Ukweli wa mume wake ulibadilisha tabia yake na akawa mke mwema

Ukweli wa mume wake ulibadilisha tabia yake na akawa mke mwema

Wakati nikiwa umri huo, sikuwa na ujamaa wa hivyo na shetani. Wa kugeuza maisha ya watu juu chini chini juu. Chini ya 27, sio wote tushetani.
Of course sio wote.

Ni hutu tulamba lipsi tunaokwenda gym na kushinda home wakicheza PS.

The best they can do Ni kuendesha Uber manake na huko fursa zipo.

Tu iblis kabisaaa.
 
Hehehehe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] nadhani tayari washakupiga matukio ya kutosha
Ndugu usipokiwa na akili timamu hutoboiiii
 
Ni hutu tulamba lipsi tunaokwenda gym na kushinda home wakicheza PS.

The best they can do Ni kuendesha Uber manake na huko fursa zipo.
Mpangilio wa hizi line 👍👍.
Hapa nimekusoma. Aisee akishalamba lipsi, asilimia kama zote iv ni hamna kitu
 

Attachments

  • FB_IMG_16081422482469863.jpg
    FB_IMG_16081422482469863.jpg
    22.6 KB · Views: 13
Ngoja namimi nitafute kiserengeti boy...nikisuburia Engineer aje kunihusia..

Under 24..nawakalibisha PM.
Beibe nimenunua washing machine rudi tuendelee na mapenzi yetu kama zamani[emoji8][emoji8][emoji8][emoji173]
 
Beibe nimenunua washing machine rudi tuendelee na mapenzi yetu kama zamani[emoji8][emoji8][emoji8][emoji173]
Beibe...umenichekesha sanaaa.... [emoji3][emoji3][emoji3]
Aiseee shida sidhani Kama ilikua kufua my dear.....Mambo yakishafika tamati sababu hazikosekani
 
😂😂😂😂😂😂 injinia Haji kumbe mhuni tu!
Engineer Haji muhuni tu, namjua anakaa majengo! Hajawahi kuwa hata na mke sema mbinu zake tu za kumtuliza mawenge Yasmini ndio nimezikubali.

Hio unapewa ujumbe kuwa ukichiti imeisha hio,,,sema unapewa ujumbe indirectly!😂😂😂
 
Beibe...umenichekesha sanaaa.... [emoji3][emoji3][emoji3]
Aiseee shida sidhani Kama ilikua kufua my dear.....Mambo yakishafika tamati sababu hazikosekani
Walaah toka huu mwaka umeanza nimekuwa mpya rudi tu sasa hivi nina mapenzi kama tamthilia za kifilipino[emoji173]
 
Back
Top Bottom