Ukweli wa fedha za haraka: Tunadanganywa au ni kawaida ya kila mtanzania kununuliwa ndoto?

Ukweli wa fedha za haraka: Tunadanganywa au ni kawaida ya kila mtanzania kununuliwa ndoto?

Mie naona ni kujilipua tu, kuna hii sijui FIC, kama miezi 4 iliyopiya watu wamejiunga, kujilipua sasa saa hivi watu wanaogelea kwenye mamilioni.
Ukiangalia sana ni risk, yanaweza yakawa kama ya DECI. Zaidi sana, kwa jicho la kiroho, ni hatari hata kwa usalama wa nchi. Ebu fikiria mtu anaweka 1m anafaida 50,000 hivi kwa siku. Hivi huyu anweza waza kulima, akiuza bodaboda 3m aka bet kwa faida hiyo, si anakula bila jasho. Pamoja Serikali kukata kodi kwa mihamala ya simu, personally bado ni risk! Cheap ia expensive.

Mtu awake 100m faida yake vipi, labda ni polisi, mjeda itokee uhalifu wa ku risk maisha, atakwenda? si ndio inakuwa kama Congo!!
 
Mkuu tofautisha pyramid scheme na cryptos ni vitu viwili tofauti.
Hizo LBL sijui Gwec na hiyo FIC ulivyoiongelea ni kama pyramid scheme ni tofauti na cryptos.
 
Crypt kuna mwingine anadai 540,000 unacheza, baada ya miaka 3 unapewa million 100. Kuna ukweli hapo?
Hiyo ni scam jamani hebu someni vitu crypto haiko hivyo hizo ni pyramid scheme. Siku hizi wanatumia advantage ya kuchanganya ukweli kwenye uongo ili kuwa scam watu.
Watu hawana taarifa na masoko ya kifedha basi wanakuwa victims. If it is good to be true basi jia si true. Huku kwenye scams za pyramid schemes huwa tunaweka pesa tukijua kuwa itabuma so tunaweka mwanzo tunakula tunatulia
 
Mkui tofautisha pyramid scheme na cryptos ni vitu viwili tofauti.
Hizo LBL sijui Gwec na hiyo FIC ulivyoiongelea ni kama pyramid scheme ni tofauti na cryptos.
Sio ni kama, Ni Pyramid scheme kabisa, and rumours are one of them is shutting down very soon if it hasn't already.. The streets are on heat 😂, every withdraw they are doing wanaambiwa the transaction is on process 😂😂😂😂. Ponzi scheme hatari sana
 
Mtu kama amemaster kitu kisawasawa hawezi kupoteza muda wake kuanza kuwafundisha watu Kwa ada uchwara hizi, angekua busy kutrade na kupata pesa zake, Sasa hua nashangaa ma guru wa cypro karibu wote wameshindwa ku apply knowledge zao wako busy kutafuta watu wa kuwa mentor tu
 
Lbl nmeingia mapema nikijua ni ponze toka sept nala mpaka leo. Sasa wasiojua sasa wanavamia eti wanawekeza kwa muda mrefu
 
Mtu kama amemaster kitu kisawasawa hawezi kupoteza muda wake kuanza kuwafundisha watu Kwa ada uchwara hizi, angekua busy kutrade na kupata pesa zake, Sasa hua nashangaa ma guru wa cypro karibu wote wameshindwa ku apply knowledge zao wako busy kutafuta watu wa kuwa mentor tu
Hiki ndicho huwa nawambia watu. Yani uwe trader mzuri sana unaweza jifunfia uka turn $1000 into 10,000 within a few weeks halafu uhamgaike kufundisha watu wakulipe sijui lak 3 kwa sababu gani?
Huo muda si utapaswa kuwa bsy una trade
 
Kuna moja ilikuja inaitwa total energies ilikuwa na return kubwa kinoma ilidumu siki 14 tu. Kuna demu aliweka mls sita akiambulia kutoa 1.5 tu. Mimi nlitia 500k nikatoa 734k nilikoswa koswa
Duuuh me nna rafiki zangu wao ni risk takers wanaviziaga mpya tu zinazoanza ahahaha na wanaokota
 
Habari za Sasa hivi hope everyone is fine,
Bhana eeh siku moja, nilikuwa naongea na rafiki yangu wa muda mrefu, Rasi. Nilijua kuwa alikuwa ameanza kufanya kazi online, lakini sikuwahi kuelewa vizuri ni kazi gani hasa alikuwa anafanya. Tulikuwa tunakutana mara chache, lakini kila tukikutana, maisha yake yalikuwa yanabadilika kwa kasi sana.

