Ukweli wa uwepo wa Mungu na Makazi yake upo hapa

Unajuaje kwamba unanifundisha?

Unawezaje kufundisha bila ku challenge mtu atoke alipo (asipojua kitu fulani) na kwenda asipo (ajue kitu fulani)?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Nimekuuliza! Baada ya mlipuko Big Bang kulikuwa na joto Kali lisisilo weza kuhimilika kwa viumbe wala mimea Je aridhi ya dunia yetu ilipoa ni vipi uhai ulianza?
Oxygen ya kuanzisha uhai ilitoka wapi?
Nini kili ikinga Dunia na kuchuja miale ya sumu ya jua katika hewa nzito ya ukanda?
 
Kwa nini unaiuliza mimi habari za Big Bang?

Unajuaje kwamba mimi nakubali habari za Big Bang?

Unaweza kuthibitisha Big Bang ilitokeaje?

Nikikwambia sijui uhai ulivyoanza, sijui oxygen ilitoka wapi, sijui nini kilikinga dunia kuchuja miale ya sumu, kutokujua kwangu kunathibitishaje yote hayo yalitoka kwa Mungu?

Ukipoteza shilingi ndani ya nyumba, ukaniuliza kama najua shilingi yako iko wapi, nikakwambia sijui, jibu hilo linathibitishaje kwamba shilingi yako iko chooni?

Wewe unasema shilingi yako iko chooni, nioneshe kwa nini iko chooni. Nipeleke huko unioneshe iko huko.

Ukiniuliza mimi shilingi yako iko wapi, nikisema sijui, hilo halithibitishi iko chooni.

Inawezekana iko jikoni.
 
Hujathibitisha kwamba Mungu yupo.

Umehubiri tu.

Sijataka mahubiri. Nataka uthibitisho.

Unajuaje kwamba Mungu yupo?

Kama Mungu yupo, ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kuwepo wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Sijajibiwa swali hili kwa namna ya kueleweka.
Mkuu,. MUNGU YUPO
Nini KinailindaDunia na majanga makubwa mfano mdogo sumu ya miale ya jua kwann iwepo hewa nzito ya ukanda isiyo luhusu miale ya sumu ya jua kutumwagia sum nini kimeiweka?
 
Unarudi pale pale.

Unasema shilingi yako uliyopoteza iko chooni.

Unaniuliza mimi shilingi yako iko wapi.

Mimi nikikwambia sijui, kutokujua kwangu shilingi yako iko wapi kunathibitishaje ipo chooni?

Kwa nini usinioneshe kwa nini unasema iko chooni?

Unaposema nini kinailinda dunia na majanga, nikikwambia sijui, kutokujua kwangu kunathibitishaje kwamba dunia inalindwa na majanga na Mungu?

Kwa nini iwe mungu tu na si kitu kingine chochote tusichokijua?

Kwa nini isiwe kwamba kila baada ya miaka milioni mia kadhaa dunia inakumbwa na majanga makubwa na kwa sasa hatujafikisha huo muda tu?

Kama mungu yupo na anapenda kuilinda dunia na majanga, mbona kila siku tunasikia matetemeko ya ardhi yanaua mami akwa maelfu, magonjwa, unasikini etc?

Kama Mungu kweli anaoenda kuizuia dunia na majanga, kwa nini Mungu kaumba dunia ambayo ubaya wowote unaweza kutokea wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao ubaya wowote hauwezi kutokea bila ya kupungukiwa lolote?
 
Kwa nini unaiuliza mimi habari za Big Bang?

Unajuaje kwamba mimi nakubali habari za Big Bang?

Unaweza kuthibitisha Big Bang ilitokeaje?

Nikikwambia sijui uhai ulivyoanza, sijui oxygen ilitoka wapi, sijui nini kilikinga dunia kuchuja miale ya sumu, kutokujua kwangu kunathibitishaje yote hayo yalitoka kwa Mungu?

