Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amefanya kazi nzuri, sikatai ila kama scientist ni muhimu kukubali critics, yeye kameza matango pori yake tuyakubali yote? Na wewe huoni uongo hapo eti mchanga wa dunia nzima ulihesabiwa...kweli na wewe unaamini tuu! IQ yako itakuwa ndogo sana mkuu.vipi hizi hating tena zinatoka wapi, kati ya aliyoandika kweli hakuna jipya, hata wewe uliyojifunza chuoni hakuna jipya yote yanapatikana google, kushare na wanajamii chochote unachokijua bila kujali ulikokitoa ni jambo jema, au mwenzetu haujawahi kusoma jambo sehemu ukaja kulileta jf?!! Btw, mleta mada anaelewa anachokiandika, ni tofauti na kucopy na kupaste bila kuwa na uelewa sahihi wa mada husika, na karahisisha kwa kuandika kiswahili, hajatumia translator kama unavyodai wewe, hakuna kiswahili cha google translator hapo!! Tuache kukatishana tamaa jamani, elimu tuliyonayo ni ndogo sana kulinganisha na elimu ya dunia hii, tunavyosoma na kujadiliana katika mada mbalimbali ndiyo tunapanua uelewa, kama wewe unaelewa kila kitu ni nzuri pia ukapita kimyakimya kwani thread ngapi umepita humu jf!!!
vipi hizi hating tena zinatoka wapi, kati ya aliyoandika kweli hakuna jipya, hata wewe uliyojifunza chuoni hakuna jipya yote yanapatikana google, kushare na wanajamii chochote unachokijua bila kujali ulikokitoa ni jambo jema, au mwenzetu haujawahi kusoma jambo sehemu ukaja kulileta jf?!! Btw, mleta mada anaelewa anachokiandika, ni tofauti na kucopy na kupaste bila kuwa na uelewa sahihi wa mada husika, na karahisisha kwa kuandika kiswahili, hajatumia translator kama unavyodai wewe, hakuna kiswahili cha google translator hapo!! Tuache kukatishana tamaa jamani, elimu tuliyonayo ni ndogo sana kulinganisha na elimu ya dunia hii, tunavyosoma na kujadiliana katika mada mbalimbali ndiyo tunapanua uelewa, kama wewe unaelewa kila kitu ni nzuri pia ukapita kimyakimya kwani thread ngapi umepita humu jf!!!
Amefanya kazi nzuri, sikatai ila kama scientist ni muhimu kukubali critics, yeye kameza matango pori yake tuyakubali yote? Na wewe huoni uongo hapo eti mchanga wa dunia nzima ulihesabiwa...kweli na wewe unaamini tuu! IQ yako itakuwa ndogo sana mkuu.
duh! vilaza walikimbia hesabu lakini wanajiita namba namba ..mara ziroseventytwo mara threesixteen heheheh kaazi kwei kwei.
Mkuu Mgalanjuka, nimesoma bandiko lako hapo juu na nimerudia na kurudia kitu nilichooma hapo ni vigumu kuamini kwa akili ya kawaida. Mimi nachojua sayansi inaprove fact. Mpaka hapo mimi sijaona ukweli wowote.
Kwa mfano unasema ...katika picha hii kuna galax 10000 na kila 1 ina nyota bilion 100. Na hiki ni kaeneo kadogo tu katika anga! haya manyota yote na ukubwa ulisema pamoja na umbali uliosema wa karibu km 1600 yanakaeje huko angani?
Ukaendelea tena, chuo kikuu cha Hawaii kilifanya utafiti wa kutosha kukokotoa kila punje ya mchanga hapa duniani wakagundua kuna 7.5 quintillion za mchanga na kila punje inawakilisha nyota 10000 katika universe! Ajabu uwiiiiii! Hii ni nini jamani? Mm nitakuwa wa mwisho kuamini. Yaani hawa jamaa wanajua idadi ya punje za mchanga?
Hapa ndio ulinimaliza kabisa uliposema kijiko (nerton) cha chai kina uzito sawa na mapiramidi 900 yaliyoko pale misri! hawa jamaa huwa wanaandika wakia wamelewaeh! Heeh! Hii kali.
Mkuu Mgalanjuka haya makitu uliondika ni fikra za watu na ni ubabaishaji wa kiwango cha juu. Naomba nitofautiane na wewe.
