Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Ndugu yangu mungu haishi kwenye jua na kufika kwa mungu ni vigumu sana,mungu anasema kwenye Quran tukufu ameipamba anga la mwanzo la dunia kwa nyota,jua na mwezi pamoja na vitu vingine vinavyofanana na hivyo.Kwahiyo maana yake umbali wa dunia,vitu vinavyofanana maumbile na dunia pamoja na umbali wa nyota ya mwisho bado kwa mungu ni mbigu ya kwanza katika mbingu saba alizoumba.
Quran inaelezea vizuri sana mpangilio wa mbingu saba alizoumba mwenyezi mungu,nyota kutoka ya kwanza mpaka ya mwisho zimetofautiana kwa umbali mkubwa sana.Kama kuifikia nyota ya mwisho kwa umbali ni vigumu na kwakua nyota,dunia na vitu au sayari zinazofanana na dunia zipo katika mbingu ya kwanza na kwakua binadamu kwasasa hasa uwezo wa kuifikia nyota ya mwisho ambayo ipo kwenye mbingu ya kwanza.Basi mwanadamu hana uwezo wa kujua alipo mungu na mungu haishi kwenye jua.NB;matabaka saba ya mbingu tunayofundishwa kwenye jiograph shuleni ni matabaka yaliyopangiliwa na binadamu na yote yapo kwenye mbingu ya kwanza.Sahau kabisa kuhusu mbingu ya pili mpaka ya saba na mungu hajaribiwi,kwa vile wote tutakufa basi tutaujua ukweli baada ya kufa
 
Mkuu nakubaliana na mada yako kwa asilimia 70 nipingane nawewe kwa asilimia 30.

a)KUHUSU MAKAZI.
Mungu ameumba mbingu na vyote vilivyomo Mungu ni utukufu hakika katika yote ukichunguza ukajifunza duniani na ulimwengu kwa ujumla Mungu anaishi katika Nuru isiyofikaka kwa mwili mpaka ufe uende roho.
Mfano.Moto ndicho kinacho takasa chochote dhahabu ukitaka ingae lazima ichomwe, Chuma ukifue lazima kichomwe, Chakula kilike lazima kipate moto.
Mungu aliwatokea wana wa Israel jangwani Sinai kwa njia yamoto Soma:Kutoka 19:1-20
Kila kitu kinang'aa kwa moto.

b)Mungu anaishi katika nuru ing'aayo ni mojawapo ya nuru zingaazo kama theruji na lazima ni nuru za nyota PIA UJUE HATA JUA letu (SUN) ni kundi nyota sijamaanisha yupo ktk hili letu hapana kuna majua mengi sana ktk ulimwengu huu mojawapo ya majua ni nuru ambayo ni makazi ya Mungu baba aishie na kutawala milele Amen

c)Hakuna awezaye kumwona Mungu akaishi Mussa peke ake aliongea na Mungu kwa njia ya moto kwanini asiongee na Mungu kwa njia ya mvua?
Mussa vua viatu hapa ni mahala patakatifu ulikuwa ni moto kwanini haukuwa upepo?
Kwanini Mungu ajidhihirishe kwa moto yeye Mungu ni moto.
Mkuu ntaendelea kujifunza na kumwomba Mungu anijalie nitafanikiwa kujua kweli Sifa na utukufu una yeye hata milele
 
Kiranga

Agent of devil upo?

Unafahamu hata uwepo wa aina ya watu kama wewe unaweza kuwa ni uthibitisho wa uwepo wa MUNGU baba!?
Kabla ya kuniita mimi ni agent if devil, unaweza kuthibitisha devil yupo?

Kuwepo kwa watu kama mimi kunathibitishaje kuwepo kwa mungu?
 
Alafu "spelling za kiswahili" ndio nini?

Inakuwaje unabeza kiswahili cha mwenzako wakati hata wewe mwenyewe ni mfanyaji mzuri wa makosa ya kisarufi?

Hivi kwa mswahili ambae hajui kabisa kingereza hata neno moja atakuelewa vipi ukimwambia hivi "spelling za kiswahili"?
Spelling za Kiswahili ni herufi za maandishi ya Kiswahili.

Hakuna neno "maswari" katika Kiswahili.

Neno unalotaka ni maswali.

Sasa kama hujui tu kwamba "maswari" si neno la Kiswahili, neno ni maswali, utaweza kubishana kuhusu faksafa ya dini na uwepo wa Mungu?
 
Mungu ana uwezo wote katika mlipuko (Big Bang) ambao inatuonyesha ulimwengu ulikuwepo
Swari,
Kama mlipuko ulikuwepo (Big Bang) kukatokea sayari, nyota, na billions za vitu vingi vilivyopo Mwanzo wa Uhai wetu ulitokawapi?

Supernatural katika aridhi iliyokuwa moto na kupoa ingeanzia wapi wakati kila aina ya mbegu ktk mlipuko isingeweza kusalia?

Ninajua nilichokuuliza unakiijua naamini utaelewa
Ana uwezo wa kuumba jiwe zito sana kiasi kwamba asiweze kulibeba?

Jibu ndiyo au hapana.
 
Mkuu, Mawazo yako ni mazuri tatizo ni unavyofikili tofauti sio kosa lako siwezi kufaham nini ni kimewahi kukusibu mpaka ukaamini hivi!
1.>Mungu si kiumbe ni roho tukufu yenye mamlaka iliyo umba vyote katika ulimwengu huu pembe tatu unazo zifikilia ni vile fikila za kibinadamu zinakusukuma hauna jicho la tatu ktk kufikili, hizi ni pembe tatu kiroho.
2.>Mungu yupo na kila kitu kumuhusu yeye Kipo wazi mpangilio sahihi wa ulimwengu na maisha yetu hapa duniani kuwa na ulinzi na athari kubwa zinazo weza kuingamiza dunia.
Kauli namba 1 na 2 unaweza kuzithibitisha?