Ukipoteza shilingi ndani ya nyumba, ukaniuliza kama najua shilingi yako iko wapi, nikakwambia sijui, jibu hilo linathibitishaje kwamba shilingi yako iko chooni?

Wewe unasema shilingi yako iko chooni, nioneshe kwa nini iko chooni. Nipeleke huko unioneshe iko huko.

Ukiniuliza mimi shilingi yako iko wapi, nikisema sijui, hilo halithibitishi iko chooni.

Inawezekana iko jikoni.
Lakini sinimekwambia shilling nilikuwa nayo chooni wewe utaendaje kuitafta jikoni?
hapo umejijibu unapotembelea gari unajisikiaje ukiwahi ndani ya yake mtengeneza unamfaham? ama ni mchina au mjapani Sasa huyu ni Mungu hashindwi na kitu endelea kufurahia uumbaji wake rudi kundini
 
Ni hivi.

Mimi kutojua jibu la nini kilikinga dunia na miale, hakumaanishi jibu ni mungu.

Mimi kutojua jibu la square root ya mbili, hakumaanishi square root ni kumi.

Ukisema square root ya mbilo ni kumi, inabidi unioneshe ni vipi umepata kumi.

Unaweza kuonesha ni kipi kinakufanya ufikiri Mungu ndiye aliyeikinga dunia na miale na si kitu kingine?

Halafu mbona hujaninibu swali langu?

Kama Mungu anapenda sana kuikinga dunia na majanga, kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea bila kupungukiwa lolote?

Hujajibu swali hili.
 
Kwa nini chanzo cha knowledge lazima kihusishe maandishi?

Kuna jamii hazina maandishi. Je, hizi hazina knowledge?

Jamii za asili za Afrika nyingi hazikuwa na maandishi mapaka walivyokuja wakoloni. Zilitegemea oral tradition.

Je, hazikuwa na knowledge?

Mtu anahitaji maandishi gani kuangalia kwamba jua linachomoza mashariki na kuzama magharibi kila siku?

Pengine labda haukunielewa swali langu nililenga nini hasa..!!

Nilichotaka kujua ni kwamba je, wewe unaamini katika maandishi yoyote yale ya kiimani kwa sababu hata atheists nao pia huwa wana source zao za maarifa zinazo wasaidia kuback up their atheism.

Kuna wenzako kadhaa humu nimewahi kuona wakituwekea vidocumentary vyao vinavyowapa kiburi cha wao kumpinga MUNGU.... na nilivyofuatilia documentary zenyewe nikaona kabisa wamepotoka na hazina ushawishi wowote wenye nguvu in fact they live in delusion of grandeur and they cluelessly chose to be stanic followers.

Sasa na wewe ndio nataka kufahamu kama kuna either vitabu au chanzo chochote unachotumia kama back up yako ya uatheist hili kama ni mabishano tuanze na kudadavua hivyo vyanzo vyenyewe namna vinavyokinzana sababu hata mimi ntakuwa natumia vyanzo vyangu vya kimaandishi kama back up ya my theisim

Kwa kufanya hivyo itasaidia muafaka kupatikana kama Mungu yupo au hayupo.

Ni kweli haitaji maandishi kujua kwamba jua linachomozea wapi na kuzamia wapi.. lakini utawezaje kujua kwamba uku ni mashariki na kule ni magharabi bila kuambiwa au kusoma mahali?
 
Welll said
 
Nimekuuliza! Baada ya mlipuko Big Bang kulikuwa na joto Kali lisisilo weza kuhimilika kwa viumbe wala mimea Je aridhi ya dunia yetu ilipoa ni vipi uhai ulianza?
Oxygen ya kuanzisha uhai ilitoka wapi?
Nini kili ikinga Dunia na kuchuja miale ya sumu ya jua katika hewa nzito ya ukanda?
Hayo maswali ni mazito sana lakini jamaa kayajibu kisiasa siasa tu kwa mifano mifano mingi hadi kapoteza mantiki yote ya swali...!!

