mwandende JR
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 1,090
- 1,336
Mnaishi kwa matukio ya kutengeneza......hata VIDEO ZA YESU pia tumezionawee unamuitaje muhammad ni Mtume wakti yeye Mwenyewe Amesema Hana hiyo sifa [emoji47] [emoji348] [emoji348] [emoji117][emoji118] [emoji117] hamfundishiki [emoji15] [emoji4]
Uislamu ulioanzishwa na ....... majuzi tuu tena baada ya Yesu na alichukua baadhi ya maadiko ya agano la kale akayapotosha na kuweka ya kwake ndio unasema Baba wa imani alikuwa Muislam? alitamka nini wakati anaslim maana aliyetunga hiyo shahada alikuja baada ya Yesu ana hakutabiriwa kwenye kitabu chochote? Ona upotoshaji wa hali ya juu kuwa eti mtoto wa pekee wa ibrahim aliyetaka kutolewa sadaka ni ISHUMAEL wakati biblia iliyokuwepo kabla inasena ni ISACK mwana wa pekee na wa ahadi wa IbrahimDini sio KUBET....unapaswa UJUWE unachokiongea..aliyokwambiya ISMAIL ndio uzao wa yesu nani?Ismail ndy uzao wa MTUME.MUHAMAD (SAW)na ISHAKA ni uzao wa YESU...sasa hapo hapo BABA wa ISMAIL na ISHAKA ambaye ni IBRAHIM alikuwa ni MUISLAM sasa yesu atakuwa dini gn?
Tatizo sio wote wanasoma hivi vitu...uislamu mara nyingi ni kama unapambana kuonyesha kasoro za ukristo badala ya kusaidi watu kutenda mema..MAONI YALIYOKAA SAWA
17- MAONI YALIYOKAA SAWA
Alipokuja Nabii Muhammad s.a.w. mambo yote yaliwekwa sawa. Mafunzo safi ya Musa yalirejeshwa pahala pake, na dini ya Yesu ilisafishwa na kutolewa takataka za Upaulo. Zote dini hizo mbili, Uyahudi na Ukristo, bali dini zote zilizogeuka zilirejeshwa kwenye umbo lao la asli lisiloharibika, umbo la Uislamu. Muhammad s.a.w. alifunza kwa uwazi kabisa juu ya dhambi, na akalegeza mikazo iliyokuwa imewabana Mayahudi. Alifahamisha kuwa baadhi ya mikazo hiyo ni matokeo ya inda yao wenyewe na uasi wao, na mingine ilizuliwa na makuhani wao tu ili wazidi kuwakandamiza na kuwaendesha watakavyo wafuasi wao. Upande mwingine hakuwaacha watu wakitangatanga gizani bila ya uwongozi, wala hakuwaacha watu watende horera watakavyo au kuwaambia watazame maandishi ya kale ambayo jinsi yalivyo chafuliwa kwa maongezo na mabadiliko hata mtu hawezi kutambua lipi la kweli na lipi la uwongo, lipi la Mungu na lipi la matamanio ya binaadamu. Kuachia mambo hivyo huzidisha zogo penye fujo. La! Muhammad alikuja na Qur'ani, kitabu cha kusomwa, au kwa jina jingine, Furqan, yaani Kitabu cha kufarikisha, yaani kupambanua, baina ya haki na baatili, baina ya kweli na uwongo. Alileta Sharia, Sharia ya Kweli ya Mwenyezi Mungu, iliyomkomboa binaadamu kutokana na minyororo iliyowatatiza Mayahudi, lakini haikuacha mambo ovyo kila mtu atende atakavyo kama alivyofanya Paulo kuivunja sharia kabisa. Huo ni utumwa mwingine ambao ni mbaya zaidi, kwa kuwa ni utumwa wa ubongo na roho, kuuwachilia mwili utende upendalo na kuifunga akili isifikiri na roho isinawirike. Sharia ya Qur'ani ni sharia ya kati na kati. Dini ya Kiislamu ni ya kati na kati. Si ya kulia wala kushoto lakini ya kuongoza mbele moja kwa moja kumfikilia Mwenyezi Mungu. Anasema Mola Mlezi katika Qur'ani:
Adhabu yangu nitamfikishia nimtakaye, na rehema yangu imekienea kila kitu. Lakini nitawaandikia wale wanaomcha Mungu, na wanaotoa Zaka na wanaoziamini Aya zetu, ambao wanamfuata Mtume, Nabii asiyejua kusoma na kuandika, ambaye wanamkuta ameandikwa kwao katika Taurati na Injili, ambaye anawaamrisha mema na anawakataza maovu, na anawahalalishia vizuri, na anawaondolea mizigo yao na minyororo iliyokuwa juu yao. Basi wale waliomuamini yeye, na wakamhishimu, na wakamsaidia, na wakaifuata nuru iliyoteremshwa pamoja naye - hao ndio wenye kufanikiwa.