Ukitoa mawazo tufauti ni hate?? Nimekudharau ghafla
Mkuu Mgalanjuka haya makitu yanachanganya sana. Labda mimi sielewi, lakini mbona umeandika kwa lugha nyepesi sana.? Kwa hiyo mkuu hizi link unazotuwekea ndio ushahidi wa kuwa kuna manyota kibao huko angani kuzidi mchanga wa pwani!?
Naomba niendelee kufuatilia bila kuamini.
Hii maanake ni kuwa kama kuna uwiano wa kuzaa na kufa ni kwamba kama miaka hiyo 65ml ilyopita na watu walikuwa nanazaliwa 2000 kwa kila mwaka na 1000 wanakufa kila mwaka , leo dunia ingekuwa na watu 65 billion. Kumbuka dunia ina watu takribani 6 bln kwa sasa.
hesabu kitu gani wewe! Sio kila kitu unachoambiwa kiko sahihi. Chakuambia changanya na za kwako...we kwa fikra zako huko anga za mbali kuna hayo manyota mengi mtu unaandika masifuri mpaka basi. Aargh!
umenichekesha, hivi jua letu haliko angani?
Na dunia.iko wapi?
Aliyekuja kubadili mfumo wa elimu na kuruhusu watoto kukimbia sayansi toka form two aliharibu kila kitu, matokeo yake ndiyo haya mtu anakuja kuanza kustruggle ukubwani kuelewa misingi ya fizikia! Nakumbuka mwalimu wetu mmoja akawa anatufundisha elsticity, akawa ameshikakipande cha nondo anasema nacho ni elastic tulicheka sana, yeye akawaanatucheki tu mwalimu yule jicho nyanyaaa na hereni yake skioni na nywele zisochanwa, R.I.P Mwalimu!
Amefanya kazi nzuri, sikatai ila kama scientist ni muhimu kukubali critics, yeye kameza matango pori yake tuyakubali yote? Na wewe huoni uongo hapo eti mchanga wa dunia nzima ulihesabiwa...kweli na wewe unaamini tuu! IQ yako itakuwa ndogo sana mkuu.
mie mara ya kwanza kusikia galaxy, milky way, light year, universe ni fomu wani, nashangaa nini kimetokea. Au mhaya yule alitu overdose?
Kuna kitu hakiko sawa, japo hata kama sikuelewa in detail sana, lakini from fomu wani najua hivi vitu vipo.
umenichekesha, hivi jua letu haliko angani?
Na dunia.iko wapi?
Ndugu umeelekezwa huko nyuma ukiwa una mawazo tofauti toa hoja zenye mashiko...wewe unaishia kubwabwaja tu...hata Hufanyi reviews kidogo tu hata kwenye Google angalau ujipatie Ufahamu kidogo..
Unachoshangaa ni nini Mchanga kuhesabiwa?? Mbona Dunia Imepimwa Uzito na Unajulikana? Wewe Upeo wako kwenye Sayansi ni mdogo sana..
Najaribu kutafuta hata post moja uliyoshuka nondo za kuonyesha Matango Pori ya Mtoa mada Sioni..naona blahblah tu...Piga kimya kama huna maswali yenye Mantiki..
aah kaka! Salama lakini? Long tym sana mkuu.
Atakuja anahema kwa ukali huyo, hapendi kabisa ubishe anachoandika
Mbona haya mambo unayoandika ni ya kawaida sana ila wewe unatulazimisha tuone ni mambo makuuuuubwa!!
Amefanya kazi nzuri, sikatai ila kama scientist ni muhimu kukubali critics, yeye kameza matango pori yake tuyakubali yote? Na wewe huoni uongo hapo eti mchanga wa dunia nzima ulihesabiwa...kweli na wewe unaamini tuu! IQ yako itakuwa ndogo sana mkuu.
Mkuu una uhakika sisi tupo angani?sisi pia tupo angani...hayo manyota na magalaxi yapa anga za mbali. We unaonaji hili darasa?
1. "Atakuja, hapendi,"
2. "unayoandika," "unatulazimisha,"
3. "Amefanya kazi nzuri, kameza matango pori"
kisungu, naangalia bado sioni chochote cha msingi unachojaribu kuwasilisha. Where is your critics? I could only see character assassination. 🙂
Kwa calculation ya kadirio la mchanga wote wa beaches za dunia nzima mbona iko straight forward kabisa:
iangalie vizuri
![]()
Source:Grains of Sand on the World's Beaches
.