Ukweni moto unawaka baba mkwe kaniita, naombeni ushauri

Kama ana bikra million saba wamekwambia kidogo pambana ulipe Ila kama hana hiyo million 1 uliyolipa bado nyingi nenda kadai change yako waambie ulijichanganya wakate hapo 120K wakupe baki yako 880,000/=.

Wakikataa achana nae azae ageuke singo mama.
 
M 7 unaoa au unafungua duka la spare?, Kwanza hauko serious
 
Relax , hakuna kitu watakufanya hao!
Embubpambana na vitu vya msingi

Imarisha ndoa yako na wekanmalengo ya familia yako usji associate sana na hao wazee stress zinawasumbua ,

wakikuuliza kuhusu fedha waambie utawatumia mwa ujao wa fedha !
 
Ninavyozungumza hivi sasa amani ndani ya familia baba mkwe imeshavurugika hakuna tena maelewano kati ya binti na baba mkwe lakini pia kati ya baba mkwe na mkwe chanzo cha haya yote ni mahusiano yangu na binti

Na chanzo cha haya yote ni mahali ambayo nilitoa kidogo sana tofauti na matarajio ya wana familia jambo ambalo limeleta mvurugo ndani ya familia kibaya zaidi binti ni mjamzito lakini pia kitu kingine zaidi ni hasara ya pesa aliyoipata baba mkwe wangu alitumia pesa mingi kuandaa sherehe ya engangement huku swala la mahali likiwa nimetoa kidogo sana na mpaka sasa mimi ni mtu ninaonekana muongo.

Msanii na mbabaishaji tuu hivyo upande wa ukweni wanajuta kunipokea na ikumbukwe ya kwamba mahali iliyotolewa mpka sasa m1 na familia ilinipangia m7 na tangu niitoe hiyo hela bado sijaongeza hela yeyote ile japo niiliahidi nitatoa kidogo kidogo angalau ifike nusu.

Hivyo mpka sasa hapa nilipofikia sijui nifenyeje na nimeitwa ukweni hivyo naombeni ushauli ktk hili
Mrejesho?
 
Duh mzee kama uliahidi kutoa amna namna we jitahidi utoe kama Huna basi waangalie utaratibu hata wa kulipwa kidogo kidogo
 
Ninavyozungumza hivi sasa amani ndani ya familia baba mkwe imeshavurugika hakuna tena maelewano kati ya binti na baba mkwe lakini pia kati ya baba mkwe na mkwe chanzo cha haya yote ni mahusiano yangu na binti

Na chanzo cha haya yote ni mahali ambayo nilitoa kidogo sana tofauti na matarajio ya wana familia jambo ambalo limeleta mvurugo ndani ya familia kibaya zaidi binti ni mjamzito lakini pia kitu kingine zaidi ni hasara ya pesa aliyoipata baba mkwe wangu alitumia pesa mingi kuandaa sherehe ya engangement huku swala la mahali likiwa nimetoa kidogo sana na mpaka sasa mimi ni mtu ninaonekana muongo.

Msanii na mbabaishaji tuu hivyo upande wa ukweni wanajuta kunipokea na ikumbukwe ya kwamba mahali iliyotolewa mpka sasa m1 na familia ilinipangia m7 na tangu niitoe hiyo hela bado sijaongeza hela yeyote ile japo niiliahidi nitatoa kidogo kidogo angalau ifike nusu.

Hivyo mpka sasa hapa nilipofikia sijui nifenyeje na nimeitwa ukweni hivyo naombeni ushauli ktk hili
Hahaha
 
Back
Top Bottom