Ukweli wa Kustaajabisha Kuhusu Nyota za Angani

Status
Not open for further replies.
Ndugu umeelekezwa huko nyuma ukiwa una mawazo tofauti toa hoja zenye mashiko...wewe unaishia kubwabwaja tu...hata Hufanyi reviews kidogo tu hata kwenye Google angalau ujipatie Ufahamu kidogo..

Unachoshangaa ni nini Mchanga kuhesabiwa?? Mbona Dunia Imepimwa Uzito na Unajulikana? Wewe Upeo wako kwenye Sayansi ni mdogo sana..

Najaribu kutafuta hata post moja uliyoshuka nondo za kuonyesha Matango Pori ya Mtoa mada Sioni..naona blahblah tu...Piga kimya kama huna maswali yenye Mantiki..

Mkuu, ukimwambia Dunia kupimwa unamchanganya ataibua maswali mapya, kv 1. Huo mzani wa kupima tlikuwa na ukubwa gani na ulikalishwa wapi. 2. Kama ulikuwa ni mzani wa kuninginiza kamba za kuninginiza zilifungwaje na huo mzani ulishikiliwa na kitu gani.
 
Sijakubali kwamba nina aina ya kichaa, nimekwambia kwamba kila binadamu ana aina ya kichaa.
Ni sawa na kusema 'mimi sio mwizi lakini kila binadamu ni mwizi ....

Sijui wewe unakuwa ni kondoo au kunguni?
Nani ana kichaa sasa?
Kama wewe ni kunguni basi huna kichaa ,lakini kama wewe ni binadamu una kichaa kama wewe mwenyewe ulivyosema
Thibitisha kwamba mungu yupo, nijue huna kichaa kwa kukubali kisichothibitishika.
Hapa mada inazungumzia masuala ya nyota za angani sio uwepo wa Mungu

Wewe unadhani inazungumzia masuala ya Mungu kwakuwa una kichaa

Hahahahaaaaaa .....!!
 
Who is trolling now?

Wewe unayedakia mahojiano ya wengine wawili au mimi ninayeuliza na kujibiwa na kuona limitations za discussion?

Unaweza kuthibitisha uwepo wa mungu?
Hiyo post hapo juu ni ya Kiranga akimjibu Kadoda11 na kumlaumu kwa kitendo chake cha kuingilia majadiliano yake na mtoa mada hii

Hapa chini kuna post ya lusungo akimjibu Pol Pot;
Mkuu Mungu ndo muumba Wa vyote.
Baada ya lusungo kumjibu hivyo Pol Pot Kiranga alikuja na kuikurupukia na kumjibu haya hapa chini
Vyote vinamjumuisha na yeye au havimjumuishi?

Kama vinamjumuisha ina maana na yeye kaumbwa?

Kama havimjumuishi ina maana hajaumba vyote?
Haya hapa ni majibu ya lusungo akimjibu Kiranga kwa kurukia majadiliano ambae sio yake
Sorry mkuu post haikua yako
Baada ya lusungo kumjibu hivyo Kiranga alikurupuka tena na majibu yake haya hapa chini
Post yoyote public JF ni ya members wote.

Vinginevyo andika PM.

Naona huelewi tofauti ya post na PM.

Unaweza tu kujiuliza swali,kama Kiranga alikuwa anajua kuwa post yote ambayo iko hapa public ni ya member wote,kulikuwa na haja gani ya kumuambia kadoda11 kuwa anadakia mahojiano ya wawili?

Nikisema huyu Kiranga ana kichaa cha kumchukia Mungu kwa iasi cha kutisha nitakuwa nimekosea?

Yaani hii sasa inashangaza!
 
Last edited by a moderator:
Hiyo post hapo juu ni ya Kiranga akimjibu Kadoda11 na kumlaumu kwa kitendo chake cha kuingilia majadiliano yake na mtoa mada hii

Hapa chini kuna post ya lusungo akimjibu Pol Pot;

Baada ya lusungo kumjibu hivyo Pol Pot Kiranga alikuja na kuikurupukia na kumjibu haya hapa chini

Haya hapa ni majibu ya lusungo akimjibu Kiranga kwa kurukia majadiliano ambae sio yake

Baada ya lusungo kumjibu hivyo Kiranga alikurupuka tena na majibu yake haya hapa chini

Unaweza tu kujiuliza swali,kama Kiranga alikuwa anajua kuwa post yote ambayo iko hapa public ni ya member wote,kulikuwa na haja gani ya kumuambia kadoda11 kuwa anadakia mahojiano ya wawili?

Nikisema huyu Kiranga ana kichaa cha kumchukia Mungu kwa iasi cha kutisha nitakuwa nimekosea?

