Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Quotation ya Sir Isaack Newton alipoulizwa nini mawazo yake kuhusu uwepo WA supernatural powerMpangilio na Usanifu wa muundo wa Ulimwengu wetu ni mpangilio uliofanywa kwa usahihi ndio maana kila kitu kipo katika sehemu yake bila kuathiri kingine
Mkuu ukweli unajifunua ktk kweli tu hebu fikiri kitu kisichoweza kukaribiwa ni nini?God is not a three dimensional being so it is impossible to describe God in a three dimensional world
Makazi yake anayajua mwenyewe
Mkuu roho si upepo tu kwani roho inashikika?Sasa kama Mungu anaishi ndani ya jua na ameshazoea moto wake,roho zinazoenda mbinguni alipo Mungu inakuaje?? Kama ni kweli hakuna mbingu, nani aende huko kwenye tanuru?? Basi shetani anaishi mahali pazuri kuliko Mungu
Mkuu mbona unakuja na majibu mepesi yasiyokuwa logic???Ndiyo maana hii thread nimeanza kuiona muda mrefu lakini nilikuwa sishawishiki kuifungua. Yaani utafiti wako wa miaka 16 unaleta majibu ya hivi!! Mungu yupo tofauti na tunavyomfikiria.
Hizo karatasi zako za utafiti washia jiko uchemshe chai.
Kwanza hapa tulipo hata sisi tupo angani hakuna chini tunaiona chini kwakuwa tupo ktk ardhi ya duniaKwa hiyo una maanisha mbingun ndo juani[emoji32]
16 ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa; wala hakuna mwanadamu aliyemwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina.Yupo ambae yuko ndo MUNGU , wapo waliowaza na wenye akili haaa haaaaa huwezi kupata jibu kwa sababu unamfanyia utafiti ambae anajua unachowaza, haaa haaa yaani bora uache tuu
Mzee baba, kama unategemea biblia itakuambia ukweli kuhusu mungu, hauko sahihi. Biblia inamfanya mungu aonekane hana msimamo, anayetengua amri zake mwenyewe, anayewahukumu watu kwa makosa (mipango) aliyofanya/kuandaa yeye. Mungu yupo lakini si kama anavyoelezewa kwenye biblia.Mkuu mbona unakuja na majibu mepesi yasiyokuwa logic???
Soma hii
16 ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa; wala hakuna mwanadamu aliyemwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina.
1 Timotheo 6 :16
Mkuu katika ulimwengu huu kuna nguvu kubwa isiyoonekana ambayo imeufanya ulimwengu huu na kupangilia kila kitu ktk mfumo wake hii nguvu tuipe jina gani?Mzee baba, kama unategemea biblia itakuambia ukweli kuhusu mungu, hauko sahihi. Biblia inamfanya mungu aonekane hana msimamo, anayetengua amri zake mwenyewe, anayewahukumu watu kwa makosa (mipango) aliyofanya/kuandaa yeye. Mungu yupo lakini si kama anavyoelezewa kwenye biblia.