(Qur'ani) Al Aaraf 7.156-57
Huyu ndiye Roho wa Kweli aliyetolewa bishara yake na Yesu kama ilivyo katika Injili ya Yohana sura ya 16. Ni yeye ambaye amesimuliwa kuwa "akisha kuja, huyo atauhakikisha ulimwengu kwa habari ya dhambi, na haki, na hukumu...huyo roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote." Ni huyu Muhammad s.a.w. ndiye aliyeambiwa Nabii Musa a.s. na Mwenyezi Mungu katika Kumbukumbu la torati sura ya 18:
Mimi nitawaondokeshea nabii miongoni mwa ndugu zao mfano wako wewe.
Kumbukumbu 18.18
Mafunzo ya Nabii Muhammad ndiyo yale ya Nabii Isa na ndio yale ya Nabii Musa na Nabii Ibrahim na kila Nabii aliyetokana na Mwenyezi Mungu. Msingi wao ni mmoja. Sharia zaweza kukhitilafiana kwa mujibu wa zama na hali, ama Imani na mambo ya kiroho na wema na ubaya hayo ni mamoja. Qur'ani imetilia nguvu sana juu ya Imani, Imani ya Mwenyezi Mungu Mmoja, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu, Imani kamili ya fadhila na neema ya Mwenyezi Mungu.
Na lau kuwa si fadhila ya Mwenyezi Mungu na rehema yake juu yenu asingelitakasika miongoni mwenu kabisa hata mmoja.
(Qur'ani) An Nur 24.21
Lakini kumuamini Mwenyezi Mungu ni kutenda yale ayapendayo. Kama asemavyo Jalaludin Rumi, mshairi sufi mkubwa: "Ukimuamini Mwenyezi Mungu muamini kwa vitendo vyako! Atika mbegu, tena ndio mtegemee Mwenyezi Mungu!" Mswahili akichukua jembe kwenda kondeni husema: "Nenda omba Mungu."
Alikuwapo mtu mmoja akamuuliza Mtume s.a.w. amwachilie ngamia wake naye akimtegemea Mwenyezi Mungu? Mtume alimjibu: "Mfunge ngamia wako, ukisha ndio mtegemee Mwenyezi Mungu."
Qur'ani imejaa maneno kama haya: "Wanaoamini wakatenda mema". Na Yesu naye amefunza haya haya kama yaliyomo katika maneno yake mwenyewe, sio ya Paulo. Na waraka wa Yakobo, nduguye Yesu, unasema hivyo hivyo.
Hakuwa mkristo bali Kristo mwenyewe...sinagogi sio msikiti ...misikiti na masheik walikua nayo wafilisti (wapelestina wa leo) ambao walikua maadui wakubwa wa wayahudi, watu wasio tahiriwa, Yesu alikuja kuokoa kilichopotea ...enendeni ulimwenguni mwote mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu...hakuna namna unaweza kuuhusisha ukristo na uislamu ni vitu viwili tofauti...hatupendi sana kuuzungumzia huu ukweli..hata uumbaji wa Allah ni tofauti na wa Jehova mmoja alitumia mavumbi, mwingine alitumia matakataka...wengine tuna hiji Jerusalem wengine Makkah... Wengine ni wana wa Ibrahim wengine ni wana wa Ismail..tunaadhimisha miaka tofauti na tuna falsafa tofauti...miungu ilikuepo tangu zamani so sio lazima Allah na Yahweh wawe Mungu mmoja kila mtu aamini anachokiamini.Mbona umesahau kutwambiya YESU alikuwa anaingia ktk SINAGOGI?na sinagogi ni MSIKITI kwa kiyahudi.....pia YESU anasema sikuja mimi bali kwa makabila 12 ya wana israel waliopotea wewe kabila gani?halafu kaulize kesho NABII IBRAHIM,,NABII YUSUPH,,NABII YAKOBO wote wsmezikwa MASJIDIL ABRAHAM huko israel ...kwann wazikwe msikitini?na sio kanisani?elewa kuna tofauti kubwa kati ya YESU NA UKRISTO....YESU hakuwa mkristo....
