Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wengi wa Atheist hawajui wasemalo Wamejifunza Kwa hisia bila kutumia Utafiti wowote wamekalilishwa na kujikuta wanatumia hisia za MARAFIKI AU MABOSI WAO HAKUNA UTAFITI WOWOTE ULIOFANYIKA. Mungu hayupo kwanini wakati tuna ona kila kitu kipo kwe mpangilio?Nimekuwa nakufuatilia sn. Maswali yako huwa ni magumu mno kwa watu wa upande wa pili,,,,. Atheists. Safi sn kwa matumizi sahihi ya akili
Sent from my TECNO P6 using JamiiForums mobile app

Mkuu ulijifunza hukufanya utafiti ukajikuta umelimbuka nadhani JIULIZE JE KILA KITU KIPO KATIKA MPANGILIO NANI AMEFANYA? Hivi unadhani Nafsi inaweza kuonekana kwa macho? Badili mawazo yako fanya utafiti acha kumukalili RAFIKI AU BOSI WAKO JIFUNZE UAMINI ULICHO KIFANYIA UTAFITI NA UKAPATA MAJIBU . KARIBU NAWEZA KUKUSAIDIA NAJUA UTAELEWAKama hakuna anayefahamu mambo ya Mungu,wewe umejuaje kama huyo Mungu yupo?
Ukishasema kuwa Mungu yupo,hapo tayari umeshafahamu mambo yake
Huwezi kusema z ipo halafu usijue chochote kuhusu 'z',umejuaje kuwa 'z' ipo?
Mtu anayesema hakuna Mungu hana haja tena ya kujua huyo mungu anakaa wapi,kwa sababu hayupo
Hebu nipe mfano mmoja wa kitu ambacho hakichunguziki?
Does god is really undetectable?
Do you know what rules of Logic say to such undetectable entity?
If he is undetectable,then you've no authority to claim that he exist
Because there is no means to confirm your claim!
Mkuu Fanya utafiti kwanini Kila kitu kipo katika mpangilio sahihi katika ulimwengu huu utapata majibu. Kama hakuna njia ya kufanya utafiti nitafute japo kwa masaa 2 ntakusaidia na utaludi jukwaani kuomba msamaha na utakuwa mmoja waamini wanao mwamini Mungu katika haki na kweli.Your above thesis is as mad as bag of ferrets
Son,let me show you why we say religious God(s) do not logically exist.
In principle,you can't solve the problem unless you identify it firstly
Can you give me right on the money definition of word God?
Mkuu haya ya majua kuisha ni hadithi za Alinacha hivi miaka billion 12 au 20 unaelewa ninini? au ummekalili kama Einstein,KILANGA, Na wenzie.kaka sasa hayo majua mengine atakuwa anaishi nani? na jua linapokwisha muda wake na kufa nae mungu hufa au hamia jua lingine?
Kwa nini usifanye hapahapa ili awe anaamini?Mkuu Fanya utafiti kwanini Kila kitu kipo katika mpangilio sahihi katika ulimwengu huu utapata majibu. Kama hakuna njia ya kufanya utafiti nitafute japo kwa masaa 2 ntakusaidia na utaludi jukwaani kuomba msamaha na utakuwa mmoja waamini wanao mwamini Mungu katika haki na kweli.
Mkuu wengi wa Atheist hawajui wasemalo Wamejifunza Kwa hisia bila kutumia Utafiti wowote wamekalilishwa na kujikuta wanatumia hisia za MARAFIKI AU MABOSI WAO HAKUNA UTAFITI WOWOTE ULIOFANYIKA. Mungu hayupo kwanini wakati tuna ona kila kitu kipo kwe mpangilio?Nimekuwa nakufuatilia sn. Maswali yako huwa ni magumu mno kwa watu wa upande wa pili,,,,. Atheists. Safi sn kwa matumizi sahihi ya akili
Sent from my TECNO P6 using JamiiForums mobile app
We nae ni jipu[emoji134] [emoji134] [emoji134]Najua ndio maana nimeandika nilichofanyia utafiti, Bibie haujambo?
MkuuMkuu Fanya utafiti kwanini Kila kitu kipo katika mpangilio sahihi katika ulimwengu huu utapata majibu. Kama hakuna njia ya kufanya utafiti nitafute japo kwa masaa 2 ntakusaidia na utaludi jukwaani kuomba msamaha na utakuwa mmoja waamini wanao mwamini Mungu katika haki na kweli.
We nae ni jipu[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Mi ni bukheri wa afya sijui wewe?
Huyu Mungu wake ni Mungu jua, na ana sifa zote za kibinadamuPrincess Jimena huu sio utafiti ni Hallucinatory speculation.
Hata mtu mwenye uelewa mdogo tu cosmology hawezi kuleta upuuzi kama huu.
Wengine wanasema Mungu wao yupo kila mahali
Lakini huyu wa mwenzetu yupo kwenye Jua.Lol!
Nimeukwepa sana huu mjadala kwakuwa niliona uko kimzaha zaidi na kwakweli siamini mpaka kama kweli mleta mada alimaanisha kuwa serious au alitaka tu kufurahisha jukwaaPrincess Jimena huu sio utafiti ni Hallucinatory speculation.
Hata mtu mwenye uelewa mdogo tu cosmology hawezi kuleta upuuzi kama huu.
Wengine wanasema Mungu wao yupo kila mahali
Lakini huyu wa mwenzetu yupo kwenye Jua.Lol!
Umeelewa nilichoandika hapo?Utakapoweza kunithibitishia
1. Kwanini Mungu hayupo
2. Asili ya vitu vyote
Ntakubaliana na hoja yako...
Wapi?Umeelewa nilichoandika hapo?
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Wapi?