Yaani hii sasa inashangaza!

mkuu hapo umembana pazuri hawezi chomoka.
cc lusungo
 
Last edited by a moderator:
Nahisi najaribu kuelewa hapa.

Ni kama mfano wa kuwa, huwezi thibitisha Null hypothesis bila kuwa na alternative hypothesis?

Hapa mfano ni Ho: Dunia ina upendo
H1: Dunia haina upendo

Kama hakuna pande 2 huwezi linganisha?

Na kufikia hapo mkuu Mgalanjuka ameeleweka vyema sana

Ila kwakuwa kuna watu wamejiwekeza kwenye ligi basi anakuwa anazungukz mule mule tu

Mkuu Mgalanjuka Mungu wetu wa mbinguni ambae hakuna chochote kimemshinda,yupo kila siku,nyakati zote a.k.a milele na mwenye upendo wote na uwezo wote akubariki sana!
 
Last edited by a moderator:
Unaropoka kwa kujichanganya ili uchanganye wasomaji.

Hizo ni imagination zako tu. Na tatizo la watu wenye ufinyu wa elimu mara nyingi mnatoa comments bila kufikiri.

Aliyekwambia kuna kitu kiumbe au kiumbwa kisichokuwa na mwisho ni nani?
Km ume quote kutoka kwa wana sayansi basi kaa ukitambua kuwa Sayansi ina mapungufu mengi mno ambayo mpaka sasa kuna maswali mengi mno haijatoa majibu na most likely HAITOWEZA kutoa majibu.

Lkn kwa sababu ya madarasa yako machache kile wanachoandika Wana sayansi km opinion wewe unakifanya km Conclusion.

Msome Francis Bacon anasema
Nini hapa.

Francis Bacon, the famous philosopher, has rightly said that a little knowledge of science makes man an atheist, but an in-depth study of science makes him a believer in God.
Scientists today are eliminating models of God, but they are not eliminating God. If you translate this into Arabic, it is La illaha illal la, There is no god, (god with a small ‘g’ that is fake god) but God (with a capital ‘G’)

Afadhari ndugu umemaliza mchezo humu ndani watu wanajitolea comments hovyo bila hata kufiri"' katika Dunia tuliyopo huwezi sema mungu hayupo wewe utaonekana ni mwehu!!
 
Kwanini tunadhani duniani kuna mema na mabaya na sio mema tu au mabaya tu? Labda sayansi ya dunia haijafikia uwezo kutambua Kuwa duniani kuna mema tu au mabaya tu. je ni lazima kila jambo liwe na kinyume chake?

Mkuu dawa yenu, Uwiano fulani au assymetry katika dunia hii ndiyo unaifanya iwe jinsi ilivyo sifa zote lazima zi-exist kutengeneza hali ya kawaida. Bila hizi hakuna universe ya aina hii. Ni lazima iwe ya aina tofauti hivyo hata hizi concepts za mema na mabaya hazitakuwepo. The is nothing can be called evil if there is no good. That is to say a good that wholly lacks evil aspect is entirely good.

Laws zinazoonekana na kutumika katika physics zinatuonesha taratibu/order kubwa iliyopo ili ulimwengu uwe kama ulivyo. And one thing for sure the universe is just right. Any slight change takes away everything and it could simply not exist. Mwonekano au uwepo wa sasa wa dunia na universe kwa ujumla ni matokeo ya domination fulani ya hali moja dhidi ya nyingine. Asymmetries allows us to exist and everything we know. Sifa zote za juu-chini, nzito-nyepesi etc (from gravitational force) zinawezesha mambo yaliyohesabika kuwezekana. Kila kitu ambacho kinaweza kuwekwa katika sifa ya kubwa-ndogo, (size) kinatupa ulimwengu huu kwa maana kama hakuna kubwa basi tutapataje ndogo? Ili kuwe na nje lazima kuwe na ndani, This goes down to almost everything. Tunapo-suggest universe tofauti tunajengaje hoja kwa kuzitumia concepts hizi (mf. mabaya-mema) ambazo zinawezekana tu katika universe/hali hii?

Wala sikupata jibu. The question asked was definetly fallacy
 
Mkuu tunakusoma vyema kabisa na unaeleweka kabisa wala hakuna ubishi,kama kuna mtu ameamua kuijikita kwenye ubishi huyo ni wa kuachana nae tu lakini unaweza kumtumia kuelimisha wengine kama ulivyofanya hapa

Jambo hili tulishajadiliana nae mara nyingi sana lakini kama kawaida yake ni ligi tu,umeliweka kwenye lugha nyepesi sana na inayoeleweka kirahisi hata kwa sisi ambao tuliishia shule za msingi tu

Ubarikiwe sana

CC: Mkuu wa chuo , Samaritan .....!!
 
