Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Wewe ni msengeremaUshahidi unaonyesha vurugu zilikuwa zimepangwa, ziliratibiwa, zilifadhiliwa na zilitekelezwa na watu waliofuzu mafunzo maalum. Viongozi wakuu walikaa nyuma na kuwatumia vijana kama zana za mbele. #UkweliOktoba29
Sa100 aliwatumia Kmkm, policcm, nk kutekeleza mauaji ya halaiki.Ushahidi unaonyesha vurugu zilikuwa zimepangwa, ziliratibiwa, zilifadhiliwa na zilitekelezwa na watu waliofuzu mafunzo maalum.
Mauaji ya halaiki ya Samia 29 Oktoba, 2025..Ushahidi unaonyesha vurugu zilikuwa zimepangwa, ziliratibiwa, zilifadhiliwa na zilitekelezwa na watu waliofuzu mafunzo maalum.
Huyo pimbi ukute ni Lucas amekuja na I'd mpya, maana ni mwendo wa kujaza humu takataka kila muda 🚮Huyu k.enge tangu wiki hii ianze ana mimba ya Chande anakaribia kujifungua
Kupanga vurugu ni jambo moja na kuua watu ni jingine. Ni makosa mawili tofauti.Sasa kama zilipangwa kwanini wahusika wa upangaji wasitajwe hadharani? Ili tujue maadui waliosababisha vifo kwa ndugu zetu!
Kwanini wasitajwe?
Wewe ni msengerema
Mbona huwa hamuwataji hao wafadhili au waratibu wa hizo vurugu? Huwa mnaishia kusema walilipwa pesa ila walipaji hamuwataji na hamchukui hatua dhidi yao.Ushahidi unaonyesha vurugu zilikuwa zimepangwa, ziliratibiwa, zilifadhiliwa na zilitekelezwa na watu waliofuzu mafunzo maalum. Viongozi wakuu walikaa nyuma na kuwatumia vijana kama zana za mbele. #UkweliOktoba29
Nyie machawa ya ccm ni majinga majinga kila siku huwa nawambia, ndio maana msisitizo wangu kwenu ni kwamba muende shule tofauti na hivyo mtakuwa mnakoment ujinga kila siku labda nikuulize kwenye Sheria unafahamu kitu kinaitwa 'Common Intention' najua hujui maana kichwa chako hakina tofauti na Yeriko Nyerere yule plagiarist.Kupanga vurugu ni jambo moja na kuua watu ni jingine. Ni makosa mawili tofauti.
Aliyepanga vurugu anatakiwa aadhibiwe kulingana na kosa lake, vivyo hivyo aliyeua.
Itakuwa ni yeye maana akili inafanana kabisa xdHuyo pimbi ukute ni Lucas amekuja na I'd mpya, maana ni mwendo wa kujaza humu takataka kila muda 🚮
😭😭Mauaji ya halaiki ya Samia 29 Oktoba, 2025..
Kwanza kabisa Mimi siyo chawa, nina akili na maamuzi huru bila kujali chama au kundi langu kwenye jamii.Nyie machawa ya ccm ni majinga majinga kila siku huwa nawambia, ndio maana msisitizo wangu kwenu ni kwamba muende shule tofauti na hivyo mtakuwa mnakoment ujinga kila siku labda nikuulize kwenye Sheria unafahamu kitu kinaitwa 'Common Intention' najua hujui maana kichwa chako hakina tofauti na Yeriko Nyerere yule plagiarist.