Yaani mtu unamuuliza swali nae anakujibu kwa kuuliza swali tena sio swali maswali... anajua sana kudiverge mjadala kwenye comfort zone yake.
 
Pengine labda haukunielewa swali langu nililenga nini hasa..!!

Nilichotaka kujua ni kwamba je, wewe unaamini katika maandishi yoyote yale ya kiimani kwa sababu hata atheists nao pia huwa wana source zao za maarifa zinazo wasaidia kuback up their atheism.

Kuna wenzako kadhaa humu nimewahi kuona wakituwekea vidocumentary vyao vinavyowapa kiburi cha wao kumpinga MUNGU.... na nilivyofuatilia documentary zenyewe nikaona kabisa wamepotoka na hazina ushawishi wowote wenye nguvu in fact they live in delusion of grandeur and they cluelessly chose to be stanic followers.

Sasa na wewe ndio nataka kufahamu kama kuna either vitabu au chanzo chochote unachotumia kama back up yako ya uatheist hili kama ni mabishano tuanze na kudadavua hivyo vyanzo vyenyewe namna vinavyokinzana sababu hata mimi ntakuwa natumia vyanzo vyangu vya kimaandishi kama back up ya my theisim

Kwa kufanya hivyo itasaidia muafaka kupatikana kama Mungu yupo au hayupo.

Ni kweli haitaji maandishi kujua kwamba jua linachomozea wapi na kuzamia wapi.. lakini utawezaje kujua kwamba uku ni mashariki na kule ni magharabi bila kuambiwa au kusoma mahali?

Mimi nakubali logic. Nakubali kwamba katika kutafuta ukweli, logic inasaidia sana.

Na katika logic, ukitaka kujua sehemu ina uongo, contradiction huwa ina anika uongo mara nyingi sana.

Mara nyingi sana ukiona contradiction, unajua hapo kuna kitu hakipo sawa au uongo.

Katika Euclidean geometry, kuna pembetatu, kuna duara. Viwili hivi ni vitu tofauti.

Mtu akikuambia kwamba ana pembetatu ambayo pia ni duara hapo hapo utaona kuna contradiction. Pembetatu haiwezi kuwa duara na duara haliwezi kuwa pembetatu. Hapa kuna contradiction. Hili jambo si sawa.

Kwa Mungu ni hivyo hivyo.

Tunaambiwa Mungu ana upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote (pembetatu) lakini pia kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati asingepungukiwa lolote kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani (duara).

Hii ni contradiction.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wote upendo wote na ujuzi wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Hujajibu swali hili.
 
Lizarazu,

Resorting to math again.

Do you know that there is a way to show, by contradiction, that there is no solution to the following equation?

(x^2 + 2x+ 1)/ (x + 2 )= x ?
 
Katika Euclidean geometry, kuna pembetatu, kuna duara. Viwili hivi ni vitu tofauti.

Mtu akikuambia kwamba ana pembetatu ambayo pia ni duara hapo hapo utaona kuna contradiction. Pembetatu haiwezi kuwa duara na duara haliwezi kuwa pembetatu. Hapa kuna contradiction. Hili jambo si sawa.

Is this elucidation always gonna be your counter argument over and over in this debate??(no offence intended though just sick of it)

Hacha nilale kwanza usiku wa manane huku kwetu.
 
Why are you sick of it? What are you exactly sick of? The truth that your God is a contradiction that you neither understands nor can solve?

Nimekuwekea na equation kama geometry inakukinai.
 
Mimi nakubali logic. Nakubali kwamba katika kutafuta ukweli, logic inasaidia sana.

Na katika logic, ukitaka kujua sehemu ina uongo, contradiction huwa ina anika uongo mara nyingi sana.

Mara nyingi sana ukiona contradiction, unajua hapo kuna kitu hakipo sawa au uongo.

