amoneyazan
JF-Expert Member
- Jan 10, 2013
- 698
- 469
Utakapoweza kunithibitishiaWewe unaposema mungu yupo kwa sababu ulimwengu upo kwenye mpangilio, nashindwa kukuelewa unapojipinga mwenyewe kwa kusema mungu hana nwanzo wala mwisho ilihali yeye pia yupo kwenye mpangilio.
Je? Mimi nikikwambia ulimwengu pia hauna nwanzo wala mwisho utakubali?
1. Kwanini Mungu hayupo
2. Asili ya vitu vyote
Ntakubaliana na hoja yako...