabasi yao.

Anavomlaumu mandevu bila kuweka makosa yake inatia shaka!! Labda kama dereva alikua na pumu Mandevu akavuta sigara dereva akakosa hewa hapo sawa!!
Hiyo kampuni within a month imepata ajali sijui mbili au tatu, zote Mandevu alikua anawasumbua dereva??

Lunatic Dr
 
JF be the first to know,

Hatimaye mafuta na maji vimeanza kujitenga na ukweli unawekwa wazi ingawa si rahisi Kwa media za Bongo kupata hizi taarifa, tunazipata wa ndani tuliopo kwenye Circe za Kibaharia.

Ukweli NI kwamba kuna Watanzania watu wakiongozwa na msela Mavi mmoja wa Mbagala anaitwa Ndevu hawa ndio chanzo cha Ajali ya bus hilo kutoka Johannesburg kwenda Dar es salaam.

Kuna ushahidi wote unaowahusisha hao Watanzania watu ambao njiani Safari nzima walikuwa wanapiga mitungi na kuvuta tumbaku ndani ya gari, na ushahidi unaonesha wazi dreva alisumbuliwa Kwa muda mrefu mpaka Ajali inatokea halikuwa kosa la roli bali ni bus la Mkombe baada ya dreva kubughuziwa na hawa wahuni wakiongozwa na huyu Ndevu, nitamuweka picha zake hapa hadharani maana nimejiridhisha katika hili, na kama hii haitoshi ilifikia hatua huyu Jamaa basi la Pili la Mkombe liliwafuata Zambia Selenje baada ya ajali kuwachukuwa kuwafikisha Dar baada ya kufika Shekilango Ndevu anataka kuiba begi la Abiria ambaye ni marehemu, confirmed death ni watu wanane wakiwemo madereva wote wawili wa Mkombe luxury.

Hapa chini hii ni text nimetumiwa, hukumu yake tutamsomea kwenye group la WhatsApp.

KIONGOZI HILI SWALA NI SWALA LA KISHWAINI SANA.......MKOMBE NDIO KATOA TAARIFA HIZI NA VOICE NOT ZA DEREVA KASEMA ANAZO MIMI KESHO NITAOMBA ANITUMIE VOICE NOT KISHA PIA NITAOMBA HUYU NDEVU TUMLETE HUMU NDANI......KWANZA TAYARI ANA CASE MOJA YA KUTAKA KUIBA BEG LA MAREHEMU YEYE NA MASELA MAVI WEZAKE. Mwisho wa kunukuu.

Picha 1 na 2 huyo ndio Ndevu kwao Mbagala na picha ya 3 ni dreva ambaye amepoteza maisha.

Cc: Pascal Mayalla
Dereva alitakiwa alipoona wanaanza kumkera na wanalewa na kuvuta bangi ndani ya gari alipeleke kituo cha polisi moja kwa moja.

Alikuwa mpole sana kwao.
 
Mtoa mada ni Dokta PhD au Dokta kama Dokta Mwaka mbona haeleweki?
Huyu hawezi kuwa dokta Kama anabisha aweke hapa research zake tuzisome maana mtu mwenye 'phd' hawezi kuwa na uandishi Mbovu wa aina hii
 
Bibi Faiza mwenye umri wa miaka 80 kamuelewa Dr wewe kijana barobaro na huyo robot and Co Bado hamjaelewa tu?.
 
JF be the first to know,

Hatimaye mafuta na maji vimeanza kujitenga na ukweli unawekwa wazi ingawa si rahisi Kwa media za Bongo kupata hizi taarifa, tunazipata wa ndani tuliopo kwenye Circe za Kibaharia.

Ukweli NI kwamba kuna Watanzania watu wakiongozwa na msela Mavi mmoja wa Mbagala anaitwa Ndevu hawa ndio chanzo cha Ajali ya bus hilo kutoka Johannesburg kwenda Dar es salaam.

Kuna ushahidi wote unaowahusisha hao Watanzania watu ambao njiani Safari nzima walikuwa wanapiga mitungi na kuvuta tumbaku ndani ya gari, na ushahidi unaonesha wazi dreva alisumbuliwa Kwa muda mrefu mpaka Ajali inatokea halikuwa kosa la roli bali ni bus la Mkombe baada ya dreva kubughuziwa na hawa wahuni wakiongozwa na huyu Ndevu, nitamuweka picha zake hapa hadharani maana nimejiridhisha katika hili, na kama hii haitoshi ilifikia hatua huyu Jamaa basi la Pili la Mkombe liliwafuata Zambia Selenje baada ya ajali kuwachukuwa kuwafikisha Dar baada ya kufika Shekilango Ndevu anataka kuiba begi la Abiria ambaye ni marehemu, confirmed death ni watu wanane wakiwemo madereva wote wawili wa Mkombe luxury.

Hapa chini hii ni text nimetumiwa, hukumu yake tutamsomea kwenye group la WhatsApp.

KIONGOZI HILI SWALA NI SWALA LA KISHWAINI SANA.......MKOMBE NDIO KATOA TAARIFA HIZI NA VOICE NOT ZA DEREVA KASEMA ANAZO MIMI KESHO NITAOMBA ANITUMIE VOICE NOT KISHA PIA NITAOMBA HUYU NDEVU TUMLETE HUMU NDANI......KWANZA TAYARI ANA CASE MOJA YA KUTAKA KUIBA BEG LA MAREHEMU YEYE NA MASELA MAVI WEZAKE. Mwisho wa kunukuu.

Picha 1 na 2 huyo ndio Ndevu kwao Mbagala na picha ya 3 ni dreva ambaye amepoteza maisha.

Cc: Pascal Mayalla
siku zote watu wenye ndevu na lidomo kama anakula watu hivyo hawajawahi kuwa wema. jua tu mioyo yao imejaa ukatili na kuwaza kuteketeza watu. achana na ndevu za kawaida, hao madevu ukikutana nao tu wengine huhitaji kuambiwa kwamba ni mtu hatari kaa naye mbali, wapo wazi.
 
Hakuna Dr hapa, huyu ni agent wa Mkombe hapo Magufuli BT kaja kutafuta public sympathy na tuendelee kutumia mabasi yao.

Anavomlaumu mandevu bila kuweka makosa yake inatia shaka!! Labda kama dereva alikua na pumu Mandevu akavuta sigara dereva akakosa hewa hapo sawa!!
Hiyo kampuni within a month imepata ajali sijui mbili au tatu, zote Mandevu alikua anawasumbua dereva??

Lunatic Dr
Hapo sawa, kwa sababu haeleweki
 
Dokta leo umepuyanga...Mtafute brother Mohamed Msangi akusimulie vizuri. Huyo alie kusimulia amekupotosha
 
Nje ya mada,

Hivi passport za AB.... bado zinatumika au hao raia wenye hizo passport hawakuwa wamerudi Tanzania muda mrefu?
Nadhani zitakuwa ni Emergency travel documents bado zinatumia namba AB...
 
IMG-20231231-WA0002.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom