From someone with intellectual maturity. This is strange asf. Wewe jamaa umejiunga July 7 2023. Na tangu kipindi hicho tayari umeshaanzisha thread 10 kuhusu Marekani. Hicho sio kitu cha kawaida kwa mtu mzima mwenye akili zake timamu. That's an usual obsession.
Kitu kinachoniambia there's no way wewe utakuwa ni mtu mzima. Definitely someone under 23 or 20. Sababu huo ndio umri vijana wengi huwa na obsession ya ndoto zao. Na with their naive mentality on the world kufikiri kwamba watazifikia either way. Kitu ambacho kinapelekea kuziongelea na kuziota constantly kama hivi.
Tell me I'm wrong.