Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Nimethibitishiwa wapi? Kwa namna gani? Kwa msingi gani?
Mkuu uthibitisho wa aliye Fanya au kufanyiwa unapingana nao wewe unaushahidi gani Mungu hayupo?
Mimi Nina udhahidi yupo aliyeumba ulimwengu leta ushadi wa kutokuwapo mungu!?
 
Huelewi ulichokiandika,ukitaka kuamini kama huelewi endelea kunihoji, nitakufumbua macho na nina uhakika utaona hata kama hutaki kuona.Siku nyingine ukitaka kuweka link hapa hakikisha umeielewa kwanza kabla ya kuiweka.
Wewe ambaye umeandika sielewi nilichoandika, huelewi kuelewa ni nini.

Ungeelewa ungejitofautisha na mimi kwa kunielewesha wapi sielewi.

Sasa hivi tunaweza kuwa katika shouting match, wewe unasema sielewi na mimi nasema huelewi.

Nitajuaje unaelewa ikiwa hata unachoelewa hujakisema kuonesha wapi sielewi?
 
Mungu ni mmoja tu aliye umba ulimwengu
Una uthibitisho gani?

Kwa nini Mungu kaumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na maovu wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao maovu hayawezekani?
 
Mwenye uwezo wa vyote hashindwi chochote
Ushakubali kwamba hawezi kushindwa. Ikiwa hawezi kushindwa, kashindwa kushindwa tayari.

Hutakiwi kusema hashindwi chochote.
 
Una uthibitisho gani?

Kwa nini Mungu kaumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na maovu wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao maovu hayawezekani?
Hivi kama Mungu angeumba Dunia yenye usawa challenge's ingetoka wapi Mimi na wewe tungeingia hapa tulipo alilenga vema akatupa akili kila mmoja kwa chance yake ili tujipime na kuamua wenyewe
 
crafting ndio fani yako,endelea na mjadala wa uwepo wa mungu....nimeshaona kwamba huku kwako ni pagumu,kila nikikupeleka kwenye hoja unapindisha....fahamu kwamba hii ni sayansi,sio imani,utapindisha sana lakini ukweli uko palepale.
 
Ushakubali kwamba hawezi kushindwa. Ikiwa hawezi kushindwa, kashindwa kushindwa tayari.

Hutakiwi kusema hashindwi chochote.
Asiye shindwa na kitu unawezaje kusema kashindwa !
 
Inawezekana ikawa kweli maana hata sisi wa chagga tunavyo fanya tambiko tunaanza na JUA ndio mengine yanafuata
 
Inawezekana ikawa kweli maana hata sisi wa chagga tunavyo fanya tambiko tunaanza na JUA ndio mengine yanafuata
Mkuu hata katika Vitabu vya dini Bible soma 1Timotheo 6:16
 
crafting ndio fani yako,endelea na mjadala wa uwepo wa mungu....nimeshaona kwamba huku kwako ni pagumu,kila nikikupeleka kwenye hoja unapindisha....fahamu kwamba hii ni sayansi,sio imani,utapindisha sana lakini ukweli uko palepale.
Mkuu ni vipi unasema hakuna HIV huku watu wakiendelea kuteketea?
Watu wakitumia Erv na kunenepeana kama nguruwe wa kufuga?
 
Malizia tafiti kisha utupatie final findings kwa maana ya chapters
 
Ni vile Unaelewa na unasoma kwa ajiri ya kujifunza kwaajiri ya kuharalisha kile unachoamini tofauti na mwengine ni lazima uone Kukana na Kuamini kunakotokana na imani yako haba.
 
Thibitisha, usiseme kizembe tu.

Unaweza kuthibitisha?
Unahitaji nini kuamini kitu kilicho wazi !
Daraja la kigamboni unahitaji nn uamini limesanifiwa na lina uimara?
 
Unahitaji nini kuamini kitu kilicho wazi !
Daraja la kigamboni unahitaji nn uamini limesanifiwa na lina uimara?

Kipi kiko wazi? Kwa nini kipo wazi? Kipo wazi kwa nani?

Kila kilicho complex kimesanifiwa?

Mimi nahitaji uthibitisho ulio logically consistent. Unaweza kunipa huo?
 
Mungu ni roho! mwanzo ume introduce vizuri ktk kueleza ukuu wa Mungu lakini mada yako ikakosa mwelekeo ktk umaliziaji sijui una usingizi, au weekend imekaa vema.

Huwezi kuanza kuelezea ukuu wa Mungu na mwisho unataka kujua Mungu niwa aina weupe au weusi umepoteza maana ya post yako mwanzo umejaribu lakini Mungu ni roho TUKUFU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…