Wakili tajiri
Member
- Aug 8, 2024
- 55
- 103
Mimi napambana nije huko heri nibebe boksi,ila nikija home kusalimia ni boss, mwenyeji nishapata nasubiri barua ya mwaliko ili nijeAnawapita parefu kwelikweli. Minimum salary bongo ni salary ya two hours ya mbeba boksi
Last time alisema yupo Canada kwa Canada na US si hapa na hapa tuWatu ambao nina uhakika wako US hadi sasa ni Kiranga na Mzee Mwanakijiji huyo Lugano nimekuwa nikimsoma hapa JF ila sidhani kama yuko US
Nenda Botswana hapo Mlinzi wa Geti analipwa parefu kumzidi muhudumu wa afyaMimi napambana nije huko heri nibebe boksi,ila nikija home kusalimia ni boss, mwenyeji nishapata nasubiri barua ya mwaliko ili nije
Karibu sanaMimi napambana nije huko heri nibebe boksi,ila nikija home kusalimia ni boss, mwenyeji nishapata nasubiri barua ya mwaliko ili nije
Vipi huko mbeba boksi,kazi ya kuhudumia wazee wanapata tsh ngapi kwa saa 1
Huyu tumwite tu limbukeni,kumwita mshamba ni kutuonea sisi ambao ni wakulima wa jembe la mkonoHuo ni ushamba, hivi kila mtu akielezea nchi alizoenda na kazi alizofanya patatosha humu?
Daaah hela nyingi hiyo kwa siku nikifanya masaa 6, hata nikitoa gharama za maisha bado kuna hela nyingi sana
Asante broKaribu sana
Kupata mwenyeji ndiyo ishu mkuu,wewe uko wapi?Nenda Botswana hapo Mlinzi wa Geti analipwa parefu kumzidi muhudumu wa afya
CaliforniaKuna jimbo linazidi TX kwa wingi wa viwanda?
Gharama za maisha ni kubwa sana kuliko TanzaniaAnawapita parefu kwelikweli. Minimum salary bongo ni salary ya two hours ya mbeba boksi
Kazuramimba huku nalima matikitiKupata mwenyeji ndiyo ishu mkuu,wewe uko wapi?
Michigan?Sipo texas, nipo jimbo lenye record nzuri ya ajira(Employment rate) na chimbuko la viwanda vingi
Ipo tz au wapi hiyo mkuuKazuramimba huku nalima matikiti
viazi tenaMkuu, nipo zangu Mpimbwe hapa nalima viazi.
Kazuramimba google utaonaIpo tz au wapi hiyo mkuu
Utakuta yupo Kasulu, anafanya hivyo ili atapeli watu pesa za connection, au apate mademu, siku akija Dar kwa mbio za mwenge, ndo anifanye karudi kutoka marekani kaja Dar, Huyo demu aliyedanganywa lazima aliwe hiyo siku.Huyu tumwite tu limbukeni,kumwita mshamba ni kutuonea sisi ambao ni wakulima wa jembe la mkono
You are very wrong! Yaani everything you wrote(speculate) is wrong.From someone with intellectual maturity. This is strange asf. Wewe jamaa umejiunga July 7 2023. Na tangu kipindi hicho tayari umeshaanzisha thread 10 kuhusu Marekani. Hicho sio kitu cha kawaida kwa mtu mzima mwenye akili zake timamu. That's an usual obsession.
Kitu kinachoniambia there's no way wewe utakuwa ni mtu mzima. Definitely someone under 23 or 20. Sababu huo ndio umri vijana wengi huwa na obsession ya ndoto zao. Na with their naive mentality on the world kufikiri kwamba watazifikia either way. Kitu ambacho kinapelekea kuziongelea na kuziota constantly kama hivi.
Tell me I'm wrong.