Ukweli wasioupenda Watanganyika au Watanzania Bara

Wazanzibar wengi waliokua huko wanakuja na shughuli zao maalumu za kufanya, ila umemsikia mkuu wa wilaya hapo alivyowafurusha watanganyika hapo wengi mkija huku mnakuja kuleta tabia za kiajabuajaabu ambazo sio utamaduni wa huku
 
Nenda Twitter toka ingia jf toka insta na fb nikaujinga kasiko kamilisha shule
Na badhi ya nyingine nenda kale [emoji3055]
 
Huyo mfalme anaitwa nani? Alikuwa wapi anazunguka dunia aisee
 
Wazanzibar wengi waliokua huko wanakuja na shughuli zao maalumu za kufanya, ila umemsikia mkuu wa wilaya hapo alivyowafurusha watanganyika hapo wengi mkija huku mnakuja kuleta tabia za kiajabuajaabu ambazo sio utamaduni wa huku
Haufahamu? Au huoni haya kuongopa? Au Uzanzibari umekujaa? Kama hivyo vyote huviogopi basi ogopa kuongopa! Uongo ukikithiri unapigwa chapa ya mhuri.

Wazanzibar ninaoishi nao na ninaofahamiana nao wote wamejenga huku na wana hati za umiliki wa ardhi. Na wengine majina ya mtaa ni ya kwao. Zunguka Tanganyika utajionea haya ninayokuambia. Ikiwa kama ndivyo mnavyopeana habari huko Zanjibar, basi mnapeana zisizo sahihi.

Tanganyika inaihitaji Zanjibar mkakati wa kiusalama wa kumiliki eneo kubwa la bahari na si vinginevyo.
 

Waarabu walikuwa colonizers kama colonizers wengine tu. Kumbuka, hata identity ya Tanganyika nayo ilitengenezwa na European colonizers.

Kama huelewi kwamba Waarabu walikuwa colonizers, soma historia. Hiyo itakusaidia pia kujua kiini cha Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar!

Ufadhili wa Waarabu wa miradi mbalimbali ya Zanzibar hauwapi Waarabu special place Zanzibar. Hata Tanzania Bara ipo miradi mingi iliyofadhiliwa na wageni, wakiwemo hao Waarabu, lakini hilo haliwafanyi watu wa Bara wawaone hao wageni kuwa ni wa maana zaidi ya ndugu zao wa Zanzibar!
 
Kuna mtu kakukataza kusali..au kupiga marufuku itikadi zako za dini?

Serikali niya waote wenye dini na wasio dini acha iwe neutral katika hili..na hii inafaa sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuna mtu kakukataza kusali..au kupiga marufuku itikadi zako za dini?

Serikali niya waote wenye dini na wasio dini acha iwe neutral katika hili..na hii inafaa sana.

#MaendeleoHayanaChama
Moja ya ibada ktk uislam ni kwa wasichana kuvaa mavazi ya stara.

Kwann wasichana walio ktk majeshi yetu hawajawekewa utaratibu huo huku UK, Us wanewekawa. Ni kwasababu kule wanafata falsafa ya diversity.

Huku kwetu inakandamiza wenye dini na kuwaacha huru wapagani.

Matokeo yake kizazi kinakuwa ni mazuzu.

Akiamka hadi anapolala yeye na bongo flava. Akibadili atabishana Mpira. Hii ndio faida ya usekula, ujamaa.

Bila shaka wewe usiependa mabadiliko ni muathiriwa pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…