Ukweli wa Kustaajabisha Kuhusu Nyota za Angani

Status
Not open for further replies.
Mkuu naomba kuuliza, neutron star inawezaje kupita karibu na jua wakati star ni stationary bodies au kuna stars zinazojongea?
 
Mkuu, asante kwa swali lako. Neutron star zinaweza kuwa katika mwendo mkali sana kutokana na msukumo mkali (force) wa supernova. Huu mlipuko unapotokea kunakuwa na nguvu kubwa sana na inaweza kupelekea nyota changa iliyojitokeza kwenda mbali sana na pale Nyota iliyolipuka ilipokuwa. Mwendo wake unaweza kuwa zaidi ya mamilioni ya miles kwa saa.
 
Mkuu naomba kuuliza, neutron star inawezaje kupita karibu na jua wakati star ni stationary bodies au kuna stars zinazojongea?

Stars si stationary,

Kama.sayari zinavyozunguka stars, stars zinazunguka centre of galaxies for the most part.

Hata nyota ambazo hazipo katika galactic systems hazipo stationary.
 
Mgalanjuka
Nimesikia kuwa kuna nyota iliyopewa jina la Zombie inakaribia kuingia kwenye mzunguko wa nyota zinazooneka kwenye ulimwengu wetu! Je hii ni aina gani ya nyota? aidha inaweza kusababisha madhara yoyote kwetu?
 
Mgalanjuka I salute for you kwa kufundisha jambo kubwa la kisayansi kwa lugha mama na kwa ufahamu unaomfanya mwenye Elimu ya chini sana darasa la tano kukuelewa na kupata mantiki ya sayansi.

Nimesikitishwa kidogo kuwa nawe umeweza kugilibiwa na Kiranga na kuacha mada yako ya msingi ya SAYANSI na kuamia mada ya SUPER POWER kwa wanasayansi au MUNGU kwa waamini hivyo kutuacha nje wanafunzi kudadisi mambo mazuri uliyokuwa unayafundisha ya sayansi ya anga kwa njia nyepesi kabisa na kwa lugha mama.

Binafsi nimesoma biashara, lakini mzazi ni Mwanasayansi nimelelewa mazingira ya kisayansi, uwa nafuatilia kama hsehemu ya maisha yangu na hobby kusoma na kujifunza sayansi na matamanio pia kuona mmoja wa watoto wangu anajifunza sayansi ya anga.

Pia uwa naamini wanasayansi uwa ni watu wasikivu wasio much know,n wewe kutokana na jinsi ulivyoendesha mada hii toka mwanzo imenithibitishia hilo,ombi achana na mjadala wa uwepo wa MUNGU, Imani yako ni IMANI yako binafsi sayansi ni SOTE unataka utaki ipo ni REALITY.

IMANI ya uwepo wa MUNGU si mjadala hapa, mjadala ni Elimu ya Sayansi ya ANGA. Kwa waelevu [intellectuals] yoyote yule kile kitendo cha kusema kuna SUPER POWER tayari ni uwepo wa nguvu za KIMUNGU.Na ndio watu wakasema ukiwa unajua sayansi ya kubabia unakuwa too fanatic na reality.Na ukiijua sana sayansi UNATAMBUA uwepo wa nguvu za KIMUNGU.

Ushauri wangu kwa wakwepsha mada kwa kuingiza mada zisizo husika. Wakati mwingine kusikiliza sana ndio kuelewa na kuleta ufahamu mkubwa wa mambo muhimu,[silence speaks louder than wolds] blabla nyingi ni dalili ya inferiority.Ukiona mtu anaongea sana bila kuwa na conclusive evidence kusupport argument yake na kutumia lugha zisizo eleweka kama Bombastick words na maneno magumu kufahamika kwa wasikilizaji ama halaiki [Audience] yake juu mtu huyo ni kanjanja anaejiweka kwenye kundi la waelevu [Intellectuals].Kitendo cha kuwa great thinker pia ni kukubali kuwa kama Mwalimu anajua KIDOLE basi kuna Mwanafunzi anajua KIGANJA.Na si kila mada utajua deep down kila kitu.

KUHUSU MADA.
Kuna kitabu nilipata kusoma ambacho kinazungumiza GALAXY, kuwa ni matokeo ya Big Bang na sisi kama sayari kutokana na mlipuko huo dunia na galaxy hizo ziko kwenye motion kama vitu vinavyodondoka na kuwa kwa motion hiyo hatujulikani kuwa destination yetu na galaxy hizo zitaishia wapi.Nilisoma kitabu hicho siku nyingi sana nikiwa form two.Naomba unisaidie ufafanuzi ni kweli tuko kwenye motion as universe baada ya hiyo BIG -BANG?

