Mamsosa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2024
- 1,047
- 2,246
Uko yuu es mjini ama vijijini?Watu ambao nina uhakika wako US hadi sasa ni Kiranga na Mzee Mwanakijiji huyo Lugano nimekuwa nikimsoma hapa JF ila sidhani kama yuko US
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko yuu es mjini ama vijijini?Watu ambao nina uhakika wako US hadi sasa ni Kiranga na Mzee Mwanakijiji huyo Lugano nimekuwa nikimsoma hapa JF ila sidhani kama yuko US
Mbeba boksi wa marekani anawapita watumishi wa serikali wengi tuKila la heri kubeba boksi
Watu ambao nina uhakika wako US hadi sasa ni Kiranga na Mzee Mwanakijiji huyo Lugano nimekuwa nikimsoma hapa JF ila sidhani kama yuko US
Bufa yeye yupo ulaya?Watu ambao nina uhakika wako US hadi sasa ni Kiranga na Mzee Mwanakijiji huyo Lugano nimekuwa nikimsoma hapa JF ila sidhani kama yuko US
Upo arizona kwenye joto kama ovenSipo texas, nipo jimbo lenye record nzuri ya ajira(Employment rate) na chimbuko la viwanda vingi
We nae hebu leta nyuzi zingine, kila siku marekani marekani.Wakuu, wakati nakuja Marekani nilihakikishiwa uwepo wa watu wengi kusapoti afya ya akili. Kimsingi wameweka misingi mingi mizuri kwamba ukijiona hauko sawa unawacheki wakuweke sawa. Sijawahi kuwa mbali na nyumbani kiasi hiki nimetembea nchi za Afrika, hii ni mara yangu ya kwanza kuwa Marekani.
Nini kinatokea? Kimsingi unafurahia unapoondoka nyumbani ila kiuhalisia ukifika huku unaanza kustruggle kukaa sawa na mazingira ya huku. Well Struggling ninayoizungumzia hapa sio ya kifedha, kipande hicho kwangu hakina shida, ni struggle ya upya. Hauwezi amini nilikaa siku kadhaa bila kula, na huwa najijua nikiwa na stress siwezi kula. Nikaona hizi ni stress za kuwa kwenye mazingira mapya. Alhamdulillah kwenye upande wa chakula nikakaa poa. Wabongo nakutana nao ila haya masuala ya kustruggle kukaa sawa ni mambo ambayo hayaeleweki kirahisi hadi kwa wataalamu.
Mimi sijaja huku kama mtembezi, niko na mishe na nina namba ya kuniruhusu kuajiriwa(SSN). Na kama ningekuwa na mke naye angepata hiyo namba na kufanya kazi muda wote ambao mimi nitakuwepo huku. Well sina shida ya kifedha kwa sasa kwa kusema ukweli, nina shida ya upweke, yaani upweke umekuwa mkubwa kwa kuwa mipango yangu ya kuoa ilikwama.
Hadi sasa nawasiliana na watu kadhaa wa nyumbani lakini nimeona kwa watu wengi wa huku kuwa. Inauma sana kujiona uko disconnected na watu wako. Kama wewe una ndugu yako yuko nje ya nchi na anatarajia kuwa huko kwa muda mrefu, fanya hivi ndugu yangu, mtumie meseji, mjulie hali, hizo vitu zinafariji sana.
Watanzania hadi sasa wanaumia kwa mambo mengi huku ughaibuni, pamoja na mengi hata suala la kuonekana sio raia wa TZ ni jambo lingine linawavuruga ila hawasemi kwa uwazi. Ili kubaki na asili ya nyumbani au kuwa na mtu anayeweza kukuelewa wengi wameoa watu kutoka nyumbani. Mimi, nikioa mtu leo, ataruhusiwa kuja Marekani na kufanya kazi pia, ila shida ziko nyingi huwezi kujibebea mke tu mradi mke. Though naheshimu mchango wa ndugu mmoja kutoka Newsland(Much respect brother)
Kwa sasa naandika upuuzi mwingi humu ila soon nitapotea kwa kuwa natarajia kuwa sawa muda si mrefu, ambapo hizi tambo zitaisha na nitaanza kufanya mambo ya msingi kuwakilisha taifa(Kimsingi nawawakilisha vizuri, mngenijua mimi ni nani mngeshuhudia hilo).
Lakini natoa wito sio tu kwangu bali kwa yeyote, kama una ndugu yako yukoo maili nyingi kutoka nyumbani, mtumie meseji hata mara moja kwa wiki sio mbaya, zinafariji sana. Huwezi jua anaweza kukuchapa na iphone 15, shauri yako!
Leo nimeona ninunue Bacardi kufanya maisha yaende. Naandika uzi huu jioni ambayo ni usiku wa manane huko nyumbani.
Mhaya ni mhaya tu..We nae hebu leta nyuzi zingine, kila siku marekani marekani.
Kubeba boksi maana yake nini ?Kila la heri kubeba boksi
Hiyo issue ya kubeba boksi huwa mnamaanisha nini ?Mbeba boksi wa marekani anawapita watumishi wa serikali wengi tu
Ni kama kuruka ukuta wakati fenesi halijanyoa ndevuKubeba boksi maana yake nini ?
Umeandika usengeNi kama kuruka ukuta wakati fenesi halijanyoa ndevu
Kubeba box ni kufanya kazi Abroad,haimaanishi kua ni kazi ya kubeba box.Hiyo issue ya kubeba boksi huwa mnamaanisha nini ?
Mimi nilidhani ni zile kazi za kutumia maguvu kwenye maeneo kama shambani au kwenye warehouseKubeba box ni kufanya kazi Abroad,haimaanishi kua ni kazi ya kubeba box.
Anawapita parefu kwelikweli. Minimum salary bongo ni salary ya two hours ya mbeba boksiMbeba boksi wa marekani anawapita watumishi wa serikali wengi tu
Hii ya Marekani mtavumilia hadi mwezi December. Nitaanza kuweka nyingineWe nae hebu leta nyuzi zingine, kila siku marekani marekani.
Huo ni ushamba, hivi kila mtu akielezea nchi alizoenda na kazi alizofanya patatosha humu?Mhaya ni mhaya tu..