Maendeleo hayana chama?!?! Kwanini sasa tunalazimika itikadi za kijamaa za chama cha ccm ndio ulazimishwe kwa watz wote.
Kwa hiyo tuendelee na itikadi hii ya kipagani wakati zaidi ya 95% ya watanzania wanaamini Mungu Mkuu.
Maana ya Maendeleo ni kuwa na Uhuru zaidi was makundi ya jamii kujiamulia mambo yao wenyewe ktk uchumi wao, utamaduni wao, na mambo ya kijamii.
Kwann ubani unakuumiza wakati wewe hulaziki kuutumia.
Tz ni kubwa sana utamaduni was watu wa simanjiro haufanani na wa mufindi na pia haufanani na wa Pemba.
Ktk jamii yenye mchanyiko wa makundi ya jamii zenye utofauti falsafa pekee itakayofaa ktk taifa hilo ni ile ya Diversity.
Kwa maana ya kuvuniliana na utamaduni za wenzenu na kuzijumuisha.
Ujanaa na usekula ni falsafa inayofaa kwa taifa lenye utamadini mmoja tena wenyewe jamii isiyoamini uwepo wa Mungu Kama china.
Ujamaa na usekula kwasaaa unaendelea nchi hazizidi tano Moja ya nchi hizo ni Tz.
Taifa hii linahitaji kutambua utamaduni zetu sawa na jamii husika na kuzistawisha. Kwa kila jamii hizo kupatiwa Uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao wenyewe.
Wamasai wanaotaka kuvaa mavazi ya lubega wakiwa sehemu za kazi ktk ofisi za umma waheshimiwe. Wavaa mavazi ya hijab wakiwa sehemu za kazi ktk ofisi za umma waheshimiwe. Kwanini.
Mabanyani wapate nafasi za teuzi za umma wakitaka kuvaa mavazi yao tumbo likiwa nje wakiwa sehemu za kazi ktk ofisi za umma waheshimiwe.
Haki hizo hawapati watz ndani ya tz ktk taasisi kama majeshi yetu kama vile China na north Korea, Wakati UK, US zinaruhusu.
Police Scotland uniform to include Muslim hijab
Tanzania ni kubwa sana. Kuendelea imani wa ujamaa unaolazimisha mfumo wa Serikali kuu umefeli. Tanzania inapaswa iwe na serikali za majimbo ili kila jimbo lipate Uhuru zaidi wa kuueneza utamaduni wao. Hii haina maana kuwa tz itajigawa vipande, Bali itaimarisha na kukuza maendeleo ya kijimbo. Utalii utaimarika. Wamasai wakitaka kuishi na simba ndio jadi yao, nk nk
Free ecemony and Diversity ndio suluhisho.
View attachment 2125312