mubhwe geniesama
Member
- Sep 11, 2024
- 54
- 121
Mie naona ni kujilipua tu, kuna hii sijui FIC, kama miezi 4 iliyopiya watu wamejiunga, kujilipua sasa saa hivi watu wanaogelea kwenye mamilioni.
Ukiangalia sana ni risk, yanaweza yakawa kama ya DECI. Zaidi sana, kwa jicho la kiroho, ni hatari hata kwa usalama wa nchi. Ebu fikiria mtu anaweka 1m anafaida 50,000 hivi kwa siku. Hivi huyu anweza waza kulima, akiuza bodaboda 3m aka bet kwa faida hiyo, si anakula bila jasho. Pamoja Serikali kukata kodi kwa mihamala ya simu, personally bado ni risk! Cheap ia expensive.
Mtu awake 100m faida yake vipi, labda ni polisi, mjeda itokee uhalifu wa ku risk maisha, atakwenda? si ndio inakuwa kama Congo!!