Last edited by a moderator:
For the umpteenth time.

Kisichokuwepo hakithibitishiki kutokuwepo, kwa sababu hakipo kuthibitishika kutokuwepo.

Uthibitishaji ni nyanja ya vilivyopo, si ya visivyopo.

Swali hapa ni, wewe unayesema mungu yupo, unaweza kuthibitisha kwamba yupo?

ultimately,hujathibitisha kutokuwepo kwa MUNGU.
 
Hiyo post hapo juu ni ya Kiranga akimjibu Kadoda11 na kumlaumu kwa kitendo chake cha kuingilia majadiliano yake na mtoa mada hii

Hapa chini kuna post ya lusungo akimjibu Pol Pot;

Baada ya lusungo kumjibu hivyo Pol Pot Kiranga alikuja na kuikurupukia na kumjibu haya hapa chini

Haya hapa ni majibu ya lusungo akimjibu Kiranga kwa kurukia majadiliano ambae sio yake

Baada ya lusungo kumjibu hivyo Kiranga alikurupuka tena na majibu yake haya hapa chini

Unaweza tu kujiuliza swali,kama Kiranga alikuwa anajua kuwa post yote ambayo iko hapa public ni ya member wote,kulikuwa na haja gani ya kumuambia kadoda11 kuwa anadakia mahojiano ya wawili?

Nikisema huyu Kiranga ana kichaa cha kumchukia Mungu kwa iasi cha kutisha nitakuwa nimekosea?

Yaani hii sasa inashangaza!

Apparently you do not know the meaning of trolling and cannot trace who started the entire fracas about trolling.
 
Ni sawa na kusema 'mimi sio mwizi lakini kila binadamu ni mwizi ....

Sijui wewe unakuwa ni kondoo au kunguni?

Kama wewe ni kunguni basi huna kichaa ,lakini kama wewe ni binadamu una kichaa kama wewe mwenyewe ulivyosema

Hapa mada inazungumzia masuala ya nyota za angani sio uwepo wa Mungu

Wewe unadhani inazungumzia masuala ya Mungu kwakuwa una kichaa

Hahahahaaaaaa .....!!

Thibitisha kwamba mungu yupo.
 
Kwanini tunadhani duniani kuna mema na mabaya na sio mema tu au mabaya tu? Labda sayansi ya dunia haijafikia uwezo kutambua Kuwa duniani kuna mema tu au mabaya tu. je ni lazima kila jambo liwe na kinyume chake?

Hitler gassing the Jews in the Holocaust ni mema yale? Saddam?

Watoto wadogo wanavyokufa kwa mafuriko, matetemeko ya ardhi etc, ni mema yale?

Ebola inaua watu, ni mema hayo?

Nikija na bunduki nataka ku blow your brains out utakubali na kusema ni vyema tu.
 
Mkuu dawa yenu, Uwiano fulani au assymetry katika dunia hii ndiyo unaifanya iwe jinsi ilivyo sifa zote lazima zi-exist kutengeneza hali ya kawaida. Bila hizi hakuna universe ya aina hii. Ni lazima iwe ya aina tofauti hivyo hata hizi concepts za mema na mabaya hazitakuwepo. The is nothing can be called evil if there is no good. That is to say a good that wholly lacks evil aspect is entirely good.

Laws zinazoonekana na kutumika katika physics zinatuonesha taratibu/order kubwa iliyopo ili ulimwengu uwe kama ulivyo. And one thing for sure the universe is just right. Any slight change takes away everything and it could simply not exist. Mwonekano au uwepo wa sasa wa dunia na universe kwa ujumla ni matokeo ya domination fulani ya hali moja dhidi ya nyingine. Asymmetries allows us to exist and everything we know. Sifa zote za juu-chini, nzito-nyepesi etc (from gravitational force) zinawezesha mambo yaliyohesabika kuwezekana. Kila kitu ambacho kinaweza kuwekwa katika sifa ya kubwa-ndogo, (size) kinatupa ulimwengu huu kwa maana kama hakuna kubwa basi tutapataje ndogo? Ili kuwe na nje lazima kuwe na ndani, This goes down to almost everything. Tunapo-suggest universe tofauti tunajengaje hoja kwa kuzitumia concepts hizi (mf. mabaya-mema) ambazo zinawezekana tu katika universe/hali hii?

Wala sikupata jibu. The question asked was definetly fallacy

Hujajibu swali la kwa nini mungu aliyeweza kuumba ulimwengu ambao unaonekana kuwa na forward moving time only kwa mwanadamu, no backwards moving time, asiumbe ulimwengu ambao una mazuri tu, usio mabaya.
 
Back
Top Bottom