Astronomer The Great
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 978
- 576
Kabla ya ujio wa Yesu tayari suala la kuhusu Mungu lilikuwepo,kwa maana kulikuwa na wale waliyokuwa wakifanya kazi ya kueleza yenye kumuhusu Mungu. Hivyo Yesu hakuja kama ndio wa kwanza kuwaambia watu kwamba kuna Mungu na kwa maana ni hivyo hivyo kwa Muhammad pia.
Ingekuwa Mungu hataki umjue basi hata usingesikia chochote kuhusu Mungu,ila ajabu wewe unayepinga kuwa hakuna Mungu ndiyo et unasema Mungu hakutaka umjue.Tatizo huyo mungu hakutaka cc tumjue uoni atakuwa si muungwana kuna haja gani ya mm kutaka kumjua yeye wakati yeye mwenyewe huyo mungu hakutaka mm nimjue?
Ingekuwa Mungu hataki umjue basi hata usingesikia chochote kuhusu Mungu,ila ajabu wewe unayepinga kuwa hakuna Mungu ndiyo et unasema Mungu hakutaka umjue.
Mbona unabadili badili kauli? mara Mungu hakutaka umjue mara tena umezigeukia dini!KULIL HAQQA WAIKAANA MURRA sihaangaiki kumtafuta mungu kwakuwa najua hayupo
Ila nimeonyesha dini zilizosema mungu mmoja zote zimekuja kwa biashara wala si kuwasaidia watu wamjue mungu
Mbona unabadili badili kauli? mara Mungu hakutaka umjue mara tena umezigeukia dini!
Siku zote misingi ya hoja zenu ndio tatizo,huwa mnaongea tu mambo ili kupinga tu na kushinda mabishano.
Kila jambo lina sababu hivyo kama biashara ndiyo iliyokuwa sababu ya kufikiwa na dini huku basi hakuna la kushangaza.
Nimekwambia kila jambo lina sababu,hata sielewi hoja yako hasa ni ipi? Iwe kwa biashara,wahamiaji au hata kwa kutumia nguvu hiyo bado ni sababu.Kama wamefata biashara hapo inaonyesha lengo lao ni biashara
INNAMAL AMALU BI NIYYATI Hakika kila tendo kwa nia hao warabu na wazungu lengo la kuja afrika lilikuwa ni biashara na mungu gani huyo anatafutwa ktk biashara kwanini wasingekuja kuwafundisha watu mambo ya mungu mbali na biashara?
Nimekwambia kila jambo lina sababu,hata sielewi hoja yako hasa ni ipi? Iwe kwa biashara,wahamiaji au hata kwa kutumia nguvu hiyo bado ni sababu.
Ndio maana nakwambia hoja yako hasa ni ipi maana haueleweki.Nia ndio kila kitu waarabu na wazungu nia yao ilikuwa si kueneza habari za mungu lengo lao kubwa ilikuwa ni biashra mbona huelewi hili jambo?
Ndio maana tuaambiwa "INNAMAL AMAALU BI NIYYAT WAINNAMAA LIKKULI MRIIM MAA NAWAA" hakika kila tendo kwa nia na mtu unuwia anachokifanya
Wakati wa muhammad watu walihama maka kwenda madina kwaajili ya mambo ya kidunia na si kumfata mungu na mtume wengi walihama kwa kutafuta wanawake wa kuoa ndio muhammad akawaambia kama muna hama kwa ajili ya dunia mtaipata na kama kwaajili ya mungu mtampata pia
Waarabu na wazungu nia yao ni biashara ilikuwa na kueneza dini kama wangetaka watu wamjue mungu ukristo ungekuja miaka ile ya yesu alivyokuwa hai na uislam ungekuja miaka ya ile muhammad alipokuwa hai wote wamekufa ikapita miaka karibia elfu a mia 5 ndio anakuja mtu kusema kuna mungu IT IS JOKES nakuambia ITTAQ LLAH HAYITHUMAA KUNTA
Ndio maana nakwambia hoja yako hasa ni ipi maana haueleweki.
Unawazungumzia wazungu kama vile huo ukristo wenyewe umeanzia huko kumbe nao wameletewa,hao waarabu ndio hao hao mnaosema wameeneza dini kwa upanga.
Unaelewa maana ya Utalii au umeandika tu.Nawazungumzia walioleta uislam na ukristo,hakuna mungu katika mungu wa kweli katika sehemu hapo kuna biashara ktk watu hao
Ukiwa ww mislam utalizimishwa ukatalii saudia arabia nyinyi mnasema hijja wakati huo ni biashara ya utalii na ukiwa mkristo utalazimishwa uende jerusalem utalii pia huo
Unaweza kueleza huko mwanzoni mwa hizo dini walioanzisha walikuwa wanafanyaje hiyo biashara?Nawazungumzia walioleta uislam na ukristo,hakuna mungu katika mungu wa kweli katika sehemu hapo kuna biashara ktk watu hao
Ukiwa ww mislam utalizimishwa ukatalii saudia arabia nyinyi mnasema hijja wakati huo ni biashara ya utalii na ukiwa mkristo utalazimishwa uende jerusalem utalii pia huo
Safi sana nilitaka sema hivi umeniwahi, Kama Biblia ni kitabu cha kweli kutoka kwa Mungu. Kuna watu km mimi ni Mungu kwa sababu tumetokana na Mungu mwenyewe hasa, kwa kupulizia uhai wake ndani yangu, MUngu alimwambia Musa ''Tazama nakufanya km Mungu mbele ya Pharaoh''Sayansi inatanuka Roho ya mwanadamu ni Mungu tosha na inatosha kabisa kuleta majibu ya kila jambo huko unakosema hakufikiki patafikika tu kama pameshagundulika ni swala la muda tu