Mboka man
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 478
- 1,647
Ninavyozungumza hivi sasa amani ndani ya familia baba mkwe imeshavurugika hakuna tena maelewano kati ya binti na baba mkwe lakini pia kati ya baba mkwe na mkwe chanzo cha haya yote ni mahusiano yangu na binti
Na chanzo cha haya yote ni mahali ambayo nilitoa kidogo sana tofauti na matarajio ya wana familia jambo ambalo limeleta mvurugo ndani ya familia kibaya zaidi binti ni mjamzito lakini pia kitu kingine zaidi ni hasara ya pesa aliyoipata baba mkwe wangu alitumia pesa mingi kuandaa sherehe ya engangement huku swala la mahali likiwa nimetoa kidogo sana na mpaka sasa mimi ni mtu ninaonekana muongo.
Msanii na mbabaishaji tuu hivyo upande wa ukweni wanajuta kunipokea na ikumbukwe ya kwamba mahali iliyotolewa mpka sasa m1 na familia ilinipangia m7 na tangu niitoe hiyo hela bado sijaongeza hela yeyote ile japo niiliahidi nitatoa kidogo kidogo angalau ifike nusu.
Hivyo mpka sasa hapa nilipofikia sijui nifenyeje na nimeitwa ukweni hivyo naombeni ushauli ktk hili