KndNo1
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 627
- 2,049
Maboko ni mengi.. Hayawezi kutosha hapa..Mkuu maboko kama yepi? Mkuu mimi naamini kwamba mazingira utakayotumia hiyo gari ndo yataifanya hiyo gari tatizo fulani liwe common
Okay naomba nkuulize swali. Ni wangapi huwa wanafanya uchunguzi wa kina wa gari kama wewe ulivoichambua BMW kabla ya kununua gari?
Ni wangapi huwa wanasoma manual instruction ya gari yake?
Alaf ishu ya prado as long as kuna latest model hiyo gari si new model boss ni tunaipa tu jina lakini si new model
2AZ FE.. hii engine common sana hapa.. Hata uitunze vipi itakula oil..!
Hata ukichunguza ukajua namna ya kuishi nayo.. Haiondoi concept ya gari ina matatizo..!
Tofautisha brand new na new model..
2010 inaweza kuwa new model..!