Hawezi kua mtu mmoja ..hawakusudii mmoja ila labda wanaelewa kuwa ni mmojaTatizo hili suala la Yesu huwa ni utata kati wakristo na waislamu japo wote wanamkusudia huyohuyo mmoja ila wanatofautiana maelezo.
Na hii kwa sababu imani moja hapo imejimilikisha huyo Yesu na kuonekana kuwa wao ndiyo wenye haki na Yesu na hivyo wao ndiyo wenye maelezo sahihi juu ya Yesu,lakini kiuhalisia anayekusudiwa ni mmoja tu huyo huyo ila tatizo ila tatizo ni maelezo ya watu juu ya huyo mlengwa na ndiyo maana kuna wengine husema Yesu alikuwa Mungu,wengine alikuwa mtu tu wa kawaida na wengine husema alikuwa mtoto wa mungu.
Kanisa ni kitu tofauti kabisa na sinagogi na msikiti kanisa sio jengo na hata history ya kanisa sio hiyo..kanisa limekuja baada ya Yesu na lilianzia Jerusalem lina maana kusanyiko la wakristo...sinagogi sio msikiti labda msikiti uwe sinagogi...msikiti umekuja umekuta sinagogi tayar lipo......uislamu ni kama copy ya kitu kutoka kwa torati ya Musa.. na kamwe waislamu hawawezi kuyaelewa maandiko kwasababu ni copy unless warudi kusoma Bible ambayo inaufunuo zaidi ya Quran ...at the begging nilikua nasoma waislamu wengi kusema wameshushiwa kitabu nikadhanj kilishuka as a book from heaven but kumbe ni kitu kama ndoto hvSinagogi ni msikiti...sio kanisa...kinachofanyika SASA KWENU ni kufanyia maboresho mapungufu na kuyafanyia kazi..KAMA HIYO SINAGOGI....tangu lini KANISA LIKAITWA MSIKITI?..UKRISTO NI DINI ya WATU...SI DINI YA MUNGU..
Umenena vema mtumishi Mungu akuinue zaidiKwa wanao mfuata Yesu Kristo majengo hayana maana bali mwili ambao ni hekalu la Mungu
Hiki ndicho Mungu hujivunia kwa binadamu ndio maana atakapokuja kuhukumu atahukumu roho ambayo ipo ndani ya hekalu lake yaani mwili
Hivi ni vitu vigumu kwenu kuvielewa waislamu
Immanuel maana yake Mungu pamoja nasi...kipindi anazaliwa inasemekna kulikua na Yesu wengine wawili mtaani kwao sina evidence kwa hili la hao Yesu wengineElimu haina mwisho hebu tusaudie Yesu jina lake hasa ni nani aliloitwa na mama yake manake Yesu tumempa sisi Jésus wamempa warumi issa waarabu
Yesu alikua Messiah its difficult kumuelezea muislamu aliyesoma verse kadhaa kuhusu uungu wa Yesu akaelewa labda akibahatika kupata mapepo udi ukashindwa wakija kwa Yesu ndio wanaelewa kwann Yesu ni Mungu ila hivi hivi ni ngumuMkuu usilaumu waislamu wakati sifa za Mungu hata kwenye Biblia zipo na ndipo utakuta kuwa inasema Mungu hana mfano,sasa kama Biblia hiyohiyo inasema Mungu hana mfano halafu pia inasema tulivyo binaadamu wa Mungu basi tatizo ni Biblia yenyewe na si waislamu.
