Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Hahah hizi imani hizi sasa mwenzio kaja na nadharia na wewe umekuja na nadharia ,hakuna kati ya haya yameshathibitishwa au kushuhudiwa na mwanadamu yeyote ,credibility ya kuita utafiti wake uchwara unaupata wapi ??
hakuna utafiti wowote wa kujua mungu anapoishi ila kwenye vitabu vyake.zaburi.taurati.injili na quran.hauwez kutumia akili zako ukafanikiwa.mzungu mwenyewe ameshindwa kujua ataweza yeye?think big
 
Sijui kama umenielewa ,na sijui ni wapi nimesema tafiti za hao wawili hapo juu kwamba ni sahihi au sio sahihi ,nisome tena utanielewa ,aliye kuletea hiyo quran ni mwarabu na aliyewaletea biblia ni mzungu ,sasa sijui unataka kuniaminisha nini
Fikiria kidogo tu
 
ndo mana nikakwambia hauwez kumjua mungu kwa kutumia akili zako.na hapo ndo nikauita utafiti wake uchwara.akasome kitabu cha dini yake atajua kumuhusu mungu.sio kutumia akili zake anatudanganya
 
Mkuu hii sio dini ni tafiti ya kisayansi vilevile imeshilikisha vitabu vya dini soma vizuri Je musa hakuongea na Mungu na Mungu akiwa katika hali ya moto. Musa anakuta kichaka kinawaka bila kuteketea anakisogelea na kuambiwa HAPA NI MAHALI PATAKATIFU VUA VIATU , JE kwa akili yako moto ni takatifu? Mkuu huyo mungu ni moto na anaishi katika moto MOJAWAPO YA NYOTA ZA JUA NDIMO ULIMO UZIMA WA MUUMBA WETU.

Mmmmh?... ndugu impongo ninashukuru sana kwa utafiti wako wa miaka 16+
najua kwa upande wako haikuwa kazi rahisi mpaka kufikia hapo, ila naomba kama utaweza ujaribu tena kutumia dakika 16+ kutathimini utafiti wako huu.
Mkuu utafiti wangu unaendelea kama ntakuwa Hai naamini nitapata hitimisho ya haya kabla ya kufika 2033
 
Mkuu hii sio dini ni tafiti ya kisayansi vilevile imeshilikisha vitabu vya dini soma vizuri Je musa hakuongea na Mungu na Mungu akiwa katika hali ya moto. Musa anakuta kichaka kinawaka bila kuteketea anakisogelea na kuambiwa HAPA NI MAHALI PATAKATIFU VUA VIATU , JE kwa akili yako moto ni takatifu? Mkuu huyo mungu ni moto na anaishi katika moto MOJAWAPO YA NYOTA ZA JUA NDIMO ULIMO UZIMA WA MUUMBA WETU.

mungu sio moto.na unashindwa kujua nyota ni nini.
 
Mkuu fikira zako zinaelea kwenye uelewa ongeza bidii utayajua mengi.
Uungu ni 'state', most high ambayo wote tutaifikia, sio MTU ama nafsi moja. Kuhusu jua mhm... Sisi Wachaga Mungu wetu anaitwa Ruwa au Ruva, kumaanisha Jua.
 
mungu sio moto.na unashindwa kujua nyota ni nini.
Mkuu sina maana kila nyota ina waka moto kama Jua ndio maana nimesema NYOTA ya jua kwa sabababu nyota ya JJua ndio inayo ungua muda wote
 
Huweji kumuona Mungu na kumfanyia utafiti mpaka ufe kwanza ukaonane naye kwenye hukumu tukuhoji mwenzetu kwenye utafiti wako ulikufa?
 
Back
Top Bottom