Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Yasmin ni mwanamke mrembo. Tatizo kubwa alikokuwa nalo Yasmin hakuweza kuwa kwenye mahusiano na mwanaume mmoja. Akiwa kwenye mahusiano, huyo mwanaume akisafiri lazima apate Kiserengeti cha kumliwaza. Hii ilipelekea mahusiano yake mengi yasifike kwenye ndoa baada ya habari kuvuja.
Alitokea kaka mmoja mstaarabu sana, alimpenda Yasmin. Baada ya kumuelewa yule kaka na kuanza mahusiano, yule kaka alimhadithia Yasmin jinsi alivyoachana na mke wake wa kwanza.
Kaka mstaarabu alidumu kwenye ndoa ya kwanza kwa miaka mitano. Kwakua alikuwa Engineer kitaaluma alisafiri sana. Hakuwahi kwa tabia za mke wake kuwa na majibu ya kebehi na dharau, aliamua ku kodi private investigator amchunguze mke wake.
Investigator alimletea mpaka picha alizompiga akiwa na mwanaume mwingine mume wake akiwa safarini. Kumbe yule mke wa Engineer alikuwa katika mahaba ya penzi zito la DJ. Hii ilipelekea ndoa kuvunjika.
Baada ya maelezo haya, Yasmin damu ilimsisimka. Alikubali kuolewa na Engineer lakini alijua kabisa tabia ya kuwa na viserengiti inaishia hapa.