Ukweli wa mume wake ulibadilisha tabia yake na akawa mke mwema

Ukweli wa mume wake ulibadilisha tabia yake na akawa mke mwema

Natanguliza kicheko. Tena mbona under 24 wadogo? Kuna hutu tushetani age 27 kushika chini.
They will turn your life upside down.
Tushetani tena??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tushetani kabisa kwa maana ya Devil's agents
Hehehehe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] nadhani tayari washakupiga matukio ya kutosha
 
Tushetani kabisa kwa maana ya Devil's agents
Hehehehe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] nadhani tayari washakupiga matukio ya kutosha
 
Natanguliza kicheko. Tena mbona under 24 wadogo? Kuna hutu tushetani age 27 kushika chini.
They will turn your life upside down.
Wakati nikiwa umri huo, sikuwa na ujamaa wa hivyo na shetani. Wa kugeuza maisha ya watu juu chini chini juu. Chini ya 27, sio wote tushetani.
 
Sitafuti mwanamme please.

Amka hapo kitandani Acha kuota ndoto za mchana.
Nimeona tangazo lako nkasema nchangamkie fursa kwa mwanamama huyu ambaye age ishaanza kumtumpa mkono....

Anyway siko serious hata ivo ....
 
Nimeona tangazo lako nkasema nchangamkie fursa kwa mwanamama huyu ambaye age ishaanza kumtumpa mkono....

Anyway siko serious hata ivo ....
Jua kusoma, na ujue pia kutofautisha.

Soma thread vizuri.

Umesoma fasta ukajua fursa si hii hapa ya msingi kiuno?

Wasn't me.
 
Back
Top Bottom