Wakati nasoma sekondari miaka ya nyuma 1992s kuna mtu tuliwai kumpa jina la utani [nick name] Mgalanjuka kwa wanaotoka kanda ya ziwa, mikoa ya chapa ya ngombe, ngana na dhahabu!!!!Old time me men
 
Hiyo imetokana na Type lax supernovae(weak supernova) baada ya mlipuko badala ya kila kitu.kupotea, ikabaki. Mlipuko haukuweza kulipua nyota ya awali yote.

Mie katika pita pita yangu sijaona madhara kwa dunia, zaidi ya kuwa ina feed another star karibu yake.

Labda kama inakuja toward us, lakini sijaona, na kwa umbali wa 108 mil light years, sijui.

Mgalanjuka
Nimesikia kuwa kuna nyota iliyopewa jina la Zombie inakaribia kuingia kwenye mzunguko wa nyota zinazooneka kwenye ulimwengu wetu! Je hii ni aina gani ya nyota? aidha inaweza kusababisha madhara yoyote kwetu?
 
Mgalanjuka I salute for you kwa kufundisha jambo kubwa la kisayansi kwa lugha mama na kwa ufahamu unaomfanya mwenye Elimu ya chini sana darasa la tano kukuelewa na kupata mantiki ya sayansi.

Nimesikitishwa kidogo kuwa nawe umeweza kugilibiwa na Kiranga na kuacha mada yako ya msingi ya SAYANSI na kuamia mada ya SUPER POWER kwa wanasayansi au MUNGU kwa waamini hivyo kutuacha nje wanafunzi kudadisi mambo mazuri uliyokuwa unayafundisha ya sayansi ya anga kwa njia nyepesi kabisa na kwa lugha mama.

Binafsi nimesoma biashara, lakini mzazi ni Mwanasayansi nimelelewa mazingira ya kisayansi, uwa nafuatilia kama hsehemu ya maisha yangu na hobby kusoma na kujifunza sayansi na matamanio pia kuona mmoja wa watoto wangu anajifunza sayansi ya anga.

Pia uwa naamini wanasayansi uwa ni watu wasikivu wasio much know,n wewe kutokana na jinsi ulivyoendesha mada hii toka mwanzo imenithibitishia hilo,ombi achana na mjadala wa uwepo wa MUNGU, Imani yako ni IMANI yako binafsi sayansi ni SOTE unataka utaki ipo ni REALITY.

IMANI ya uwepo wa MUNGU si mjadala hapa, mjadala ni Elimu ya Sayansi ya ANGA. Kwa waelevu [intellectuals] yoyote yule kile kitendo cha kusema kuna SUPER POWER tayari ni uwepo wa nguvu za KIMUNGU.Na ndio watu wakasema ukiwa unajua sayansi ya kubabia unakuwa too fanatic na reality.Na ukiijua sana sayansi UNATAMBUA uwepo wa nguvu za KIMUNGU.

Ushauri wangu kwa wakwepsha mada kwa kuingiza mada zisizo husika. Wakati mwingine kusikiliza sana ndio kuelewa na kuleta ufahamu mkubwa wa mambo muhimu,[silence speaks louder than wolds] blabla nyingi ni dalili ya inferiority.Ukiona mtu anaongea sana bila kuwa na conclusive evidence kusupport argument yake na kutumia lugha zisizo eleweka kama Bombastick words na maneno magumu kufahamika kwa wasikilizaji ama halaiki [Audience] yake juu mtu huyo ni kanjanja anaejiweka kwenye kundi la waelevu [Intellectuals].Kitendo cha kuwa great thinker pia ni kukubali kuwa kama Mwalimu anajua KIDOLE basi kuna Mwanafunzi anajua KIGANJA.Na si kila mada utajua deep down kila kitu.

KUHUSU MADA.
Kuna kitabu nilipata kusoma ambacho kinazungumiza GALAXY, kuwa ni matokeo ya Big Bang na sisi kama sayari kutokana na mlipuko huo dunia na galaxy hizo ziko kwenye motion kama vitu vinavyodondoka na kuwa kwa motion hiyo hatujulikani kuwa destination yetu na galaxy hizo zitaishia wapi.Nilisoma kitabu hicho siku nyingi sana nikiwa form two.Naomba unisaidie ufafanuzi ni kweli tuko kwenye motion as universe baada ya hiyo BIG -BANG?