Tatizo kama hili pia lipo kwa upande wa Yesu alikuwa Mungu au ni binaadamu tu,maana pia nako huko sifa za Mungu zilikosekana kwa Yesu lakini bado wengine wanasema alikuwa Mungu.
ALLAH ni mmoja, mungu ni zaidi ya mmoja. Mungu wa waluguru aitwa KOLERO, mungu wa ufipa aitwa Lyamba lyamfipa. RUHANI, KINYAMKERA, MIBUYU, JUA, RADI, NG'OMBE, BAHARI, MITO NK. hiyo ni miungu kwenye maeneo husika. pia baadhi ya dini zina mungu zaidi ya mmoja. kuna mungu baba, mwana nk. hivyo inaposemwa "apasaye kuabudiwa kwa haki". hapo umewafuta wote amebakia mmoja aliye mpweke ALLAH, muumbaji wa vyote.Jibu ni rahisi tu kuna Mungu na kuna allah, hawa ni vitu viwili tofauti.
Sawa biblia inasema hayo, je waislam wanaamini kwenye biblia hata uwaone wamejitoa ufahamu? Kufanana kwa baadhi ya aya za Qur'an na Biblia si kigezo cha lazima cha waislam kuiamini biblia. Kitabu cha Waislam ni Qur'uani . Na Qur'uan ni kitabu kilichojitosheleza, wala hakina upungufu kiasi cha kukopa aya za vitabu vingine. Uislamu hauamini kama mwanadamu aliyetoka kwenye asili ya uchafu (udongo/ manii) afanane na Mungu muumba!!!Unajua waislamu watu wa ajabu sn......eti john wa mbagala ndo huyohuyo wa masaki. Hata ibrahim anayetajwa kwenye kuran ni tofauti kabisa na wa Wakristo......alafu waislamu wanasema mungu hafanani wala hana mfano wkt Biblia takatifu inatufundisha kuwa Tumeumbwa kwa mfano wake ktk kitabu cha mwanzo Bible ina sema Mungu akasema "Na tuumbe mtu kwa mfano wetu......."
Ukiwa muislamu ni km kujitoa ufahamu inabidi uwe tayari kuelewa na kuamini kuwa unaweza kuua mtu ili uende peponi ukipigania dini ya mnyazimungu
Sasa hapa unachanganya, hivi Yesu ni mwana wa mungu au mwana wa Joseph?Yesu alisulubiwa wakati issa alipaa,kweli ni watu wawili tofauti.Issa anaitwa Issa bin Mariam wakati Yesu anaitwa mwana wa joseph.
[emoji116] [emoji116] [emoji115] [emoji115] Kweli wanajichanganyaSasa hapa unachanganya, hivi Yesu ni mwana wa mungu au mwana wa Joseph?
Na kama ni mwana wa joseph kwanini mnamwita mwana wa mungu?
Kwahiyo ni Yesu mwana wa joseph, safi sana
.....kwahiyo Yesu ni mwana wa Joseph fundi seremala !
Swali:
Je, baada ya wewe kuwa umewashuhudia Yesu Kristo na Muhammad, ni nani ambaye angeweza kukushawishi kuwa ndiye mtume wa kweli wa Mungu na kumwamini?
Ni wakristo ndiyo husema Issa sio Yesu ila waislamu wanapomzungumzia Issa humkusudia mtu huyohuyo mmoja ambaye wakristo humwita Yesu.Hawezi kua mtu mmoja ..hawakusudii mmoja ila labda wanaelewa kuwa ni mmoja
Ukishasema uungu wa fulani teyari ni tatizo,maana hata wanaoabudu ng'ombe pia wanaweza kukwambia huelewi uungu wa ng'ombe.Yesu alikua Messiah its difficult kumuelezea muislamu aliyesoma verse kadhaa kuhusu uungu wa Yesu akaelewa labda akibahatika kupata mapepo udi ukashindwa wakija kwa Yesu ndio wanaelewa kwann Yesu ni Mungu ila hivi hivi ni ngumu