Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ambaye umeandika sielewi nilichoandika, huelewi kuelewa ni nini.Huelewi ulichokiandika,ukitaka kuamini kama huelewi endelea kunihoji, nitakufumbua macho na nina uhakika utaona hata kama hutaki kuona.Siku nyingine ukitaka kuweka link hapa hakikisha umeielewa kwanza kabla ya kuiweka.
Una uthibitisho gani?Mungu ni mmoja tu aliye umba ulimwengu
Ushakubali kwamba hawezi kushindwa. Ikiwa hawezi kushindwa, kashindwa kushindwa tayari.Mwenye uwezo wa vyote hashindwi chochote
Nani amekudanganya kama Dunia inalizunguka jua ?Chief faida zipi napata?
Mwezi unaizunguka Dunia na Dunia inalizunguka jua wewe unakubari?
Hivi kama Mungu angeumba Dunia yenye usawa challenge's ingetoka wapi Mimi na wewe tungeingia hapa tulipo alilenga vema akatupa akili kila mmoja kwa chance yake ili tujipime na kuamua wenyeweUna uthibitisho gani?
Kwa nini Mungu kaumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na maovu wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao maovu hayawezekani?
crafting ndio fani yako,endelea na mjadala wa uwepo wa mungu....nimeshaona kwamba huku kwako ni pagumu,kila nikikupeleka kwenye hoja unapindisha....fahamu kwamba hii ni sayansi,sio imani,utapindisha sana lakini ukweli uko palepale.Wewe ambaye umeandika sielewi nilichoandika, huelewi kuelewa ni nini.
Ungeelewa ungejitofautisha na mimi kwa kunielewesha wapi sielewi.
Sasa hivi tunaweza kuwa katika shouting match, wewe unasema sielewi na mimi nasema huelewi.
Nitajuaje unaelewa ikiwa hata unachoelewa hujakisema kuonesha wapi sielewi?
Mkuu ni vipi unasema hakuna HIV huku watu wakiendelea kuteketea?crafting ndio fani yako,endelea na mjadala wa uwepo wa mungu....nimeshaona kwamba huku kwako ni pagumu,kila nikikupeleka kwenye hoja unapindisha....fahamu kwamba hii ni sayansi,sio imani,utapindisha sana lakini ukweli uko palepale.
Ni vile Unaelewa na unasoma kwa ajiri ya kujifunza kwaajiri ya kuharalisha kile unachoamini tofauti na mwengine ni lazima uone Kukana na Kuamini kunakotokana na imani yako haba.Nahitaji uthibitisho ulio logically consistent.
Maneno yote mnayosema kuthibitisha uwepo wa Mungu hayapo logically consistent na yamejaa contradictions.
Unafahamu logical consistency ni nini?
Unafahamu contradiction ni nini?
Nisije kuwa nabishana na watu ambao hata mambo ya msingi hawajui.
Unahitaji nini kuamini kitu kilicho wazi !
Daraja la kigamboni unahitaji nn uamini limesanifiwa na lina uimara?
Mungu ni roho! mwanzo ume introduce vizuri ktk kueleza ukuu wa Mungu lakini mada yako ikakosa mwelekeo ktk umaliziaji sijui una usingizi, au weekend imekaa vema.Uungu unapatikana katika natural balance ya gases /upepo, Maji, joto/jua,solar systems, baridi /barafu, viumbe hai (wanyama na mimea), viumbe visivyo hai/solids and other infinite substances.
Binadamu Kama mfano wa Mungu kila nilichotaja hapo juu umtokea.
Either kwenye
mwisho wa uhai/ decaying curve (solids remains-skull & bones).
Mwanzo wa binadamu (liquids-combination of male and female sperms)
Living of human body (maji/blood,heat energy, minerals, air exchange) .
Decaying/deppreciate of human body/cell (heat/joto/micro-organics,air/gases).
Expire of human being (cold).
Accumulation of minerals to the human body to balance with nature ((plants and animals feed) + reinforcement /Sun rays).
Locomotion /moving one place to another to absorve and use energy - gravitation force (it's like solar system).
Hivyo Uungu uko mahali pore penye uhai na pasipo na uhai, Ingawa kwa sisi binadamu tunadhani heat energy/Sun,water and Air are the only one which make a combination of the The Almight God existence.
We can not judge the existence of God in terms of % because there are other important issues which is infinity to define or to imagine using our own human capacity.
For that case we need to go deeply as far as spirituals belives which are also very complicated when explaining who is exactly God we may follow and believes.
The above may be among the most difficult question to answer,others being is God Black or White?