Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

ww ni dini gani?
Naitaji kuelimishwa kuna chapisho LA mwanasayansi mmoja anaitwa Raleigh na model yake ya Raleigh scattering kwamba rangi ya blue kwenye anga inasababishwa na reflection ya miale mifupi ya mwanga wa jua kwa sababu mwanzoni sikuwa na hili wazo halafu wanadai kwamba space ni infinity. Sasa hapa ndo nilipoona unazungumzia mbingu nikajua utakuwa na ufahamu kuhusu hill swala.
 
Mkuu hayo ni mawazo yako ya kidini lakini ukweli ndio huu Ukiangalia mfumo wa ulimwengu wetu kuna mambo mengi ambayo ni tata lakini utata unaisha hapa Mungu siku zote alionekana kwaa njia ya moto ina maana anaishi katika moto na moto upo katika nyota za JUA au MAJUA.
Hata huyo mungu mwenyewe ni utata tu maana haonekani wala kumuhisi amekuwa wa kufikirika tu,Mara anakaa mbinguni mara anakaa kwenye jua...!!
hata mwanzo wake haujulikani.. tuamini kipi sasa..?
 
Hata huyo mungu mwenyewe ni utata tu maana haonekani wala kumuhisi amekuwa wa kufikirika tu,Mara anakaa mbinguni mara anakaa kwenye jua...!!
hata mwanzo wake haujulikani.. tuamini kipi sasa..?
Mungu haonekani kwa macho ni Nafsi Tukufu iliyo hai ndiyo maana Musa aliongea na Moto kwa niaba ya Mungu.
 
Mungu yupo kila mahali hana mahali pekee imani gani uliyonayo kwa. Mungu
Mkuu kama anakaa kila sehemu kwa nini Musa alipo kalibia kichaka kinachowaka moto aliambiwa Avue Viatu Mungu ni Utukufu usioweza kukalibiwa na kitu kichafu kama binadamu? Ndiyo maana nasisitiza mungu yupo katika Jua ambapo hapawezi kukalibiwa na chochote.
 
Ni utafiti uliovuruga tafiti zote kwa mtafiti kutafiti kitu asichokijua na kupata jawabu lisiloelewaka. Kama mungu anaishi mbona hajatuambia anapendelea kula nini na mwisho wake ni lini? Kisayansi jua ni sehemu ya ulimwengu yaani universe na ndiyo maana jua linasaidia uwepo wa usiku na mchana ukuaji wamimea nk. Kwa hiyo anataka kuwaambia wanaoamini kuwa wakifa wataenda kwa mungu ina maana watahamia kwenye jua?
 
Naitaji kuelimishwa kuna chapisho LA mwanasayansi mmoja anaitwa Raleigh na model yake ya Raleigh scattering kwamba rangi ya blue kwenye anga inasababishwa na reflection ya miale mifupi ya mwanga wa jua kwa sababu mwanzoni sikuwa na hili wazo halafu wanadai kwamba space ni infinity. Sasa hapa ndo nilipoona unazungumzia mbingu nikajua utakuwa na ufahamu kuhusu hill swala.
hakuna anayejua mbingu ni nini.si bati si turubai.mungu mwenyewe ndo anajua kiukweli hakuna aliyewah kujfikia hyo mbingu ya kwanza.hakuna .na hata kuwepo.na hzo mbingu zipo saba.mbingu ya kwanza kuna nafasi hvyo hyo mpaka mbingu ya saba.juu kabisa huko ndo anapokaa mwenyez mungu
 
Itabidi niamini hivhivi.thanks in advance
 
Hata huyo mungu mwenyewe ni utata tu maana haonekani wala kumuhisi amekuwa wa kufikirika tu,Mara anakaa mbinguni mara anakaa kwenye jua...!!
hata mwanzo wake haujulikani.. tuamini kipi sasa..?
kijana mungu yupo acha ubishi.jiangalie ww umetokana na nini.na nani aliyefanya kazi ya kukujenga tumbon mwa mama yako?haya tunayoyaona hayajatokea tu kibahati bahati
 
kijana mungu yupo acha ubishi.jiangalie ww umetokana na nini.na nani aliyefanya kazi ya kukujenga tumbon mwa mama yako?haya tunayoyaona hayajatokea tu kibahati bahati
ulishawahi kumuona..?
hapa duniani kuna mungu wengi yupi mungu wa kweli..?
kwa mujibu wa maelezo yako binadamu tumeumbwa na mungu na mungu kaumbwa na nani..?
kama alijiumba mwenyewe alianzaje ktk sehemu isiyokuwa na kitu(tupu)..?
 
weww unafikir hii dunia na vyote vilivyo. vimejitengeneza vyenyewe?
 
Hii topic ni kichefuchefu kitupu.
Nilitaka nipite bila Ku comment lkn mate yamenijaa mdomoni ndio maana nika comment.

Kwanza sitaki kujua Puf puf inarangi gani wakati hiyo kitu haipo
hakuna alie wahi iona zaidi ya kuisikia tu.

Wengine anaishi kwenye moto, wengine juu ya mbingu ya saba!

Mukiulizwa mumemuona? hapana "ni vitabu vinasema"

Vitabu hivyo vimeletwa na nani ? "Muhammad/Yesu"

Je , kuna mmoja wapo kati ya hao aliepata bahati hata ya kumuona tu "hapana"

Sasa ikiwa hao walie waletea hivyo vitabu wao wenyewe hawajawahi kuwaona wewe unapata wapi ujasiri na mapovu kua Mungu yupo?

NB: Mungu hayupo kama nadharia zetu zinavyo tutuma.
Hayupo kwenye jua wala hajajificha juu ya mbingu ya saba.
Na kama angekuepo basi duniani kusingekua na imani nyingi zinazo kinzana mahali alipo lkn zinakubaliana uwepo wake.
 
Back
Top Bottom