Ukweli wa fedha za haraka: Tunadanganywa au ni kawaida ya kila mtanzania kununuliwa ndoto?

Ukweli wa fedha za haraka: Tunadanganywa au ni kawaida ya kila mtanzania kununuliwa ndoto?

Hiki ndicho huwa nawambia watu. Yani uwe trader mzuri sana unaweza jifunfia uka turn $1000 into 10,000 within a few weeks halafu uhamgaike kufundisha watu wakulipe sijui lak 3 kwa sababu gani?
Huo muda si utapaswa kuwa bsy una trade
Mambo sio marahisi kama ulivyoandika hapo.............That's why, ndio maana most consistency Trader wanashauri mtu u-risk 1% ya capital yako, umezidi sana 3% sio zaidi ya hapo.
 
Crypto haichezwi kiongozi, sijui kwanini watu hawaelewi na serikali zetu hazitii uzito katika hili jambo la kuelimisha watu ili kuondoa huu utata wa watu kuitafsiri Cryptocurrency kana vile kamari na hiyo michezo ya kubahatisha.

Crytpo kiufupi ni biashara ya fedha/sarafu za kidigital zenye thamani halisi, ambapo unaweza kuzitumia kufanya miamala ya bidhaa na huduma mbalimbali za malipo ya mtandaoni na manunuzi mitandaoni au kuzi invest kwa muda fulani kwa matarajio ya kupanda kwake thamani ili uje kuziuza baada ya kupanda kwake thamani.

Pia unaweza kuzitumia kwa kujipatia faida kwa kuzibadili sarafu hizo kwenda sarafu zingine kwa target ya kupata faida ya kati ktk masoko tofauti, mfano, Pesa ya Tanzania kuinunua ktk soko A, kwa thamani ya kiasi fulan mfano elfu5(5000) na kuiuza ktk soko B kwa faida ya 5700Tsh, yaan unatengeneza faida baada ya mauzonya sarafu ya aina moja ktk masoko tofauti.

Karibu PM
Ni bure mkuu nije mkuu
 
Back
Top Bottom