Wakati nasoma sekondari miaka ya nyuma 1992s kuna mtu tuliwai kumpa jina la utani [nick name] Mgalanjuka kwa wanaotoka kanda ya ziwa, mikoa ya chapa ya ngombe, ngana na dhahabu!!!!Old time me men

Mkuu DSN shukrani nimekusikia. Naamini mjadala umerudi kwenye mahali pake kwa sasa. Nilichangia kidogo katika swali la Kiranga ili kudadisi validity ya swali lake na nadhani nimejifunza kitu. Nia yangu ilikuwa wazi kuweka sawa na kuielewa argument yake ili kila mtu ajiamulie kwa akili yake. Mimi ni mtoa mada tu ili tujifunze pamoja lakini wapo wachangiaji wengi wenye kuleta changamoto na kutupa elimu zaidi. Bahati mbaya focus ikihama mimi kama wachangiaji wengine hatuna nguvu kubwa ya kuamua lakini tunachoweza kufanya labda ni kuendelea kuchangia kwa kuacha baadhi yasiyokuwa na mwelekeo wa main topic.
 
Asante kwa kunielewa mkuu, appreciation utolewa na watu kuaccept ulichodeliver kina manufaa kwao.Ukiona mwingine anageuza ni ulimwengu wa mashindano juu chaka kubwa, hatuko kutafuta the best student,tuko kujielimisha kama binadamu wenye kuitaji kujielimisha juu ya mambo mbalimbali kama wanadamu wenye utashi.

Ukiibiwa nguo mtoni muungwana unachutama na sio kumfukuzia mwizi au chizi aliyekwapua nguo zako, manake ukiingia kwenye mkumbo wa kutaka kufukuzia nguo japo ni zako kweli, lakini kwa hali ile busara ndio inatawala kuwa uchutame waungwana wengine wenye ufahamu wa tukio juu ya mwizi au chizi wanajumuika.
 
Jua likigonga sayari kazima sayari yetu iathirike na.hata kupotea kabisa. Kisayari ni kidogo mno kwa jua.
Kwa maneno rahisi kabisa kwa mtu wa kawaida, ina maana Zombie star ni mfano wa jua?
 
Ni sehemu gani hapa Duniani ambayo una weza kuona nyota bila kutumia darubini kwa asilimia kubwa kuliko sehemu yoyote, based on mstari wa ikweta, mstari wa kansa na mstari wa kaplikoni
 
Miaka ishirini iliyopita binadamu wote hatukujua habari yoyote ya sayari nyingine tofauti na zile zinazolizunguka Jua. Leo hii kuna sayari karibu 1900 ambazo tunazijua kwa hakika nje ya mfumo wa sayari yetu ya Jua na nyingine takribani 3500 ziko njiani kuthibitishwa uwepo wake. Hii si kwa kuhisi bali kwa chombo kinachozunguka anga za mbali (Kepler) kikiwa na telescope na vifaa vingine vya hali ya juu kikileta maarifa mazito ambayo ni ya thamani kubwa kwetu. Kwangu naona ni muhimu tuki-share na kujadili mambo kama haya na mengineyo mengi kuliko vinginevyo.

Katika hili la maendeleo ya sayansi na teoknolojia je ni asilimia ngapi ya observable universe tunaifahamu? Pia ni vitu gani wanasanyansi wanajua kuhusu dark energy?
 
Mkuu, ukimwambia Dunia kupimwa unamchanganya ataibua maswali mapya, kv 1. Huo mzani wa kupima tlikuwa na ukubwa gani na ulikalishwa wapi. 2. Kama ulikuwa ni mzani wa kuninginiza kamba za kuninginiza zilifungwaje na huo mzani ulishikiliwa na kitu gani.

dah!,haahaha jf raha sana.
 
Ndio, nyota ni jua.

Na alivyoeleza mtoa.mada mwanzoni, imeelezewa kioengele cha.nne, sema.ti kwa case hii, palitokea weak supernova ndo naana kukabaki na hii zombie star.

Kwa maneno rahisi kabisa kwa mtu wa kawaida, ina maana Zombie star ni mfano wa jua?
 
Usisahau kuwa hivi vitu "vilitokea tu vyenyewe by chance".
 
am so happy hv mtu akinambia ana stress namuona wa ajabu kweli. sasa ni zamu yako mgalanjuka leta mpira kati gem iendelee naona haf time imeshakwisha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom