tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
duh! vilaza walikimbia hesabu lakini wanajiita namba namba ..mara ziroseventytwo mara threesixteen heheheh kaazi kwei kwei.
ha ha ha naona una bifu na vilaza!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh! vilaza walikimbia hesabu lakini wanajiita namba namba ..mara ziroseventytwo mara threesixteen heheheh kaazi kwei kwei.
Kiranga akirudi tena kwa style ile ya nwanzo ya kitoto,tutahakikisha tunamfanyia fitina mpaka akasirike zaidi ya mara ya kwanza.chezea team fitina wewe.ha ha ha. Mgalanjuka usihofu mkuu,rudi utupe ilm.tupo kuhakikisha protocal inazingatiwa na utaratibu unafatwa.
kuna kitu kimegusiwa kwa uchache ni.kuhusiana na jua na movement zake wakuu hv ni kweli jua linatembea tena kwa spidi. kali hivi ni kweli jua linaongezeka ukubwa na mwisho litazeeeka na ndio utakuwa mwisho wa iniverse ytu kwani nyota na sayari zitagongana
plz kwa mwenye kuyajua haya anijuze kidogo
Let's do the knowledge.
Kama dunia inavyozunguka jua, jua linazunguka katikati ya galaxy na hata galaxy yenyewe inazunguka.
Galaxy za karibu kama yetu ya Milky Way na Andromeda zitagongana na kuungana.
Kwa jinsi ya galaxies zilivyo kubwa, zinaweza kugongana na kuungana bila ya nyota kama jua na nyota nyingine za Andromeda galaxy kugongana.
Jua ni kama mshumaa unaowaka, inakadiriwa kwamba baada ya miaka bilioni tano energy inayowasha jua itakwisha na jua litazimika.
Soma zaidi kuhusu mgongano wa Andromeda na Milky way galaxies hapa
AndromedaâMilky Way collision - Wikipedia, the free encyclopedia
Ona video inayoonyesha jinsi itakavyokuwa hapa
http://upload.wikimedia.org/wikiped...dromeda_and_Milky_Way_collision.ogg.480p.webm

finally,now you're posting issues like an adult.kudos to team fitna.
NB:ni kwa kiasi gani theory ya cosmogony inahusiana na astronomy kwa ujumla wake.naomba jibu lako liwe kwa manufaa ya wanajf wote.itakuwa vyema sana likiwa kwa kiswahili.
Hii thread ilifika page ya 21, lakini sasa imerudi mpaka 12. Mods mtakuwa mmefanya jambo jema sana kuondoa ule upuuzi wa kina kiranga na wenzake.
Kuleni 5! Mgalanjuka njoo uendelee na somo.

Naona Mgalanjuka umeamua kubadili jina na sasa unajiita Monstgala
Mimi sijui kitu
absolutely,asante mkuu.
Usiniulize maswali. Ukiniuliza unajikanganya.
Na kujidhihirisha kwamba hujui zaidi yangu nisiyejua kitu.
usijifu kuwa unajua kumbe hujui,ukisijifu mwishowe unaaibika.period.
Hiyo avatar ya Kiranga nayo ni galaxy?