Kyenju
JF-Expert Member
- Jun 16, 2012
- 4,632
- 1,773
Ndugu umeelekezwa huko nyuma ukiwa una mawazo tofauti toa hoja zenye mashiko...wewe unaishia kubwabwaja tu...hata Hufanyi reviews kidogo tu hata kwenye Google angalau ujipatie Ufahamu kidogo..
Unachoshangaa ni nini Mchanga kuhesabiwa?? Mbona Dunia Imepimwa Uzito na Unajulikana? Wewe Upeo wako kwenye Sayansi ni mdogo sana..
Najaribu kutafuta hata post moja uliyoshuka nondo za kuonyesha Matango Pori ya Mtoa mada Sioni..naona blahblah tu...Piga kimya kama huna maswali yenye Mantiki..
Mkuu, ukimwambia Dunia kupimwa unamchanganya ataibua maswali mapya, kv 1. Huo mzani wa kupima tlikuwa na ukubwa gani na ulikalishwa wapi. 2. Kama ulikuwa ni mzani wa kuninginiza kamba za kuninginiza zilifungwaje na huo mzani ulishikiliwa na kitu gani.