Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hiki ndicho kinachofanya diamond asipige hatua za hapo , inabidi achukue maaamuzi magumu ya kuachana na tale bila hivyo itakula kwake kama vile Tip Top connection ilivyokula kwao
DuuhNaona Diamond yupo kwenye zoezi la kupunguza mdomo kwa kuulamba
Nipo hapa mulhatna miandiko inafanana ? usinibanie bhana nakupenda ga
Kama ni mtaalamu wa vizizi tiptop isingemfia, endeleeni kuamini miujiza, it's 2017!Tale mtalaam wa vizizi sana huyo......mtu mpaka kaikimbia tiptop unaleta masihara nini.
Kwahiyo ulitaka mondí apate yeye akose?mkuu kabla hajawa na mondi hakuwa na pesa kiasi hicho
HATA MONDI KABLA YA KUWA NA TALE HAKUWA ANAFAHAMIKA KIASI HICHO!mkuu kabla hajawa na mondi hakuwa na pesa kiasi hicho
KUMBE UNAASSUME!hapana siombi kazi ,ila ni shabiki wa kutupwa wa diamond hivyo naona kama ananywonywa vile na mimi kama shabiki kukaa kimyaa siwezi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hance mtanashati = Chungu dawa
SawaUna mada za ajabu ndio maana kila siku unakula BAN na kurudi na ID mpya, ulitaka awe meneja wa TUNDA?
wewe mwenye mada nzuri mbona hatukuoni?Una mada za ajabu ndio maana kila siku unakula BAN na kurudi na ID mpya, ulitaka awe meneja wa TUNDA?
...ulikuwa unabisha nini sasa wewe pusti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umekosea ,huyo chungu dawa ni shabiki tu