impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
- Thread starter
- #761
Inakupasa kuamini kwanza ndio ujue yupoNitamchukiaje Mungu ambaye hayupo na wala hujaweza kuthibitisha kwamba yupo?
Mimi nachukia uongo.
Nachukia kufanywa mjinga.
Mtu akiniambia "Kuna pembetatu duara ya ajabu, ukiikubali utapata uzima wa milele, ikubali" nitaona hizo ni porojo na kuzikataa.
Nikizikataa habari hizo za uongo wa kitu ambacho hakipo utasemaje kwamba nimeichukia hiyo pembetatu duara ambayo hata haipo?
Kabla ya kusema naichukia pembetatu duara, unaweza kuthibitisha kwamba ipo?
Kabla ya kusema namchukia Mungu, unaweza kuthibitisha kwamba yupo?
Na kama huwezi, nitamchukiaje Mungu ambaye huna hata uwezo wa kuthibitisha kwamba yupo?
Jenga imani kwa Mungu hapo utaweza kuwa thabiti na utamjua.
Kichwa chako kipo vizuri kama mtz sina imani na uraia wako !