Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #101
ulikosa cha kukomenti kabisa mkuu?Pesa chafu ni pesa ya aina Gani brother
Tatizo letu watanzania tulisha zoea kuviona vya kale ni vya nini hata kama ndivyo vilivyotufikisha hapo tulipo,Binafsi sidhani kama Huyo Mond atakubaliana na ushauri wako coz walikotoka wanajuana wao wewe umekuja kwajua Mara baada ya kufikia hatua hiyo waliyofikia.Amini usiamini meneja wa mwanamuziki Naseeb Abdul au diamond platnumz kama anavyojulikana na wengi aitwae Hamis Taletale al maarufu kama babu tale ana pesa nyiingi saana kuliko diamond platinum
Najua hili litakuwa jambo ambalo si rahisi kuamini lakin ukwel ndio huo
Babu tale ana mnyonya sana diamond platinum kuliko msaada anaoutoa kwake kwenda kwa diamond
Ili diamond aendelee inabidi aachane na babu tale kwani hapo alipo hana uwezo wa kumvusha zaidi ya hapo. Diamond kwa sasa inabidi aangalia mameneja kutoka nchi nyingine kwani hawa alionao haswa babu tale hamna cha maana wanachomsaidia zaidi ya kunenepesha matumbo yao
Yani inafika kipindi mpaka nahisi babu tale ana tumia kizizi kumfubaza diamond ili diamond aendelee kuwa naye si akili ya kawaida kwa kweli yani kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia bila diamond kujua
Tale kwa sasa bora aendelee kuwa na akina harmonize ,mavoko na rayvan lakin si diamond tena kwa kweli bila hivyo diamond itakula kwake hatopiga hatua zaidi ya hapo
View attachment 466186
View attachment 466187
Unaona kama ananyonywa vile eti kisa ni shabikihapana siombi kazi ,ila ni shabiki wa kutupwa wa diamond hivyo naona kama ananywonywa vile na mimi kama shabiki kukaa kimyaa siwezi
Leta statistics usilete hoja bila vigezo fafanua Kila kitu tukueleweAmini usiamini meneja wa mwanamuziki Naseeb Abdul au diamond platnumz kama anavyojulikana na wengi aitwae Hamis Taletale al maarufu kama babu tale ana pesa nyiingi saana kuliko diamond platinum
Najua hili litakuwa jambo ambalo si rahisi kuamini lakin ukwel ndio huo
Babu tale ana mnyonya sana diamond platinum kuliko msaada anaoutoa kwake kwenda kwa diamond
Ili diamond aendelee inabidi aachane na babu tale kwani hapo alipo hana uwezo wa kumvusha zaidi ya hapo. Diamond kwa sasa inabidi aangalia mameneja kutoka nchi nyingine kwani hawa alionao haswa babu tale hamna cha maana wanachomsaidia zaidi ya kunenepesha matumbo yao
Yani inafika kipindi mpaka nahisi babu tale ana tumia kizizi kumfubaza diamond ili diamond aendelee kuwa naye si akili ya kawaida kwa kweli yani kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia bila diamond kujua
Tale kwa sasa bora aendelee kuwa na akina harmonize ,mavoko na rayvan lakin si diamond tena kwa kweli bila hivyo diamond itakula kwake hatopiga hatua zaidi ya hapo
View attachment 466186
View attachment 466187
Sasa ulitaka asipate kitu mkuu!?mkuu kabla hajawa na mondi hakuwa na pesa kiasi hicho
Na mondi naye hakuwa na pesa kiasi hichi alizonazo leomkuu kabla hajawa na mondi hakuwa na pesa kiasi hicho
Yaani unaona kama ....khaaa yaani unapenda mpka unakuwa hovyo kabisahapana siombi kazi ,ila ni shabiki wa kutupwa wa diamond hivyo naona kama ananywonywa vile na mimi kama shabiki kukaa kimyaa siwezi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hii mada kaleta hance mtanashati baada ya id yake kupokonywa
haya umesomeka mkuuTatizo letu watanzania tulisha zoea kuviona vya kale ni vya nini hata kama ndivyo vilivyotufikisha hapo tulipo,Binafsi sidhani kama Huyo Mond atakubaliana na ushauri wako coz walikotoka wanajuana wao wewe umekuja kwajua Mara baada ya kufikia hatua hiyo waliyofikia.
In short acha wivu wa kike.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamaa yupo kwenye kitengo cha ushirikina, hawezi tolewa pale! Akitolewa tu diamond chali
Kabla ya kua na mondi...mondi alikua na sh ngap?mkuu kabla hajawa na mondi hakuwa na pesa kiasi hicho
Sawa Tiffa rapper tumekuelewa.Amini usiamini meneja wa mwanamuziki Naseeb Abdul au diamond platnumz kama anavyojulikana na wengi aitwae Hamis Taletale al maarufu kama babu tale ana pesa nyiingi saana kuliko diamond platinum
Najua hili litakuwa jambo ambalo si rahisi kuamini lakin ukwel ndio huo
Babu tale ana mnyonya sana diamond platinum kuliko msaada anaoutoa kwake kwenda kwa diamond
Ili diamond aendelee inabidi aachane na babu tale kwani hapo alipo hana uwezo wa kumvusha zaidi ya hapo. Diamond kwa sasa inabidi aangalia mameneja kutoka nchi nyingine kwani hawa alionao haswa babu tale hamna cha maana wanachomsaidia zaidi ya kunenepesha matumbo yao
Yani inafika kipindi mpaka nahisi babu tale ana tumia kizizi kumfubaza diamond ili diamond aendelee kuwa naye si akili ya kawaida kwa kweli yani kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia bila diamond kujua
Tale kwa sasa bora aendelee kuwa na akina harmonize ,mavoko na rayvan lakin si diamond tena kwa kweli bila hivyo diamond itakula kwake hatopiga hatua zaidi ya hapo
View attachment 466186
View attachment 466187
Ananyonywa ye kinembe?!?!hapana siombi kazi ,ila ni shabiki wa kutupwa wa diamond hivyo naona kama ananywonywa vile na mimi kama shabiki kukaa kimyaa siwezi