thesym
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 3,843
- 4,796
Th
Thibitisha.Jibu moja tu
Hakuna Mungu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thibitisha.Jibu moja tu
Hakuna Mungu!
Th
Thibitisha.
HAKUNA MUNGU?NGOJA NIKUPE ZOEZ MOJA.FUNGA MDOMO NA PUA KWA DAKIKA 1 YAAN USIPUMUE.UKIWEZA KWELI MUNGU HAYUPO.Jibu moja tu
Hakuna Mungu!
mungu aliumbwa na nani..?
kama hakuumbwa alijiumbaje au alianzaje mahali pasi na kitu/tupu..?
kwanini yupo..?
jibu hayo kwanza
hakuna anayejua mungu ametoka wap.hyo ni siri yake yeye.wewe hauwez kujua.tangu adam mpaka kiumbe cha mwisho hakuna anayejua.ila hyo sio sabab ya kusema mungu hayupo.maana alama za uwepo wake zipo.HAKUNA MUNGU?NGOJA NIKUPE ZOEZ MOJA.FUNGA MDOMO NA PUA KWA DAKIKA 1 YAAN USIPUMUE.UKIWEZA KWELI MUNGU HAYUPO.
mungu aliumbwa na nani..?
kama hakuumbwa alijiumbaje au alianzaje mahali pasi na kitu/tupu..?
kwanini yupo..?
jibu hayo kwanza
HAKUNA MUNGU?NGOJA NIKUPE ZOEZ MOJA.FUNGA MDOMO NA PUA KWA DAKIKA 1 YAAN USIPUMUE.UKIWEZA KWELI MUNGU HAYUPO.
nisengeuliza kama ningekuwa na majibu
mungu aliumbwa na nani..?
kama hakuumbwa alijiumbaje au alianzaje mahali pasi na kitu/tupu..?
kwanini yupo..?
jibu hayo kwanza
Kipi cha msingi chenye kukufanya uulize hayo maswali uliyouliza?mungu aliumbwa na nani..?
kama hakuumbwa alijiumbaje au alianzaje mahali pasi na kitu/tupu..?
kwanini yupo..?
jibu hayo kwanza
Mimi nimesema Hakuna Mungu
Sasa wewe ndiye unayepaswa kunikosoa mimi,kwa kuleta Ushaidi unaothibitisha Uwepo wa Mungu.
Kitu ambacho mimi nitafanya ni kuonyesha contradiction zinazomuhusu huyo Mungu.
Mkuu,wewe ni muumini wa dini gani,tuanzie hapo?
nimekwambia hvyo ni kukuonesha kuwa.mungu yupo.maana unaishi anavyotaka yeye.kuwa utapumua.utakula.utalala.utaendakunya.utaumwa.n.k.mungu ndiye muumba wa mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake.SI RAHS UZALIWE UIKUTE DUNIA NA KILA KITU KILICHOMO ALAFU USEME HAKUNA MWENYEWE.UTAKUWA ZAID YA CHIZI.MUNGU NDO MMILIKI WA VYOTE HVYO.NA IPO SIKU UTAKUFA.UTAZIKWA UTAENDA KUHUKUMIWA NA HUYO UNAE .MKATAA.Mkuu,moja kati ya JF's members wenye ID's zinazoendana na contents zao ni wewe
Hongera kwa hilo.
Nimefanikiwa kwenye zoezi lako.
Mwanadamu hafi kwa kukosa pumzi ndani ya Dakika moja
Zoezi lako linahitaji Modification kama siyo Abandonment!
Maana halina mahusiano hata na kile unachotaka kuthibitisha.
Unaweza kunipa tafsiri ya neno Mungu?
nataka kujua kama kuna mungu kama yupo nataka kujua yupi ni wakweli maana hapa duniani kuna miungu wengi mno na kila mtu anakwambia kwamba mungu wake ndo wakweli.Kipi cha msingi chenye kukufanya uulize hayo maswali uliyouliza?
Akijisibitisha dhahili naweza kuamini kuwa yupo.Katika maswali yanayo wafanya watu kuamini mungu. Maana wewe huoni cha ajabu cha kukufanya uamini kuwa kuna mungu.
Nimeomba tafsiri ya neno Mungu hujanipa.mjingamimi said:nimekwambia hvyo ni kukuonesha kuwa.mungu yupo
Una uhakika gani kuwa Mimi ninaishi kama Mungu anavyotaka?maana unaishi anavyotaka yeye.kuwa utapumua.utakula.utalala.utaendakunya.utaumwa.n.k
Lete ushaidi,otherwise huna haki ya kuweka sweeping conclusion kama hiyo.mungu ndiye muumba wa mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake.
SI RAHS UZALIWE UIKUTE DUNIA NA KILA KITU KILICHOMO ALAFU USEME HAKUNA MWENYEWE.UTAKUWA ZAID YA CHIZI.MUNGU NDO MMILIKI WA VYOTE HVYO.
Death is final act!KUNA SIKU UTAZIKWA NA UTAENDA KUHUKUMIWA NA HUYO UNAYEMKATAA
Akijisibitisha dhahili naweza kuamini kuwa yupo.
NGOJA NIKUACHE NA IMANI YAKO.ILA KUPINGA KWAKO HAKUSAIDII KITU.MUNGU YUPO NA ATAENDELEA KUWEPO NA KWAKE UTARUDI.ENDELEA KUPINGA MWISHO WAKO UPONimeomba tafsiri ya neno Mungu hujanipa.
Toa kwanza maana ya neno Mungu kwa mujibu wa Imani yako.
Maana duniani kuna Imani nyingi,na kila imani inatafsiri yake ya neno Mungu.
Una uhakika gani kuwa Mimi ninaishi kama Mungu anavyotaka?
Kama ninaishi anavyotaka basi mimi na wewe,hatuna tofauti na Ma-robots.
Lete ushaidi,otherwise huna haki ya kuweka sweeping conclusion kama hiyo.
Una maana kila kitu unachokikuta Lazima kiwe na mmiliki,siyo?
Mungu umemkuta,nae ana mmiliki pia?
Death is final act!
NGOJA NIKUACHE NA IMANI YAKO.ILA KUPINGA KWAKO HAKUSAIDII KITU.MUNGU YUPO NA ATAENDELEA KUWEPO NA KWAKE UTARUDI.ENDELEA KUPINGA MWISHO WAKO UPO
Kwa jinsi ulivyojieleza , tone yako tu inaonyesha kuwa unamuabudu Mungu wako kwa uoga kitu ambacho sidhani kama ni cha manufaaa sana kwakoNGOJA NIKUACHE NA IMANI YAKO.ILA KUPINGA KWAKO HAKUSAIDII KITU.MUNGU YUPO NA ATAENDELEA KUWEPO NA KWAKE UTARUDI.ENDELEA KUPINGA MWISHO WAKO UPO
We mwenye kujua kipi cha maana umeleta hapa zaidi ya maswali ya kitoto?Umeshindwa kujibu maswali niliyokuuliza.
Hujui hata tafsiri ya neno Mungu.
Hujui hata unachokiamini.Pole sana.