MIMI naamini biblia takatifu,...
Mungu hachunguziki,...
huwa napinga wanaotoa tafiti za kuchallenge uwepo wa Mungu,...
Mungu yupo na Mungu ni roho,..na wamwubuduo halisi na kumtukuza humwabudu katika roho na kweli,..from bible,.
all days shetani halali akitafuta mbinu za kwenda na wanadamu jehanamu,..
na shetani hutumia binaadamu kushawishi binadamu wadhaifu kupata wafuasi,..
na huwa pia anatumia watu tofauti,kwa gharama yoyote,.yaani wasomi,matajili,wasanii na watu wa kila namna
lengo kubwa ni kutafuta watu atakaokwenda nao jehanamu,..tena anataka wengiiii.,.
tuwe makini binadamu jiokoe na nafsi yakoo,..huu wakati ni wahatari
shetani halaliiiii,..
MUNGU NI ROHO,..
1KORINTHO 2:11,..
mambo ya Mungu hakuna afahamuye ila roho wa wa MUNGU,.
ambaye pia yupo ndani yetu,..tuliokoka