Ukweli wa mimi kuhusu kuwepo Marekani

Ukweli wa mimi kuhusu kuwepo Marekani

Prof Janabi wa JF

Senior Member
Joined
Jul 7, 2023
Posts
165
Reaction score
450
Wakuu, wakati nakuja Marekani nilihakikishiwa uwepo wa watu wengi kusapoti afya ya akili. Kimsingi wameweka misingi mingi mizuri kwamba ukijiona hauko sawa unawacheki wakuweke sawa. Sijawahi kuwa mbali na nyumbani kiasi hiki nimetembea nchi za Afrika, hii ni mara yangu ya kwanza kuwa Marekani.

Nini kinatokea? Kimsingi unafurahia unapoondoka nyumbani ila kiuhalisia ukifika huku unaanza kustruggle kukaa sawa na mazingira ya huku. Well Struggling ninayoizungumzia hapa sio ya kifedha, kipande hicho kwangu hakina shida, ni struggle ya upya. Hauwezi amini nilikaa siku kadhaa bila kula, na huwa najijua nikiwa na stress siwezi kula. Nikaona hizi ni stress za kuwa kwenye mazingira mapya. Alhamdulillah kwenye upande wa chakula nikakaa poa. Wabongo nakutana nao ila haya masuala ya kustruggle kukaa sawa ni mambo ambayo hayaeleweki kirahisi hadi kwa wataalamu.

Mimi sijaja huku kama mtembezi, niko na mishe na nina namba ya kuniruhusu kuajiriwa(SSN). Na kama ningekuwa na mke naye angepata hiyo namba na kufanya kazi muda wote ambao mimi nitakuwepo huku. Well sina shida ya kifedha kwa sasa kwa kusema ukweli, nina shida ya upweke, yaani upweke umekuwa mkubwa kwa kuwa mipango yangu ya kuoa ilikwama.

Hadi sasa nawasiliana na watu kadhaa wa nyumbani lakini nimeona kwa watu wengi wa huku kuwa. Inauma sana kujiona uko disconnected na watu wako. Kama wewe una ndugu yako yuko nje ya nchi na anatarajia kuwa huko kwa muda mrefu, fanya hivi ndugu yangu, mtumie meseji, mjulie hali, hizo vitu zinafariji sana.

Watanzania hadi sasa wanaumia kwa mambo mengi huku ughaibuni, pamoja na mengi hata suala la kuonekana sio raia wa TZ ni jambo lingine linawavuruga ila hawasemi kwa uwazi. Ili kubaki na asili ya nyumbani au kuwa na mtu anayeweza kukuelewa wengi wameoa watu kutoka nyumbani. Mimi, nikioa mtu leo, ataruhusiwa kuja Marekani na kufanya kazi pia, ila shida ziko nyingi huwezi kujibebea mke tu mradi mke. Though naheshimu mchango wa ndugu mmoja kutoka Newsland(Much respect brother)

Kwa sasa naandika upuuzi mwingi humu ila soon nitapotea kwa kuwa natarajia kuwa sawa muda si mrefu, ambapo hizi tambo zitaisha na nitaanza kufanya mambo ya msingi kuwakilisha taifa(Kimsingi nawawakilisha vizuri, mngenijua mimi ni nani mngeshuhudia hilo).

Lakini natoa wito sio tu kwangu bali kwa yeyote, kama una ndugu yako yukoo maili nyingi kutoka nyumbani, mtumie meseji hata mara moja kwa wiki sio mbaya, zinafariji sana. Huwezi jua anaweza kukuchapa na iphone 15, shauri yako!

Leo nimeona ninunue Bacardi kufanya maisha yaende. Naandika uzi huu jioni ambayo ni usiku wa manane huko nyumbani.
 
Umeenda kwa visa gani mkuu... maana umenifanya nitake kujua zaidi hasa kwenye namna ulivyopata hiyo social security number.

Au na wewe ni miongoni mwa wale wanufaika wa bahati na sibu za green card?
 
Nimekuja kwa VISA inayoruhusu kufanya kazi, sio green card. Nilipofika huku kupata SSN ilichukua wiki tu na hakukuwa na maswali mengi. Naruhusiwa kuwa na mtegemezi, ambaye ni aidha mtoto, Mke, Mzazi au Mkwe. So fikiria ni aina gani ya VISA inayoruhusu kufanya kazi na mtegemezi kufanya kazi
 
we misomisondo umepigaje hapoo!
 