Nilianza kushangaa baada ya kuona mabadiliko yake—kutoka kwa kuvaa kawaida hadi kuvaa mavazi ya kifahari, kutoka kwa kutumia simu ya kawaida hadi kuwa na flagship ya iPhone mpya kila mwaka.

Siku moja, nilimkazia macho na kumwambia, “Rasi eeh, sikuelewi kabisa. Juzi tu tulikuwa tunahangaika wote kutafuta hela, leo hii maisha yako ni kama ya mtu aliyeshinda jackpot. Nifungukie basi, unafanya nini?”

Alitabasamu, kisha akasema kwa sauti ya utulivu, “Bro, ni cryptocurrency. Hapa ndipo pesa ipo.”

Nilishtuka kidogo. Nilishasikia kuhusu crypto mara nyingi, lakini sikuwahi kuichukulia kwa uzito. “Basi nifundishe nami nianze?” nilimuuliza kwa hamu.

Alitingisha kichwa na kunitazama kwa macho makali. “Hapana bro, hii mishe si ya kila mtu. Ukiingia bila kuelewa, unaweza kupoteza kila kitu.”

Nilimsihi, nikamwambia niko tayari kujifunza, lakini bado hakutaka kunifundisha. Nilijaribu kumuuliza jamaa zetu wa karibu kama wanajua anachofanya hasa, lakini hakuna aliyekuwa na majibu kamili.

Ndipo nikajua kuwa si kila mtu atakusaidia kwenye njia ya mafanikio. Nikasema, ikiwa Rasi hataki kunifundisha, basi siwezi kukata tamaa. Nikaamua kutafuta njia mbadala.

Nikajiunga na magroup mbalimbali, nikasoma makala, na nikaanza kufuatilia mijadala ya cryptocurrency. Hatimaye, nikagundua kuwa wadau wengi wanashare maarifa kwenye forum kama Jamii Forums. Nikajiambia, kama kuna mtu anayeweza kutufundisha, basi ni wadau wa JF.

Sasa, wadau, njooni hapa mtufundishe. Crypto ni real, lakini bila mwongozo, mtu anaweza kuingia kichwa kichwa na kuumia. Kama kuna mtu mwenye maarifa ya kutosha kuhusu crypto, mining, staking, trading, na hata airdrops, tafadhali tujuzeni!

Wadau mpo?
Rafiki yako yupo sahihi,.......,...ni mtu mwenye akili sana na yupo real
1.2022 Solana ilishuka hadi $8,2025 imepanda hadi $232,...........
2.2022 Terra/Luna imecollapse from $60 up to less than $0.1,na Hadi leo haijavuka hapo
Sasa imagine angukuambia ununue kisha ukahold Terra,Yeye akahold,Solana?..............
3.Binafsi 2021 niliwatumia ndugu jamaa na wale watu wote naowajua wamine Pi coins,........Leo Pi moja imefika $2,chukulia wangekua wameunlock 30% ya Pi zao,hakuna angayekosa $600=1,500,000/=na hii ni Bure huweki hata shilingi moja..........
Then ndani ya hao Kuna Wapumbavu watakuja kunisema kua sijawai kuwasaidia kwa chochote mimi nina roho mbaya sana😁😀😆
 
Hii ndo nimesikia this week
 
Ndio hivo mkuu sio Kila mtu utayempa fursa atafanya kama wewe,.........tusiwe wepesi kuwalaumu matajiri, hata wawe rariki zetu,........vingi wanavovifanya inawezekana wameshawahi kutuambia tufanye ila sisi tukapuuzia,...ama wanaogopa kutuambia tusije kupata hasara,....unadhani wanaweza kua na nguvu ya kuwaambia watu wengine Tena?
Hii ndo nimesikia this week
 
Na Mimi nataka kucheza huu
Mchezo jamaani nipeni maarifa maana ni 0 sina nachojua kabisaa kuhusu hela za mtandaoni
 
Back
Top Bottom