Umeandika tu. Hujathibitusha.

Mtu akisema Mungu hayupo na hizo kauli zako mbili ni hadithi tu, utatuthibitishiaje kwamba wewe uliyetoa hizo kauli mbiki uki sawa na huyu anayesema hizo kauli ni hadithibtu hayuko sawa?

Nataka uthibitisho. Si mahubiri.

Pia, kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Nauliza hili kwa kurudi pale ambapo chochote kilikuwa hakijaumbwa kwa mujibu wenu. Kwa hiyo shetani, binadamu etc si sehemu ya jibu.

Jibu litoke kwa sababu za Mungu tu.

Kwa nini kaamua kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
 
Si Ku challenge ninakufundisha Bahati mbaya hutokea katika mambo mengi kama vile wazazi wanazaa mtoto asiye amini wao wame mzaa.
Mungu amekuumba lakini hauamini uwepo wake unakosea sana
Unajuaje kwamba unanifundisha?

Unawezaje kufundisha bila ku challenge mtu atoke alipo (asipojua kitu fulani) na kwenda asipo (ajue kitu fulani)?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Kabla ya kuniita mimi ni agent if devil, unaweza kuthibitisha devil yupo?

Kuwepo kwa watu kama mimi kunathibitishaje kuwepo kwa mungu?
Shetani/ibilisi ana tawala kwa kiasi kikubwa sana huu ulimwengu na tunafahamu ni mwenye nguvu inayotaka kukaribiana na nguvu aliyonayo Mungu.

Sasa kwa maana hiyo sifa alizonazo Mungu tunaweza kuzikuta kwa shetani... since our God is omnipresent also devil can be found everywhere.

actually the devil is everywhere trying to battle with God and we creatures are their battlefield.

Na kuthibitisha mapambano hayo ya hao wawili ni kama sasa hivi hapa ambapo wewe Kiranga unalazimisha watu waamini kuwa hakuna Mungu ukitumia ufahamu wako wote ukipangua hoja zote kadri uwezevyo.

Na mvutano huu sio kati yangu mimi na wewe bali ni kati ya shetani na Mungu.

Ndio maana nikakwambia kuwa wewe ni agent wa shetani nikiwa na maana ya kwamba shetani anakutumia kama instrument.

Nadhani kwa logic hii nyepesi umenielewa
 
Hujathibitisha. Umehubiri.

Kwa nini nikubali kwamba shetani yupo?

Yote uliyosema hayathibitishi kwamba shetani si hadithi tu. Hayathibitishi kwamba shetani yupo.

Kama Mungu yupo, na Shetani yupo.

Na Mungu ndiye ana nguvu zote, kaumba vyote, hakuna aliyekuwepo kabla yake, alijua yote yatakayotokea kabla hayajatokea, kwa nini aliumba ulimwengu ambao Shetani anaweza kuwepo wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao Shetani hawezi kuwepo?
 
Hatuwezi kwenda tu hivi kwa maneno matupu na kutaelewana.

Je una amini katika maandishi yoyote yale hata ambayo sio ya kimumgu!!?

Kwa sababu chanzo chochote cha knowledge lazima kinahusishanisha maandishi.
 
Kwa nini chanzo cha knowledge lazima kihusishe maandishi?

Kuna jamii hazina maandishi. Je, hizi hazina knowledge?

Jamii za asili za Afrika nyingi hazikuwa na maandishi mapaka walivyokuja wakoloni. Zilitegemea oral tradition.

Je, hazikuwa na knowledge?

Mtu anahitaji maandishi gani kuangalia kwamba jua linachomoza mashariki na kuzama magharibi kila siku?
 
Ana uwezo wa kuumba jiwe zito sana kiasi kwamba asiweze kulibeba?

Jibu ndiyo au hapana.
Mkuu mwenye uwezo wote anafanya chochote hakuna lisilowezekana kwake
 
Hujasema ndiyo au hapana.

Ukisema anaweza chochote, hujajibu swali.

Kwa nini inakuwa vigumu kujibu "Ndiyo" au "Hapana"?

Unajuaje kwamba anaweza chochote?

Au unajisemea tu?
 
Kauli namba 1 na 2 unaweza kuzithibitisha?

Umeandika tu. Hujathibitusha.

Mtu akisema Mungu hayupo na hizo kauli zako mbili ni hadithi tu, utatuthibitishiaje kwamba wewe uliyetoa hizo kauli mbiki uki sawa na huyu anayesema hizo kauli ni hadithibtu hayuko sawa?

Nataka uthibitisho. Si mahubiri.

Pia, kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Nauliza hili kwa kurudi pale ambapo chochote kilikuwa hakijaumbwa kwa mujibu wenu. Kwa hiyo shetani, binadamu etc si sehemu ya jibu.

Jibu litoke kwa sababu za Mungu tu.

Kwa nini kaamua kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Mungu aliumba kila kitu kama unavyopanda mimea mazao mbegu nyingine zikawa dhaif na nyingine zikawa imara
Kusudi tumepewa akili tuishi kwa kumjua yeye na kushika amri zake
MUNGU YUPO % LAKINI MASWALI YAKO YANA KA UKAKASI FLANI YANAUMIZA KICHWA KAMA MDUDU UKUTA
 
Hujathibitisha kwamba Mungu yupo.

Umehubiri tu.

Sijataka mahubiri. Nataka uthibitisho.

Unajuaje kwamba Mungu yupo?

Kama Mungu yupo, ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kuwepo wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Sijajibiwa swali hili kwa namna ya kueleweka.
 
Back
Top Bottom