Ukweli wa Ajali ya bus la Mkombe luxury hiki ndicho kilichotokea, Ukweli utatuweka huru

Daah! Halafu huyo ndevu katoka mzima kabisa.

Na anaonekaana amelewa hatari.
Imagine haka Kato innocent alikuwa na mama yake Wakenya amefariki kwenye hiyo ajari mtoto kapona, unamtia uyatima mtoto kama huyu.
 

Attachments

  • IMG-20231231-WA0011.jpg
    25.2 KB · Views: 12
Nina orodha ya Abiria wote, Mkombe mwenyewe amethibitisha wanamfungulia mashtaka Tanzania.
Kwanini walishindwa kutoa taarifa?

Yaani. Mtu anasumbua zaidi ya mara moja na bado mmekaa mnmkumbatia na anavuta tumbaku?

Kwa kweli sijaelewa.
 
Kuna uwezekano mkubwa hata wewe mleta mada wakati unaandika hii thread ulikuwa na hangover za konyagi na tumbaku kichwani maana uandishi wako haueleweki
 
Kusumbuliwaje? Kwamba walikuwa wanamuongelesha? Wanamtia misingi? Ama ni vipi?

Abiria walikuwa hawaoni? Dereva alishindwa kupack na kumpa vitasa huyo Ndevu?

Wanajuana hao,, Kama hana huo ubavu wa kumtia vitasa?
 
Ukweli uko wapi ktk andiko lako mkuu?
Maana nimeona unataja mara ndevu na masela mara dereva mara Lory hata sijakuelewa.
 
Robot mpaka liwe programmed na Binadamu, huwezi kuelewa kinachoongelewa hapa hii siyo thread ya kula tunda kimasihara.
We ni Dr MD au PhD?? Kwanini u complicate vitu?? Make them clear!! Idadi ya ambao hawajauelewa ni kubwa can't you see that?
How comes international drivers apate ajali kisa abiria mmoja au wawili??

Yaani dereva wa kuendesha Almost Km5,000 ndo awe disturbed na abiria mpaka apate ajari na afariki?? Alishindwa nini kuweka gari pembeni wakamshusha huyo mandevu??


Yeye na mwenzie kafa Mandevu yupo!! Does it make sense??

Watamshitaki Mandevu kwa kosa lipi?? Labda kama alimshikia bastola!!


Elezea tukuelewe, usitafute public sympathy

Nonsense Dr!
 
Kwani dereva hakuona police huko Zambia ulevi na sigara anaviruhusije kwenye basi.
Pana abiria alitaka kuvuta fegi kwenye basi nikaichomoa nikaizima nikaitupa nje
Ulifanya hivyo ukiwa kama abiria mwenza ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…