impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
- Thread starter
- #741
Kama unahitaji kujua Elimu yangu nitakuwekeaHujaelewa kwamba suala si mimi kuelewa.
Suala ni uwezo wako wa kuwa na "attention to detail" basic kabisa ya kujua wapi pa kuweka "l" na wapi ni pa kuweka "r".
Hata hilo tu hujaelewa.
Nitegemee vipi kwamba utaelewa "non sequitur" ni nini na "circular argument" ni nini.
Mimi mtu akishindwa kujua wapi pa kuweka "l" na wapi pa kuweka "r" namuona "country bumpkin".
Sasa wewe "country bumpkin" unataka kuja kujadili high level philosophy of religion wapi na wapi?
Kajifunze Kiswahili cha msingi kwanza.
Mungu yupo na aliye mwamini Mungu ameongeza maarifa ndio maana mimi na wewe tupo tofauti kwa kuanzia hapa jifunze.
Mungu ni mwenye huruma atakufanya mwenye haki haujapotea sana.