Katika Euclidean geometry, kuna pembetatu, kuna duara. Viwili hivi ni vitu tofauti.

Mtu akikuambia kwamba ana pembetatu ambayo pia ni duara hapo hapo utaona kuna contradiction. Pembetatu haiwezi kuwa duara na duara haliwezi kuwa pembetatu. Hapa kuna contradiction. Hili jambo si sawa.

Kwa Mungu ni hivyo hivyo.

Tunaambiwa Mungu ana upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote (pembetatu) lakini pia kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati asingepungukiwa lolote kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani (duara).

Hii ni contradiction.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wote upendo wote na ujuzi wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Hujajibu swali hili.

Kwakuwa hata wewe mwenyewe unakubali kuwa unaongeza huo ufahamu wako wa kupinga MUNGU kwa kusoma maandishi ya machapisho mbalimbali wakati huo ukichambua logic basi hapo tayari umemuhusudu binadamu mwenzako.

Kwa sababu hizo contradiction unazokutana ni mkinzano wa mawazo ya watu ambazo ndio zinaanika ukweli uliojificha(kwa mujibu wa maelezo yako mwenyewe) basi hata huo ukweli unakuwa umeupata kutoka kwa binadamu wengine...!!

Kiufupi tu ni kwamba unatumia mawazo ya watu kuamini hicho unachosimamia na sasa unawezaje kujua kama hata na wao huo unaona wewe ni ukweli haukuwa fabricated..!?

kwani wewe unaamini hawawezi kuwa wamedanganya kama ambavyo sisi tumedanganywa hakuna na Mungu na hao waliotudanganya!!?

Kuhusu hilo swali la mwisho jibu lake la kujitosheleza linaendana na reference ya maandishi sasa hata kama kwenye maandishi bado hatujaelewana ni ngumu kulijubu.

Kwani wewe unaelewa nini ukiskia "mijuiza"?
 
Why are you sick of it? What are you exactly sick of? The truth that your God is a contradiction that you neither understands nor can solve?

Nimekuwekea na equation kama geometry inakukinai.
You try so hard to irrevantly bring mathematical demonistration in this discussion....

I personally sick of that
 
Kwakuwa hata wewe mwenyewe unakubali kuwa unaongeza huo ufahamu wako wa kupinga MUNGU kwa kusoma maandishi ya machapisho mbalimbali wakati huo ukichambua logic basi hapo tayari umemuhusudu binadamu mwenzako.

Kwa sababu hizo contradiction unazokutana ni mkinzano wa mawazo ya watu ambazo ndio zinaanika ukweli uliojificha(kwa mujibu wa maelezo yako mwenyewe) basi hata huo ukweli unakuwa umeupata kutoka kwa binadamu wengine...!!

Kiufupi tu ni kwamba unatumia mawazo ya watu kuamini hicho unachosimamia na sasa unawezaje kujua kama hata na wao huo unaona wewe ni ukweli haukuwa fabricated..!?

kwani wewe unaamini hawawezi kuwa wamedanganya kama ambavyo sisi tumedanganywa hakuna na Mungu na hao waliotudanganya!!?

Kuhusu hilo swali la mwisho jibu lake la kujitosheleza linaendana na reference ya maandishi sasa hata kama kwenye maandishi bado hatujaelewana ni ngumu kulijubu.

Kwani wewe unaelewa nini ukiskia "mijuiza"?
Kukubali mawazo ya mtu mwingine kuna ubaya gani? Hususan kama yanaonesha contradiction katika dhana nzima ya huyo mungu wenu kuwepo?

Unaweza kuthibitisha mungu yupo?
 
You try so hard to irrevantly bring mathematical demonistration in this discussion....

I personally sick of that
You are sick of that because you know you can't lie through mathematics.

Kwenye maneno utaweka longolongo.

Nikiweka hesabu hapa huna ujanja.
 
Back
Top Bottom