Ukweli wa mimi kuhusu kuwepo Marekani

Ukweli wa mimi kuhusu kuwepo Marekani

You are very wrong! Yaani everything you wrote(speculate) is wrong.

Mwaka kesho kutwa, nitaandika the whole story ya kuwa huku. Ambayo naamini itawaamsha baadhi ya wadau jinsi ya kufika huku kwa kutumia personal potentials(Qualities). If possible, nitaandaa a zoom meeting ili kuelezana habari za kuangalia fursa nje ya nchi. So ukiona tangazo la kuhusu kujifunza fursa za nje jitahidi kuhudhuria sio lazima uone tangazo hapa kupitia Prof Janabi wa JF,
Mwaka kesho kutwa, umeandikaje?👆
 
You are very wrong! Yaani everything you wrote(speculate) is wrong.

Mwaka kesho kutwa, nitaandika the whole story ya kuwa huku. Ambayo naamini itawaamsha baadhi ya wadau jinsi ya kufika huku kwa kutumia personal potentials(Qualities). If possible, nitaandaa a zoom meeting ili kuelezana habari za kuangalia fursa nje ya nchi. So ukiona tangazo la kuhusu kujifunza fursa za nje jitahidi kuhudhuria sio lazima uone tangazo hapa kupitia Prof Janabi wa JF,
Mkuu tupia pi
Thubutuu!kubana matumizi ukiwa america usikie hivyo hivyo
Kwasababu gani mkuu gharama zipo juu sana au kuna anasa nyingi?
 
Wakuu, wakati nakuja Marekani nilihakikishiwa uwepo wa watu wengi kusapoti afya ya akili. Kimsingi wameweka misingi mingi mizuri kwamba ukijiona hauko sawa unawacheki wakuweke sawa. Sijawahi kuwa mbali na nyumbani kiasi hiki nimetembea nchi za Afrika, hii ni mara yangu ya kwanza kuwa Marekani.

Nini kinatokea? Kimsingi unafurahia unapoondoka nyumbani ila kiuhalisia ukifika huku unaanza kustruggle kukaa sawa na mazingira ya huku. Well Struggling ninayoizungumzia hapa sio ya kifedha, kipande hicho kwangu hakina shida, ni struggle ya upya. Hauwezi amini nilikaa siku kadhaa bila kula, na huwa najijua nikiwa na stress siwezi kula. Nikaona hizi ni stress za kuwa kwenye mazingira mapya. Alhamdulillah kwenye upande wa chakula nikakaa poa. Wabongo nakutana nao ila haya masuala ya kustruggle kukaa sawa ni mambo ambayo hayaeleweki kirahisi hadi kwa wataalamu.

Mimi sijaja huku kama mtembezi, niko na mishe na nina namba ya kuniruhusu kuajiriwa(SSN). Na kama ningekuwa na mke naye angepata hiyo namba na kufanya kazi muda wote ambao mimi nitakuwepo huku. Well sina shida ya kifedha kwa sasa kwa kusema ukweli, nina shida ya upweke, yaani upweke umekuwa mkubwa kwa kuwa mipango yangu ya kuoa ilikwama.

Hadi sasa nawasiliana na watu kadhaa wa nyumbani lakini nimeona kwa watu wengi wa huku kuwa. Inauma sana kujiona uko disconnected na watu wako. Kama wewe una ndugu yako yuko nje ya nchi na anatarajia kuwa huko kwa muda mrefu, fanya hivi ndugu yangu, mtumie meseji, mjulie hali, hizo vitu zinafariji sana.

Watanzania hadi sasa wanaumia kwa mambo mengi huku ughaibuni, pamoja na mengi hata suala la kuonekana sio raia wa TZ ni jambo lingine linawavuruga ila hawasemi kwa uwazi. Ili kubaki na asili ya nyumbani au kuwa na mtu anayeweza kukuelewa wengi wameoa watu kutoka nyumbani. Mimi, nikioa mtu leo, ataruhusiwa kuja Marekani na kufanya kazi pia, ila shida ziko nyingi huwezi kujibebea mke tu mradi mke. Though naheshimu mchango wa ndugu mmoja kutoka Newsland(Much respect brother)

Kwa sasa naandika upuuzi mwingi humu ila soon nitapotea kwa kuwa natarajia kuwa sawa muda si mrefu, ambapo hizi tambo zitaisha na nitaanza kufanya mambo ya msingi kuwakilisha taifa(Kimsingi nawawakilisha vizuri, mngenijua mimi ni nani mngeshuhudia hilo).

Lakini natoa wito sio tu kwangu bali kwa yeyote, kama una ndugu yako yukoo maili nyingi kutoka nyumbani, mtumie meseji hata mara moja kwa wiki sio mbaya, zinafariji sana. Huwezi jua anaweza kukuchapa na iphone 15, shauri yako!

Leo nimeona ninunue Bacardi kufanya maisha yaende. Naandika uzi huu jioni ambayo ni usiku wa manane huko nyumbani.
Fikiria watu waliofika Marekani kabla ya Google, Facebook, Whatsapp na Jamiiforums.

Halafu jione una bahati kwa angalau kuwa na mawasiliano hayo.
 
TZ fursa zipo nyingi ukikomaa baada ya muda unaweza kuanza kuona mambo yanakaa sawa,uwa nawashangaa sana wanaomcheka kikeke kutoka bbc hadi crown fm,robo unayoipata ukiwa TZ ni kubwa zaidi ya nusu na robo unayoipata ukiwa abroad,hata kimatumizi
Hauna tofauti na anayemwambia mtu "ukikomaa hapahapa Mkoani kuna fursa nyingi, huna haja ya kwenda Dar"
 
Vipi huko mbeba boksi,kazi ya kuhudumia wazee wanapata tsh ngapi kwa saa 1
Nilipata kazi Aberdeen Scotland ya kulea wazee 😂😂 mpaka interview walinifanyia na wakaniofa accomodations, wakaniombea na Visa ubalozini ya miaka 3 mwisho wa siku nikaigomea nilihisi hii kazi sio rahisi kuchezea chezea makalio ya wazee wa kizungu sio rahisi.
 
Nilipata kazi Aberdeen Scotland ya kulea wazee 😂😂 mpaka interview walinifanyia na wakaniofa accomodations, wakaniombea na Visa ubalozini ya miaka 3 mwisho wa siku nikaigomea nilihisi hii kazi sio rahisi kuchezea chezea makalio ya wazee wa kizungu sio rahisi.
Malipo ni bei gani? Pia ilikuwa ni mwaka gani?
 
U
Sibebi boksi! Hiyo ndio tofauti kubwa. Na nikiwa na mwanamke mwenye elimu nzuri naye pia hatobeba boksi. However kubeba boksi huku pays a lot than kuwa mtumishi wa taasisi fulani huko nyumbani respect that. Ila we are need "Real" Job
Upo USA na unaandika broken hivi nina mashaka na hili "we are need real job" duh
 
Back
Top Bottom