Nimekuja kwa VISA inayoruhusu kufanya kazi, sio green card. Nilipofika huku kupata SSN ilichukua wiki tu na hakukuwa na maswali mengi. Naruhusiwa kuwa na mtegemezi, ambaye ni aidha mtoto, Mke, Mzazi au Mkwe. So fikiria ni aina gani ya VISA inayoruhusu kufanya kazi na mtegemezi kufanya kazi
Kwahiyo wewe ni permanent residency au
 
Wakuu, wakati nakuja Marekani nilihakikishiwa uwepo wa watu wengi kusapoti afya ya akili. Kimsingi wameweka misingi mingi mizuri kwamba ukijiona hauko sawa unawacheki wakuweke sawa. Sijawahi kuwa mbali na nyumbani kiasi hiki nimetembea nchi za Afrika, hii ni mara yangu ya kwanza kuwa Marekani.

Nini kinatokea? Kimsingi unafurahia unapoondoka nyumbani ila kiuhalisia ukifika huku unaanza kustruggle kukaa sawa na mazingira ya huku. Well Struggling ninayoizungumzia hapa sio ya kifedha, kipande hicho kwangu hakina shida, ni struggle ya upya. Hauwezi amini nilikaa siku kadhaa bila kula, na huwa najijua nikiwa na stress siwezi kula. Nikaona hizi ni stress za kuwa kwenye mazingira mapya. Alhamdulillah kwenye upande wa chakula nikakaa poa. Wabongo nakutana nao ila haya masuala ya kustruggle kukaa sawa ni mambo ambayo hayaeleweki kirahisi hadi kwa wataalamu.

Mimi sijaja huku kama mtembezi, niko na mishe na nina namba ya kuniruhusu kuajiriwa(SSN). Na kama ningekuwa na mke naye angepata hiyo namba na kufanya kazi muda wote ambao mimi nitakuwepo huku. Well sina shida ya kifedha kwa sasa kwa kusema ukweli, nina shida ya upweke, yaani upweke umekuwa mkubwa kwa kuwa mipango yangu ya kuoa ilikwama.

Hadi sasa nawasiliana na watu kadhaa wa nyumbani lakini nimeona kwa watu wengi wa huku kuwa. Inauma sana kujiona uko disconnected na watu wako. Kama wewe una ndugu yako yuko nje ya nchi na anatarajia kuwa huko kwa muda mrefu, fanya hivi ndugu yangu, mtumie meseji, mjulie hali, hizo vitu zinafariji sana.

Watanzania hadi sasa wanaumia kwa mambo mengi huku ughaibuni, pamoja na mengi hata suala la kuonekana sio raia wa TZ ni jambo lingine linawavuruga ila hawasemi kwa uwazi. Ili kubaki na asili ya nyumbani au kuwa na mtu anayeweza kukuelewa wengi wameoa watu kutoka nyumbani. Mimi, nikioa mtu leo, ataruhusiwa kuja Marekani na kufanya kazi pia, ila shida ziko nyingi huwezi kujibebea mke tu mradi mke. Though naheshimu mchango wa ndugu mmoja kutoka Newsland(Much respect brother)

Kwa sasa naandika upuuzi mwingi humu ila soon nitapotea kwa kuwa natarajia kuwa sawa muda si mrefu, ambapo hizi tambo zitaisha na nitaanza kufanya mambo ya msingi kuwakilisha taifa(Kimsingi nawawakilisha vizuri, mngenijua mimi ni nani mngeshuhudia hilo).

Lakini natoa wito sio tu kwangu bali kwa yeyote, kama una ndugu yako yukoo maili nyingi kutoka nyumbani, mtumie meseji hata mara moja kwa wiki sio mbaya, zinafariji sana. Huwezi jua anaweza kukuchapa na iphone 15, shauri yako!

Leo nimeona ninunue Bacardi kufanya maisha yaende. Naandika uzi huu jioni ambayo ni usiku wa manane huko nyumbani.
yupo mama mmoja mtanzania ni singo maza yuko huko je nikupe namba yake mpotezeane mastress?
 
Back
Top Bottom