impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
- Thread starter
- #521
Nimekuuliza! Baada ya mlipuko Big Bang kulikuwa na joto Kali lisisilo weza kuhimilika kwa viumbe wala mimea Je aridhi ya dunia yetu ilipoa ni vipi uhai ulianza?Unajuaje kwamba unanifundisha?
Unawezaje kufundisha bila ku challenge mtu atoke alipo (asipojua kitu fulani) na kwenda asipo (ajue kitu fulani)?
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Oxygen ya kuanzisha uhai ilitoka wapi?
Nini kili ikinga Dunia na kuchuja miale ya sumu ya jua katika hewa nzito ya ukanda?