Ukweli wa mimi kuhusu kuwepo Marekani

Mwaka kesho kutwa, umeandikaje?👆
 
Mkuu tupia pi
Thubutuu!kubana matumizi ukiwa america usikie hivyo hivyo
Kwasababu gani mkuu gharama zipo juu sana au kuna anasa nyingi?
 
Fikiria watu waliofika Marekani kabla ya Google, Facebook, Whatsapp na Jamiiforums.

Halafu jione una bahati kwa angalau kuwa na mawasiliano hayo.
 
TZ fursa zipo nyingi ukikomaa baada ya muda unaweza kuanza kuona mambo yanakaa sawa,uwa nawashangaa sana wanaomcheka kikeke kutoka bbc hadi crown fm,robo unayoipata ukiwa TZ ni kubwa zaidi ya nusu na robo unayoipata ukiwa abroad,hata kimatumizi
Hapo nimekupata mkuu ngoja tukomae
 
TZ fursa zipo nyingi ukikomaa baada ya muda unaweza kuanza kuona mambo yanakaa sawa,uwa nawashangaa sana wanaomcheka kikeke kutoka bbc hadi crown fm,robo unayoipata ukiwa TZ ni kubwa zaidi ya nusu na robo unayoipata ukiwa abroad,hata kimatumizi
Hauna tofauti na anayemwambia mtu "ukikomaa hapahapa Mkoani kuna fursa nyingi, huna haja ya kwenda Dar"
 
Vipi huko mbeba boksi,kazi ya kuhudumia wazee wanapata tsh ngapi kwa saa 1
Nilipata kazi Aberdeen Scotland ya kulea wazee 😂😂 mpaka interview walinifanyia na wakaniofa accomodations, wakaniombea na Visa ubalozini ya miaka 3 mwisho wa siku nikaigomea nilihisi hii kazi sio rahisi kuchezea chezea makalio ya wazee wa kizungu sio rahisi.
 
Malipo ni bei gani? Pia ilikuwa ni mwaka gani?
 
U
Sibebi boksi! Hiyo ndio tofauti kubwa. Na nikiwa na mwanamke mwenye elimu nzuri naye pia hatobeba boksi. However kubeba boksi huku pays a lot than kuwa mtumishi wa taasisi fulani huko nyumbani respect that. Ila we are need "Real" Job
Upo USA na unaandika broken hivi nina mashaka na hili "we are need real job" duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…