Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
rahisi hivyo tu and done!?.aise wewe ni super genius wa level za juu mno.basi tufanye umeshinda.
Kama ni rahisi hivyo prove kisichokuwepo chochote hakipo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
rahisi hivyo tu and done!?.aise wewe ni super genius wa level za juu mno.basi tufanye umeshinda.
Mkuu naomba kuuliza, neutron star inawezaje kupita karibu na jua wakati star ni stationary bodies au kuna stars zinazojongea?
Mkuu naomba kuuliza, neutron star inawezaje kupita karibu na jua wakati star ni stationary bodies au kuna stars zinazojongea?
Mgalanjuka
Nimesikia kuwa kuna nyota iliyopewa jina la Zombie inakaribia kuingia kwenye mzunguko wa nyota zinazooneka kwenye ulimwengu wetu! Je hii ni aina gani ya nyota? aidha inaweza kusababisha madhara yoyote kwetu?
Mgalanjuka I salute for you kwa kufundisha jambo kubwa la kisayansi kwa lugha mama na kwa ufahamu unaomfanya mwenye Elimu ya chini sana darasa la tano kukuelewa na kupata mantiki ya sayansi.
Nimesikitishwa kidogo kuwa nawe umeweza kugilibiwa na Kiranga na kuacha mada yako ya msingi ya SAYANSI na kuamia mada ya SUPER POWER kwa wanasayansi au MUNGU kwa waamini hivyo kutuacha nje wanafunzi kudadisi mambo mazuri uliyokuwa unayafundisha ya sayansi ya anga kwa njia nyepesi kabisa na kwa lugha mama.
Binafsi nimesoma biashara, lakini mzazi ni Mwanasayansi nimelelewa mazingira ya kisayansi, uwa nafuatilia kama hsehemu ya maisha yangu na hobby kusoma na kujifunza sayansi na matamanio pia kuona mmoja wa watoto wangu anajifunza sayansi ya anga.
Pia uwa naamini wanasayansi uwa ni watu wasikivu wasio much know,n wewe kutokana na jinsi ulivyoendesha mada hii toka mwanzo imenithibitishia hilo,ombi achana na mjadala wa uwepo wa MUNGU, Imani yako ni IMANI yako binafsi sayansi ni SOTE unataka utaki ipo ni REALITY.
IMANI ya uwepo wa MUNGU si mjadala hapa, mjadala ni Elimu ya Sayansi ya ANGA. Kwa waelevu [intellectuals] yoyote yule kile kitendo cha kusema kuna SUPER POWER tayari ni uwepo wa nguvu za KIMUNGU.Na ndio watu wakasema ukiwa unajua sayansi ya kubabia unakuwa too fanatic na reality.Na ukiijua sana sayansi UNATAMBUA uwepo wa nguvu za KIMUNGU.
Ushauri wangu kwa wakwepsha mada kwa kuingiza mada zisizo husika. Wakati mwingine kusikiliza sana ndio kuelewa na kuleta ufahamu mkubwa wa mambo muhimu,[silence speaks louder than wolds] blabla nyingi ni dalili ya inferiority.Ukiona mtu anaongea sana bila kuwa na conclusive evidence kusupport argument yake na kutumia lugha zisizo eleweka kama Bombastick words na maneno magumu kufahamika kwa wasikilizaji ama halaiki [Audience] yake juu mtu huyo ni kanjanja anaejiweka kwenye kundi la waelevu [Intellectuals].Kitendo cha kuwa great thinker pia ni kukubali kuwa kama Mwalimu anajua KIDOLE basi kuna Mwanafunzi anajua KIGANJA.Na si kila mada utajua deep down kila kitu.
KUHUSU MADA.
Kuna kitabu nilipata kusoma ambacho kinazungumiza GALAXY, kuwa ni matokeo ya Big Bang na sisi kama sayari kutokana na mlipuko huo dunia na galaxy hizo ziko kwenye motion kama vitu vinavyodondoka na kuwa kwa motion hiyo hatujulikani kuwa destination yetu na galaxy hizo zitaishia wapi.Nilisoma kitabu hicho siku nyingi sana nikiwa form two.Naomba unisaidie ufafanuzi ni kweli tuko kwenye motion as universe baada ya hiyo BIG -BANG?
Wakati nasoma sekondari miaka ya nyuma 1992s kuna mtu tuliwai kumpa jina la utani [nick name] Mgalanjuka kwa wanaotoka kanda ya ziwa, mikoa ya chapa ya ngombe, ngana na dhahabu!!!!Old time me men
Mkuu DSN shukrani nimekusikia. Naamini mjadala umerudi kwenye mahali pake kwa sasa. Nilichangia kidogo katika swali la Kiranga ili kudadisi validity ya swali lake na nadhani nimejifunza kitu. Nia yangu ilikuwa wazi kuweka sawa na kuielewa argument yake ili kila mtu ajiamulie kwa akili yake. Mimi ni mtoa mada tu ili tujifunze pamoja lakini wapo wachangiaji wengi wenye kuleta changamoto na kutupa elimu zaidi. Bahati mbaya focus ikihama mimi kama wachangiaji wengine hatuna nguvu kubwa ya kuamua lakini tunachoweza kufanya labda ni kuendelea kuchangia kwa kuacha baadhi yasiyokuwa na mwelekeo wa main topic.
Kwa maneno rahisi kabisa kwa mtu wa kawaida, ina maana Zombie star ni mfano wa jua?Jua likigonga sayari kazima sayari yetu iathirike na.hata kupotea kabisa. Kisayari ni kidogo mno kwa jua.
Mkuu, ukimwambia Dunia kupimwa unamchanganya ataibua maswali mapya, kv 1. Huo mzani wa kupima tlikuwa na ukubwa gani na ulikalishwa wapi. 2. Kama ulikuwa ni mzani wa kuninginiza kamba za kuninginiza zilifungwaje na huo mzani ulishikiliwa na kitu gani.
Kwa maneno rahisi kabisa kwa mtu wa kawaida, ina maana Zombie star ni mfano wa jua?