Of course sio wote.Wakati nikiwa umri huo, sikuwa na ujamaa wa hivyo na shetani. Wa kugeuza maisha ya watu juu chini chini juu. Chini ya 27, sio wote tushetani.
Ndugu usipokiwa na akili timamu hutoboiiiiHehehehe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] nadhani tayari washakupiga matukio ya kutosha
Mkuu kwan m hujanionaNgoja namimi nitafute kiserengeti boy...nikisuburia Engineer aje kunihusia..
Under 24..nawakalibisha PM.
Mpangilio wa hizi line ππ.Ni hutu tulamba lipsi tunaokwenda gym na kushinda home wakicheza PS.
The best they can do Ni kuendesha Uber manake na huko fursa zipo.
Owky....Basi ilikukulazimisha kwenye sample Basi..niweke less than or equal to 60[emoji3]Nipo nje ya hiyo range yako!
Mkuu...naogopa wenye six packMkuu kwan m hujaniona
Owky....Basi ilikukulazimisha kwenye sample Basi..niweke less than or equal to 60[emoji3]
Mkuu...naogopa wenye six pack
Ubuyu umekatizwa au siyoπHata sijakuelewa hasa kwenye Aya mbili za mwisho
π²π²π²bas ukinikubal ....ntakua na kitambiMkuu...naogopa wenye six pack
Hapo tuatelewana Mkuu...nikishika tumbo Mimi inatosha hamna Haja ya kufanya vinginee[emoji44][emoji44][emoji44]bas ukinikubal ....ntakua na kitambi
. M ntakua nashka nanii...Hapo tuatelewana Mkuu...nikishika tumbo Mimi inatosha hamna Haja ya kufanya vinginee
Beibe nimenunua washing machine rudi tuendelee na mapenzi yetu kama zamani[emoji8][emoji8][emoji8][emoji173]Ngoja namimi nitafute kiserengeti boy...nikisuburia Engineer aje kunihusia..
Under 24..nawakalibisha PM.
Beibe...umenichekesha sanaaa.... [emoji3][emoji3][emoji3]Beibe nimenunua washing machine rudi tuendelee na mapenzi yetu kama zamani[emoji8][emoji8][emoji8][emoji173]
Engineer Haji muhuni tu, namjua anakaa majengo! Hajawahi kuwa hata na mke sema mbinu zake tu za kumtuliza mawenge Yasmini ndio nimezikubali.
Hio unapewa ujumbe kuwa ukichiti imeisha hio,,,sema unapewa ujumbe indirectly!πππ
Walaah toka huu mwaka umeanza nimekuwa mpya rudi tu sasa hivi nina mapenzi kama tamthilia za kifilipino[emoji173]Beibe...umenichekesha sanaaa.... [emoji3][emoji3][emoji3]
Aiseee shida sidhani Kama ilikua kufua my dear.....Mambo yakishafika tamati sababu hazikosekani
Kwasababu washing machine ipo....Basi narudiWalaah toka huu mwaka umeanza nimekuwa mpya rudi tu sasa hivi nina mapenzi kama tamthilia za kifilipino[emoji173]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji39][emoji173][emoji7][emoji8][emoji8]Kwasababu washing machine ipo....Basi narudi